Ofisini kwa bosi..bafu na kitanda vya nini?

Ofisini kwa bosi..bafu na kitanda vya nini?

1 bafu kwa ajili ya kuoga unajua sometimes jasho
2 umesahau lazima kiwepo na choo kwa ajili ya kudounload baada ya lunch mkuu najua unajua
3 kitanda kwa ajili ya kupumzika baada ya lunch ucpendi vzuri 2 hrs lazima m2 upumzike ukizingatia om ni mbali na ofisi

hope umejua kazi ya hivyo vitu mkuu. wikiendi njema
woyeeeeeeeeeeeeeeee
 
Zipo kwene likampuni flani linahusika na kuendesha magari makubwa baharini, sijui linaitwaje vile....nilishasikia kuwa mabosi wa pale ndo afisi zao zilivyo halafu wanapenda sana na nanihiii
 
Ofisini kwa bosi..bafu na kitanda vya nini?

1 bafu kwa ajili ya kuoga unajua sometimes jasho
2 umesahau lazima kiwepo na choo kwa ajili ya kudounload baada ya lunch mkuu najua unajua
3 kitanda kwa ajili ya kupumzika baada ya lunch ucpendi vzuri 2 hrs lazima m2 upumzike ukizingatia om ni mbali na ofisi

hope umejua kazi ya hivyo vitu mkuu. wikiendi njema

Jibu SAHIHI KABISA.

Ni maendeleo tu ya ustaarabu, wala haihusiani na tabia ya uzinzi. Kama ni uzinzi hata kitanda na washroom visingekuwepo bado mzinzi anaweza kuchakachua mezani, sakafuni, au guesthouse.
 
Habari wandugu..
Mwenzenu smtimz kuna mambo huwa hayaingii akilini..hizi ofisi za vibosile zilizo na kila kitu mpaka self contained room za nini? Zile two hrs za kwenda lunch ndio unaona eti mgeni kaja kumuona mkuu..ngoma fasta fasta ndio mtindo

weekend njema wakuu

kama kuna ofisi ya mkurugenzi haina choo na bafu, nitaishagaa sana
 
siku inaweza kutokea emergency kazini akatakiwa kufanya kazi mpaka usiku mkubwa.sasa hapo badala ya kurudi nyumbani kwa vile asubuhi tena anatakiwa kazini huwa wanapumzika humo.

Enzi zile watu tulifanya kazi mpka saa 6 ya usiku bado tulirudi majumbani kwetu. Ni aina gani ya wa Watu waliopo maofisini sasa hivi wenye kudai kampuni ziwanunulie vitanda na kuviweka ofinsini??

Hivi bodi au idara ya manunuzi inaweza pitisha gharama ya kununua kitanda cha bosi ofisini??

Kama Tunajustify vitanda ofisini mwa Maboss basi tukubali kwamba hiki ni Kizazi cha CHUPI, kilicho uzao wa CHUPI.
 
dah! Yan kusema ukwel kama vipo hvyo choo,bafu na kitanda sasa huko nyumban anakwenda kufanya nini wakat vyote anavyo pale na kuhusu mchakachuo yupo sekerital mzur huyo kama ni hv hata mm cwez kurud home na ningengangania kuwa bos
 
Dah dah dah labda bafu na choo kitanda bado sijakiona
 
Habari wandugu..Mwenzenu smtimz kuna mambo huwa hayaingii akilini..hizi ofisi za vibosile zilizo na kila kitu mpaka self contained room za nini? Zile two hrs za kwenda lunch ndio unaona eti mgeni kaja kumuona mkuu..ngoma fasta fasta ndio mtindoweekend njema wakuu
Ufulska ni sehemu ya kazi mkuu!
 
Ni mabadiliko ya sayansi na teke linalokua tu! Ofisi kwangu vipo hivyo vyote na kamwe sijawahi kuchakachulia hapo!
 
Ni mabadiliko ya sayansi na teke linalokua tu! Ofisi kwangu vipo hivyo vyote na kamwe sijawahi kuchakachulia hapo!
 
Miaka ya 90 pale hospitali ya Dar group karibu na radio Tanzania kulikuwa na bosi wa kihindi wafanyakazi walimwogopa na kumchukia sana alikuwa anafukuza na kuajiri kila kukicha,wakafanya mgomo na kumfukuza ofisini.Walipovamia ofisi yake na kusogeza kiti wakakuta mlango mfupi kuuvunja wakakuta godoro na condom kibao zilizotumika na mpya, jamaa akafukuzwa nchini baadae ikagundulika alikuwa anawafanya vibaya waomba kazi wake kwa waume.
 
mmmh.,..kwel mambo mengine ni ufuska
 
Back
Top Bottom