MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 10,386
- 22,975
Wakuu leo nimeona huu ukweli niuseme kwamba hapa JF bila kujali itikadi, dini wala jambo lolote binafsi la mtu tukubali kwamba kuna wanaJF wanajua vitu vingi.
Ingawa baadhi huandika kiujanja ujanja kwa nia ovu ya kuwavuruga watu na kupotosha ila bado wanaonyesha wapo contented. Kwa mfano bibi FaizaFoxy anaonekana mdini ila ukisoma nyuzi zake utaona kuna vitu yuko deep. GENTAMYCINE huonekana kama mkorofi lakini nae contents zake ni za kusoma vizuri.
Kwa upande wangu wafuatao hutajutia kusoma nyuzi zao. Zina vitu.
1. MamaSamia2025
2. Lucas mwashambwa
3. Mshana Jr
4. Pascal Mayalla
5. GENTAMYCINE
6. Mohamed Said
7. FaizaFoxy
8. cocastic
9. Erythrocyte
10. DeepPond