m-boy
Senior Member
- Aug 20, 2023
- 147
- 477
Habari wakuuu, ninaona jumapili inatupungia mkono magharibi inakaribia.
Dada wa rafiki yangu ninamuona kama dada yangu.
Twende kwenye mada
Huyu dada aliolewa na jamaa mmoja maarufu kwa jina toll, baada ya miaka kadha dada akapata mtoto wa kiume, na miaka kadhaa baadae akazaliwa mtoto mwingine wa kike.
Huyu dada alikuwa anafuatilizia miradhi ya marehem mama yake na alipapata ktk mgao wake akaona si mbaya kama atajenga nyumba ambayo familia itakuja kuishi, na ikawa hivyo. Baada ya muda ndoa ikawa chungu mume haeweki mambo meengi itabidi dada arudi nyumbani talaka ikatolewa .
Mwanamme akasema nyumba ni mali yake kesi mahakamani toll akashinda kesi. Dada akakata rufaa kwenda mbele zaidi baada ya kesi kusomwa kama mara mbili mara ya 3 hakimu akaifanya ile kesi iwe ya mwishooo kusikilizwa, baada ya kesi kuhairishwa hakimu akawiata na kuwaambia ninatak kuzunguze kifamilia nn kipo kwenye kesi hii, toll akaongea na dada akaongea hapo wapo mahakamani watu 3 tu. Walipoitwa mahakamani tena hakimu akamaliza kesi nyumba kuuzwa au kama kuna mtu mwenye pesa arudishe aishikilie nyumba,
Baada ya hapo toll amesusa kila kitu kuanzia malezi ya watoto yaani ikiwa mwanae anataka kuzungumza na baba yake atumie cm ya mtu mwingine, hii imekuwa changamoto sana kwa upande wa watoto japo mpka sasa mtoto wa kwanza amepata kazi na wa pili anajishikiza mahali , lkn hakuna msaada mkubwa ambao wanaweza kujivunia kwmb hiki kimetoka kwa baba.
Watu wengi huaribu kila kitu baada ya mahusiano kuvunjika tena wengine huzuiya mpaka watoto wasiwasogolee mzazi iwe wa kike au wa kiume sijaju hii huwa inasababishwa na nn eidha kukataa kuwa mapenzi yamekwisha au kufanya hivi unahisi unamkoa ex wako??
Mm nipo tofauti sana ikitokea mwanamke ameniacha kitu ambacho siwezi kukiweka karibu ni mahusino ya kimwili, lkn vingine vyooote tutafanya kama kawaida.
Je vp upande wako ulivyoachwa au kuacha bado unawasiliana na ex wako??