Only in Tanzania

Hukumuzuku

JF-Expert Member
Aug 29, 2008
6,681
5,034
PICHA+NA+2.jpg

Hii taswira inaonyesha mentality ya kunyenyekea (subservience) ya Mwafrika wa kawaida wa Kitanzania. Ni utaahira usiyo kifani ambao nadhani unatokana na jadi potofu za Watanzania wengi kutii mamlaka iwe baba, mama, mchungaji, padri, sheikh, chifu hadi rais blindly bila kujali kwamba wana makosa au kasoro zilizo wazi.
 
Unajisiikiaje ukiangalia hiyo picha na kusoma comments za watu hasa kwenye jukwaa la siasa na huku ukijua mmoja wa hao wanaosukuma ni mume wako au mke wako...
 
aliyesema, 'emancipate yourself from mental slavery', hakukosea.
This is a sort of advanced mental slavery; No one but ourself can free our minds.
Na bado wako wengi tu.
 
PICHA+NA+2.jpg

Hii taswira inaonyesha mentality ya kunyenyekea (subservience) ya Mwafrika wa kawaida wa Kitanzania. Ni utaahira usiyo kifani ambao nadhani unatokana na jadi potofu za Watanzania wengi kutii mamlaka iwe baba, mama, mchungaji, padri, sheikh, chifu hadi rais blindly bila kujali kwamba wana makosa au kasoro zilizo wazi.

kwa haraka haraka ukiangalia hapo utagundua kuwa hao wote ni ndugu zake Jairo... si hata bungeni wamesema kuwa sikua hizi watu wanaajiriwa kutokana na makabila? sasa mna uhakika gani kuwa hao sio ndugu zake au ndugu wa kabila lake? mnajua kuwa hao waliajiriwae hapo?? mna uhakika kuwa ajira zilitangazwa mahgazetini? lini? kivipi interview ilifanywa? ........
 
ndugu zake Jairo hao... wewe kama hujaajiriwa kwa kimemo huwezi kusukuma huo mgari hivi hivi.......hao wote hapo wameajiriwa kwa kimemo,nani anabisha?
 
inaonesha ni jinsi gani tulivyo wavivu wa kazi na kufikiri, Mijitu yote imeacha kazi na kuja kusukuma gari toyota v 8 ambalo halina tatizo lolote sijui yalikuwa yanasukuma kuelekea wapi? mijinga kweli , natamani ningekuwa nakiboko ningeyachalaza bakora za makario wote Pumba....zenu
 
Jairo huwa anawatoa sana hawa jamaa, maana kwa mwezi utakuta mtu kazunguka nchi kama kumi hivi za ulaya eti wanafanya kazi, yaani jamaa wa hii wizara wanasafiri sana nje ya nchi huenda hata kumpita JK
 
Nahamu sana yakuona picha nyingine wakilisukuma hilo gari wakati anarejea nyumbani kuendelea na likizo!
 
  • Thanks
Reactions: PhD
na machomeko yao wanalisukuma liujumu la uchumi hii ndiyo tz tunayoitaka
 
Kweli ni utaahira, alafu si ajabu ni wapitaji humu JF, sijui wanajisikia vipi kuona hii picha ya masaburi yao imetundikwa hapa.
 
jamani huu si ulikuwa muda wa kazi ? napendekeza wote hawa wakatwe mshahara wa siku hiyo na kupewa onyo kali na sisi waajiri wao,sidhani kuna hata mmoja wao ambaye job description yake ina-include kusukuma gari TENA ZIMA.

Wakatwe mshahara wakati baada ya hapo walienda kusign ili wapate posho za kusukuma gari?
Tanzania ni zaidi ya uijuavyo..
 
picha+na+2.jpg

hii taswira inaonyesha mentality ya kunyenyekea (subservience) ya mwafrika wa kawaida wa kitanzania. Ni utaahira usiyo kifani ambao nadhani unatokana na jadi potofu za watanzania wengi kutii mamlaka iwe baba, mama, mchungaji, padri, sheikh, chifu hadi rais blindly bila kujali kwamba wana makosa au kasoro zilizo wazi.
hawa baadaye utawasikia wakidai eti kuna manyanyaso kazini!!! Watu ni wa hovyo sana!!! Au ndio kujipendekeza!!!!
 
Hii Picha imenikumbusha ujinga wa mwafrika. Vitabu vya historia vinaonyesha waafrika wengi wamembeba kwenye kiti mzungu ama mwarabu anliyekuja kununua(?) watumwa kwa kubadilishana na shanga ama kitu kingine chochote kisicho thaminishwa na binadamu. Kinachokera zaidi aliyebebwa huonekana ameuchapa usingizi na mmoja wa mwafrika amembebea gobore lake!
Nina hakika - picha hii itaingizwa kwenye vitabu vya historia wakati kizazi hiki cha ujinga kitakapo kuwa hakipo. Sitaki kupredict wajukuu zetu watakavyosema kuhusu picha hii, ila kilicho cha msingi watatafuta mafuvu ya hao wanaosukuma hilo gari na kuyaingiza laboratory ili wajiridhishe kama babu zao hawa walikuwa wanawaza kama wao.
 
jamani huu si ulikuwa muda wa kazi ? napendekeza wote hawa wakatwe mshahara wa siku hiyo na kupewa onyo kali na sisi waajiri wao,sidhani kuna hata mmoja wao ambaye job description yake ina-include kusukuma gari TENA ZIMA.

Hahahahahahahaaaaa hapo umeua kaka
 
PICHA+NA+2.jpg

Hii taswira inaonyesha mentality ya kunyenyekea (subservience) ya Mwafrika wa kawaida wa Kitanzania. Ni utaahira usiyo kifani ambao nadhani unatokana na jadi potofu za Watanzania wengi kutii mamlaka iwe baba, mama, mchungaji, padri, sheikh, chifu hadi rais blindly bila kujali kwamba wana makosa au kasoro zilizo wazi.

Usishangae kama ukisikia jamaa aliwaombea mchango sasa toka barrick kwa kazi nzito waliofanya ya kusukuma gari ya mzee kwani kama kawaida yetu huu mwezi wa ramadhani baada ya mzee kupokea mchango wetu naona sasa tuwaoneone hawa vijana mtambuka kwa ajili ya idd el fitr kwani sasa hivi mnaweza tuma kwa m pesa tu, ninae hapa kijana Ngeleja anaweza chukua fedha hiyo bila kuonekana kwenye mtandao kwani alikuwa mkuu pale voda com.
 
Back
Top Bottom