Only in Tanzania

yaani tunalipa kodi ili walipwe mshahara mwisho wa mwezi kwa kutufanyia kazi walipa kodi tunaowapa mishahara lakini badala ya kututumikia wanaenda kusukuma magari ya wanaotuibia, huku wanashindwa kutupa umeme, madini wanaacha yanaenda kwa wazungu kwa bei karibu na zero, ama kweli ndo akili za 'masaburi'
 
PICHA+NA+2.jpg


Hii taswira inaonyesha mentality ya kunyenyekea (subservience) ya Mwafrika wa kawaida wa Kitanzania. Ni utaahira usiyo kifani ambao nadhani unatokana na jadi potofu za Watanzania wengi kutii mamlaka iwe baba, mama, mchungaji, padri, sheikh, chifu hadi rais blindly bila kujali kwamba wana makosa au kasoro zilizo wazi.

Kuna mtumwa akaacha asili yake?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom