Ogopeni kusoma kombi dhaifu

Sasa bwana mdogo unapozungumzia kombi dhaifu unaongea kwa fikra ambazo ni yakinifu au?
Inamaana kama lengo la mtu ni kuwa mwanasheria basi akisoma HKL au HGL atakuwa mwanasheria tena yule ambaye ni dhaifu. Si ndio?

jamani ana maana ya combination yenye masomo yenye maarifa mengi zaidi. Aliyesoma K na G kwenye combi yenye HL, hawafanani kabisa kimtazamo. Geography na Kiswahili pimeni.
 
Sijaelewa kuwa hizo combinations ni dhaifu kwa vigezo vipi.
 
Mind keeper...! Sina maana hiyo ila nilichofanya mimi ni kuwainspire vijana wenzangu tusiogope kusoma comb ngumu kama CBG PCB PCM ECA etc ili kuepuka wote kuja kuwa mzigo huko mbeleni hasa ukiangalia na mfumo wa soko la ajira nchini kwani comb ndiyo inayozaa taaluma utakayosomea chuoni.[/QU

kweli mzee wa zimbabw kaleta majanga,jipange dogo unaweza soma,tena ninyi mlioleta aibu kwa Taifa hili inabid. muwe makini ktk michepuo,km mtu hakuwahi kuiona maabara tangu form one,hata microscope aliishia kuchora tu combi za. science zitamsaidia nn zaid ya kuleta maafa zaid..tuliza akili,usipende sifa za kijinga ,nina mwana mmoja aliona ufahari kusoma ECA bila kuangalia mazingira,akanicheka mie niliekuwa nasoma HGL eti combi ya mashost..mwisho wa siku aligonga cha zero,sasa yupo kitaa,mi nipo katika aviation industry nakata mawingu na HGL yangu..
 
JF.
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza 4m4 ktk kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012,
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.

Ahsanteni....
Serkali ikifanya hiv basi watakua wameniokoa na mimi sababu nina div 3 yenye credit mbili yani BiO-B na chem C alafu masomo mengine yote nina D.

Mulugo tusaidie jamani wengine tuna uwezo tu sema basi tu maisha..​


huyo ni wewe au ni mtu mwingine??? kama ni masomo dhaifu mbona umelamba D yote?? FIKIRI KABLA YA KUTENDA..
 
JF.
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza 4m4 ktk kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012,
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.

Ahsanteni....

Aliyekwambia combination inazaa faculty ndio kakuuza, jifunze kuvijua vitu kabla hujaviongelea, otherwise utaishia kuumbuka kama hivi
 
Are you of the same opinion...!??
Of course, hizo combi sharti ufike kileleni kabisa ndio utaambulia kitu. vinginevyo unaanza upya kusoma. Si tuna waona na hivi masomo yake hayaitaji Laboratory, umekuwa mradi wa waanzisha shule za A level, mitaani wako bwerere kuanzia wa division II na mambo ya Bodi ya Mkopo. Baba V, ulioni hili? Ni kazi kwelikweli.
 
Last edited by a moderator:
Hapama my bro! Nilichokusudia ni kuwainspire vijana wenzangu kusoma comb ngumu.

Combination ngumu na rahisi unazipima kwa vigezo gani???? ugonjwa ulionao ndio wengi wanaumwa huko mashuleni na mitaani "kusoma kwa interest na sio vision & determination" Ujinga wako unapimwa kwa litres!!!!! Jipange bwamdogo
 
Mind keeper...! Sina maana hiyo ila nilichofanya mimi ni kuwainspire vijana wenzangu tusiogope kusoma comb ngumu kama CBG PCB PCM ECA etc ili kuepuka wote kuja kuwa mzigo huko mbeleni hasa ukiangalia na mfumo wa soko la ajira nchini kwani comb ndiyo inayozaa taaluma utakayosomea chuoni.

Mwanzo ungeandika hivi unge eleweka lakini ulicho anza nacho ni matope, wewe kubali tu ni kichwa maji tutaamini makosa si yako ila ni mfumo wa sasa usio na mitaala.
 
Back
Top Bottom