Oa kicheche!! Hizi ni raha zake!

ukimkuta ni kicheche kisha hana ngoma ni wa kumuwahi kumuoa atakufundisha namna gani ameepuka,na huto pata ngoma kamwe.coz she know

Kicheche tena umuweke ndani, we fb unawatakia heri ndugu zako?

haswaaaa! Hawa wanaojifanya mabikra wabaya sana, siku ya kwanza atahisi inauma lakini kadiri anavyoendelea kupata utamu ndo anavotamani kuonja ya nje!

sasa nambie kicheche atashawishiwa na kitu gani??
Zote anazijua, nene, nyembamba, fupi, ndefu nk.

Ukitoka nae out, kubali kuonana na waume wenzako kama mia hivi kwa robo saa

haina shaka, kwa sababu hata yeye ulikutananae katika mazingira ya aina hiyo na yeye ajiandae kukutana na wanawake wenzie ndani ya dk 10.

elezea na hasara ili watu akiamua kujitosa wazijue kabisa

kama alivosema kichwa ngumu, siku tu unatoka nae out, jiandae kwa kusikia kila mtu akimnyooshea kidole hasa mabwana zake waliopitia enzi hizo.

Sasa kicheche asiporidhika itakuwaje?maana yeye ni kama daladala halichagui abiria wafupi au warefu,wembamba au wapole so utafanyaje?

Unajua kuna lugha nyingine zinatumika kuwadharau mama zenu, dada etc. Ebu niambia kama dadako ni CD, dada poa, kicheche how do you feell? Hivi huyo mtarajiwa wako "name called" ukiwa nae kama mke utamuitaje? former changudoa kicheche? Mdomo huumba jamani fikirieni kwa kina hayo majina mnayotubandika. Ulishawahi kukaa chini ukafikirie kwa nini watu wanakuwa CD, vicheche? Nahisi ni historia ndefu sana, mpaka dada yako awe ndiyo utapata uchungu wa kujua hao manaowaita hivyo si nia yao kufanya hayo.

Omba Mungu wako akupe kile unachostahili kwa hili lazima upate kicheche asiyefugika hata kwa AK 47!ol

Sasa kicheche asiporidhika itakuwaje?maana yeye ni kama daladala halichagui abiria wafupi au warefu,wembamba au wapole so utafanyaje?

thats why nikasema akiamua ameamua. Bt asipoamua bado ni tatizo.

Unajua kuna lugha nyingine zinatumika kuwadharau mama zenu, dada etc. Ebu niambia kama dadako ni CD, dada poa, kicheche how do you feell? Hivi huyo mtarajiwa wako "name called" ukiwa nae kama mke utamuitaje? former changudoa kicheche? Mdomo huumba jamani fikirieni kwa kina hayo majina mnayotubandika. Ulishawahi kukaa chini ukafikirie kwa nini watu wanakuwa CD, vicheche? Nahisi ni historia ndefu sana, mpaka dada yako awe ndiyo utapata uchungu wa kujua hao manaowaita hivyo si nia yao kufanya hayo.

Omba Mungu wako akupe kile unachostahili kwa hili lazima upate kicheche asiyefugika hata kwa AK 47!ol

wengine wanafanya kwa kupenda.

mpka kaamua kutulia jiulize kulikoni lazima kuna tatizo hapo,atakurestisha in peace wewe.

1. Akiamua kutulia ameamua
2. Hana aibu za ajabuajabu
3. Bikra yeye atataka kuonja kidogo nje, kicheche hatahisi kama kuna kipya
4. Ana uzoefu wa kutongozwa kwa style nyingi, hataona jipya kutoka kwa mtongozaji mgeni
5. Anajua koni zote, hataona tamaa
6. Mara nyingi wakiamua kupenda wanapenda kweli
7.
8.
9.
10.

On other side kama alishazoea kuhudumia "nanihii" kumi kwa siku,
Yako moja itakua ni kumtania tu.
Jasiri haachi asili

Similar Discussions

Back
Top Bottom