Ofisini kwa bosi..bafu na kitanda vya nini?

Mkuu wengine unakuta mtu anatoka ofisini late direct kwenda kwenye party au mkutano hakuna muda wa kurudi home, na wengine huwa wanafikilia vizuri wakiwa wamelala na wengine siesta (usingizi wa mchana ni muhimu kwao) je watakuwa wanatoka kazini na kwenda home kulala mchana na kurudi kila siku?
 
Kuna wachache wanakuwa na vitanda kwa nia nzuri lakini kwa mazingira yetu ya kibongo asilimia kubwa ni chinjachinja,ukweli ndio huo.
 
Back
Top Bottom