Okoa ndoa hii

watoto wote wakifanyiwa dna
itakuwa timbwili la asha ngedere kila mtaa

Una uhakika?

Kwa huyu mtaka ushauri.....
maji yakishamwagika hayazoleki. Amefanya vibaya sana kumfanyia mumewe anayempenda ukatili kama huu. Sijui hata cha kumshauri zaidi ya kuomba talaka tu.
 
kwa kila walioenda muhimbili for dna test
karibu asilimia 40 walikuta watoto sio wao...
get the picture hapo
 
ajiandae tu kwa lolote, zaidi akumbuke mchangani hawachezi peku, utajikata na chupa matokeo yake yawe kama hayo. Namuhurumia huyo mwanaume.... haswa anapoonyesha mapenzi na kumu-appreciate mwenzake kumbe kuna mtu kashajimegea na kuacha mbegu yake.....
 
ni mjinga sana, yeye anajua ana mume cha kuiacha hiyo mimba ni nini wakati alijua fika ametembea na mtu mwingine, na isitoshe ni mzungu, wanawake wengine taaabu wanazitafuta wenyewe, asubirie hiyo aibu, kuna msichana namfahamu yeye alizaa africast kabisa eti akawa anakazana kuosha nywele za mtoto na bia ziwe ngumu, sijui alidanganywa wapi, ila hakuachwa, alikuja kuachana na mumewe kwa mambo mengine ya kijinga sana

gaga,ingekua mapema kidogo ungemshauri aichoropoe?!nauliza tu!
 
ajiandae tu kwa lolote, zaidi akumbuke mchangani hawachezi peku, utajikata na chupa matokeo yake yawe kama hayo. Namuhurumia huyo mwanaume.... haswa anapoonyesha mapenzi na kumu-appreciate mwenzake kumbe kuna mtu kashajimegea na kuacha mbegu yake.....
Nikimfikiri huyu shemeji napata kizunguzungu!
 
Dada huyu ni mtoto wa mama wa kambo wa rafiki yangu niliyesoma nae shule ya msingi;huyu dada yetu ni mfanyakazi wa kampuni moja ya usafirishaji,ameolewa,tatizo ni kuwa ali wahi kuwa na uhusiano na chotara mmoja raia wa Afrika kusini ambae alikuwa nchini na kampuni moja ya ujenzi wa barabara,uhusiano wao ulifikia kikomo baada ya kampuni aliyokuwa anafanyia chotara huyo kumaliza kazi yake,baadae dada yetu akapata mpenzi mwingine na wakaoana,dada yetu akapata safari ya kikazi kwenda Zimbabwe ndipo akakutana na ex wake huko,wakakumbushia na dada yetu akapata ujauzito,lakini aliporudi hakumwambia mumewe,kule Zimbabwe alikaa wiki moja,ujauzito ukawa mkubwa na anakaribia kujifungua,mumewe anajua ni ujauzito wake,dada anaogopa iwapo mtoto atafanana na ex wake rangi na nywele kwani ex wake ana nywele lain kama za kiarabu na ni mweupe sana kutokana na kuchanganya mzungu na mwafrika na inaonekana ana uzungu zaidi,mume wa dada ni mweusi wa kutosha na familia yao haina historia ya weupe,dada kachanganyikiwa,kwani mumewe anampenda sana na alipogundua mkewe ni mjamzito alimnunulia gari mpya na alimtafutia daktari special ili kuhakikisha usalama wa mke wake na mwanae kipenzi!

Mbona mada kama yakutunga jamani?? somw kwenye nyekundu yaani wiki moja unagunduaje kama umepeta ujauzito?? within a week bora hata ungesema wiki 3
 
Mimi nadhani akubali matokeo yoyote kwani yeye ni mzembe .Na lolote litakalotokea amejitakia mwenyewe kwa sababu amekwenda nje ya ndoa yake,na hata kama alizidiwa kwa nini hakutumia kinga?tatu yeye alitembea nje akijua ni siku za hatari.
 
Dada huyu ni mtoto wa mama wa kambo wa rafiki yangu niliyesoma nae shule ya msingi;huyu dada yetu ni mfanyakazi wa kampuni moja ya usafirishaji,ameolewa,tatizo ni kuwa ali wahi kuwa na uhusiano na chotara mmoja raia wa Afrika kusini ambae alikuwa nchini na kampuni moja ya ujenzi wa barabara,uhusiano wao ulifikia kikomo baada ya kampuni aliyokuwa anafanyia chotara huyo kumaliza kazi yake,baadae dada yetu akapata mpenzi mwingine na wakaoana,dada yetu akapata safari ya kikazi kwenda Zimbabwe ndipo akakutana na ex wake huko,wakakumbushia na dada yetu akapata ujauzito,lakini aliporudi hakumwambia mumewe,kule Zimbabwe alikaa wiki moja,ujauzito ukawa mkubwa na anakaribia kujifungua,mumewe anajua ni ujauzito wake,dada anaogopa iwapo mtoto atafanana na ex wake rangi na nywele kwani ex wake ana nywele lain kama za kiarabu na ni mweupe sana kutokana na kuchanganya mzungu na mwafrika na inaonekana ana uzungu zaidi,mume wa dada ni mweusi wa kutosha na familia yao haina historia ya weupe,dada kachanganyikiwa,kwani mumewe anampenda sana na alipogundua mkewe ni mjamzito alimnunulia gari mpya na alimtafutia daktari special ili kuhakikisha usalama wa mke wake na mwanae kipenzi!
Hiyo ni element ya Umalaya. Alivyokuwa anajikumbushia kwa huyo chotara Zimbabwe nafsi ilikuwa haimsuti kwamba anamhujumu Mpenzi wake wa Ndoa? Akina dada acheni kutufanyia hivyo, kama unajua mme wako mtarajiwa ana mapungufu kwa nini ukubali kuolewa naye halafu unamsaliti kwenye ndoa? Mtachomwa kwenye jehanamu na mkisikia kiu mtanyweshwa lami inayochemka. Very dissapointing, limtu linakwenda kufanya ngono zembe, hata hali-negotiate kufanya ngono salama kwa kuhofia familia yake, leo limejaa kitoto ambacho si ajabu kinaumwa pamoja na yeye ndo anaomba ushauri. Hakuna ushauri hapa, hayo ndo matokeo ya dhambi na unasubiriwa kwenye hukumu ya milele ambayo ninaamini itakuwa kali sana kwako.
 
Karina wiki moja ni ya kukaa huko,ila yeye anajua ujauzito ni wa nani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom