Mkuu hapa ungelikuwa sahihi kama elimu ya uraia na mabadiliko ya Katiba yamefanyika. Nachelea kusema kuwa bado tuna safari ndefu kuelekea katika ukombozi.Kuondoka kwao ni mwiba kwa CCM,kutokuondoka ni mwiba kwa CCM.
Wao kwa nafasi zao wapime tu ukubwa wa tatizo.
Ama CCM ife wakiwemo ama waiache ife yenyewe.