Oa kicheche!! Hizi ni raha zake!

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
1. Akiamua kutulia ameamua
2. Hana aibu za ajabuajabu
3. Bikra yeye atataka kuonja kidogo nje, kicheche hatahisi kama kuna kipya
4. Ana uzoefu wa kutongozwa kwa style nyingi, hataona jipya kutoka kwa mtongozaji mgeni
5. Anajua koni zote, hataona tamaa
6. Mara nyingi wakiamua kupenda wanapenda kweli
7.
8.
9.
10.
 
Vicheche wengi ndo wanaoolewa siku hizi na wale wanaojifungia ndani huishia kuzalishwa tu fuatilia utaona hakuna kicheche anayezalishwa ni wajanja mnoo hawakubali kudakishwa mimba kizembe na kudanganywa eti ndoa itafuata baada ya kuzaa wao huwa na dira ya ndoa kwanza mtoto baadaye mwaga ugali namwaga mboga!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom