babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,127
- 16,040
miafrika!
Hii taswira inaonyesha mentality ya kunyenyekea (subservience) ya Mwafrika wa kawaida wa Kitanzania. Ni utaahira usiyo kifani ambao nadhani unatokana na jadi potofu za Watanzania wengi kutii mamlaka iwe baba, mama, mchungaji, padri, sheikh, chifu hadi rais blindly bila kujali kwamba wana makosa au kasoro zilizo wazi.