Losambo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 2,612
- 864
ndo muda alioona ni muafaka, ila strategically amekosea sana manake amekubali kuwauza wenzake ili yeye ahurumiwe, bila kutafakari kuwa anajiweka mtegoni zaidi.. Kwa kifupi ameshakiri kuwa wizarani kwake kuna mapungufu.
Kama waziri anashindwa kujieleza kiufasaha tena kwa lugha ya kwetu je kujibu maswali kweli ataweza? Anakuja na mambo ambayo hatujahitaji kwa kipindi hiki, kama naibu waziri amemzidi kete na ameshindwa kumuwajibisha ni shauri yake.
Anapaswa kujiuzuru kwa sababu kama mbili,
1.0 Hana uwezo wa kutumia madaraka yake ipasavyo.
2.0 Hana maadili ya kazi yake.