VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Yaani uko ok jamaa abandikwe zigo sio lake hapo kwenye red? I wish mtoto atokee chotara na huyo mume aje kujua yote then amtose tu huyo mke. Alichokifanya huyu mke ni dhambi kubwa sana. Ndio maana tunauana na HIV kijingaaaa, jamaa wa watu maskini anajichunga na vishawishi kumbe work done is equal to zero! Ndio maana ukimwona mgonjwa wa ukimwi usimcheke, anza kujihurumia mwenyewe kabla hujamhurumia. Ndoa za leo yaani hakuna morals kabisa.
Mkuu sikatai kwamba Muhusika amefanya kosa la Jinai; Sikatai kwamba inabidi asisamehewe.., lakini tunaangalia where do we go from here....
Labda Muhusika ana watoto na familia na huyo mume ambae kuondoka kwa mama kutaleta shida, na huyo mtoto ana kosa gani?, kama kweli anaweza kuzaliwa na kulelewa kwa mapenzi ya baba na mama, kwanini isiwe hivyo na apate tabu sababu ya kosa la mama au Just because the Guy is not a biological father
Mkuu Maji yameshamwagika hatuna budi kuzima matundu ili yasimwagike zaidi....