Ofisini kwa bosi..bafu na kitanda vya nini?

s.fm

JF-Expert Member
Jul 8, 2009
663
117
Habari wandugu..
Mwenzenu smtimz kuna mambo huwa hayaingii akilini..hizi ofisi za vibosile zilizo na kila kitu mpaka self contained room za nini? Zile two hrs za kwenda lunch ndio unaona eti mgeni kaja kumuona mkuu..ngoma fasta fasta ndio mtindo

weekend njema wakuu
 
Mkuu tuache masihara, hiyo ofisi ya bosi yenye bafu na kitanda iko wapi???
 
Boss usafi ni muhimu kwahiyo what is the issue kama akiwa na bafu na kitanda. Halafu wateja wengne wanahitaji huduma zote kwahiyo ili kuokoa muda lazima bafu na kitanda vile ofisini.
 
Bafu kwa ajili ya kuogea.
Kitanda kwa ajili ya mapumziko.
 
Ofisini kwa bosi..bafu na kitanda vya nini?

1 bafu kwa ajili ya kuoga unajua sometimes jasho
2 umesahau lazima kiwepo na choo kwa ajili ya kudounload baada ya lunch mkuu najua unajua
3 kitanda kwa ajili ya kupumzika baada ya lunch ucpendi vzuri 2 hrs lazima m2 upumzike ukizingatia om ni mbali na ofisi

hope umejua kazi ya hivyo vitu mkuu. wikiendi njema
 
Kuna digirii za chupi na
kuna vyeo vya chupi.

Inashangaza nini kuona kuna maboss wa chupi??

Nimefanya kazi 10 years Dar kwenye ofisi yenye viyoyzi 24/7 mtu hutoki jasho hata kidogo.
Siongelei kijiofisi uchochoroni? Naongelea jengo la ghorofa 7 full Air conditioned na mama ntilie ndani kwa ndani.

Vitanda ofisini ni ishara ya kuvua watu kaptula zao za ndani na kusimamisha mjengo kwa kutumia wadhfa na nafasi yako.
 
siku inaweza kutokea emergency kazini akatakiwa kufanya kazi mpaka usiku mkubwa.sasa hapo badala ya kurudi nyumbani kwa vile asubuhi tena anatakiwa kazini huwa wanapumzika humo.
 
kazi na dawa.bora huyo analeta mgeni wa lunch hours kumtembelea wengine wanamalizana humo kwa humo ofisi moja
Habari wandugu..
Mwenzenu smtimz kuna mambo huwa hayaingii akilini..hizi ofisi za vibosile zilizo na kila kitu mpaka self contained room za nini? Zile two hrs za kwenda lunch ndio unaona eti mgeni kaja kumuona mkuu..ngoma fasta fasta ndio mtindo

weekend njema wakuu
 
Back
Top Bottom