Ombi - Saint Dr Ivuga

A_black_man.jpg

nimeonna niweke picha yangu ili ujue jinsia yangu kijana,tumia ujana wako kufanya kazi ili badae usije ukaja kuhangaika uzeeni, sio unaona watu wanacheza bao kmda wote uanze kulalamika , sisi ujana wetu hatukuuchezea

au ni kosa kuweka picha yangu hapa?

Saint..sina uhakika kama ni wa ukweli... hiyo picha "umekachachukua". Sehemu ya kati ya uso yaani pamoja na macho ni ya mwandishi fulani wa habari moja ya majina yake huanza na Mwa. Melo anamjua. Kwingine nisehemu ya watu wengine. Huo utundu wako!
 
kwani wwewe ndio upo kwenye avator yako?
 
Saint, kuna tofauti kubwa katika maelezo yako chini ya picha na swali unaloniuliza.

Kwenye maelezo yako umesema hiyo picha yako na itatusaidia tuijue jinsia yako.

Kwa nini kuniuliza swali jambo ambalo sijalitolea maelezo yoyote lakini linajieleza lenyewe?
 
Imeandikwa katika vitabu vyote vitakatifu ya kuwa "Ole wake augeuzaye usiku kuwa mchana" huyu hatauona ufalme wa mbingu. Kwa siku za Karibuni huyu Kijana mtakatifu Dr Ivuga amekuwa akikikesha na kulala JF. Nimeangalia post zake nadhani huwa anaposti usiku kucha. Popote alipo lazima atumie muda kulala na walau basi kufanya tendo la ndoa na mkewe. Jamaa yeye ni JF JF ni ugonjwa huu! Mchungaji nikiwa kwenye mikesha ya kanisani ama kuombea walevi Ivuga yeye na JF JF JF...majukwaa yote, Mambo ya Kikubwa, MMU, na hata siasa

Ivuga ni wito na ombi kuna mitandao mingine kama twitter, Facebook n.k

Pumzika mkuu kwa afya yako

Mch mkuu Masa

mchungaji si unajua watu wengine kwa ku-multi-task ndio wenyewe.
inawezekana siku jamaa anapoweka kamstari kamoja au kutoa "thanks" tu
basi anakuwa ametingwa na mambo ya multi-tasking lol, na ukiona kaweka
"like" tu ndio oohoo lol
 
Intelligent decision is based on evidence.
 
mchungaji si unajua watu wengine kwa ku-multi-task ndio wenyewe.
inawezekana siku jamaa anapoweka kamstari kamoja au kutoa "thanks" tu
basi anakuwa ametingwa na mambo ya multi-tasking lol, na ukiona kaweka
"like" tu ndio oohoo lol

andika hili badiko lako kwa kiswahili sasa
 
A_black_man.jpg

nimeonna niweke picha yangu ili ujue jinsia yangu kijana,tumia ujana wako kufanya kazi ili badae usije ukaja kuhangaika uzeeni, sio unaona watu wanacheza bao kmda wote uanze kulalamika , sisi ujana wetu hatukuuchezea

au ni kosa kuweka picha yangu hapa?
Pole aisee mkuu
 
Imeandikwa katika vitabu vyote vitakatifu ya kuwa "Ole wake augeuzaye usiku kuwa mchana" huyu hatauona ufalme wa mbingu. Kwa siku za Karibuni huyu Kijana mtakatifu Dr Ivuga amekuwa akikikesha na kulala JF. Nimeangalia post zake nadhani huwa anaposti usiku kucha. Popote alipo lazima atumie muda kulala na walau basi kufanya tendo la ndoa na mkewe. Jamaa yeye ni JF JF ni ugonjwa huu! Mchungaji nikiwa kwenye mikesha ya kanisani ama kuombea walevi Ivuga yeye na JF JF JF...majukwaa yote, Mambo ya Kikubwa, MMU, na hata siasa

Ivuga ni wito na ombi kuna mitandao mingine kama twitter, Facebook n.k

Pumzika mkuu kwa afya yako

Mch mkuu Masa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom