Nyuzi za wafuatao zinaashiria ni watu wenye akili nyingi wanaojua mambo mengi. Nyuzi zao sio za kupita bila kuzisoma

Wakuu leo nimeona huu ukweli niuseme kwamba hapa JF bila kujali itikadi, dini wala jambo lolote binafsi la mtu tukubali kwamba kuna wanaJF wanajua vitu vingi.

Ingawa baadhi huandika kiujanja ujanja kwa nia ovu ya kuwavuruga watu na kupotosha ila bado wanaonyesha wapo contented. Kwa mfano bibi FaizaFoxy anaonekana mdini ila ukisoma nyuzi zake utaona kuna vitu yuko deep. GENTAMYCINE huonekana kama mkorofi lakini nae contents zake ni za kusoma vizuri.

Kwa upande wangu wafuatao hutajutia kusoma nyuzi zao. Zina vitu.
1. MamaSamia2025
2. Lucas mwashambwa
3. Mshana Jr
4. Pascal Mayalla
5. GENTAMYCINE
6. Mohamed Said
7. FaizaFoxy
8. cocastic
9. Erythrocyte
10. DeepPond
Toa MamaSamia2025 weka Carlos The Jackal LIKUD Lucha
 
cocastic ana nyuzi gani huyu?
 
Kumbe huko CCM uchawa ni akili!
 
Umemsahau isanga family
 
Hao wote umewaweka kuzuga point yako ipo kwa cocastic 🤣🤣🤣
Mdogo angu njoo lace tunashona ushapata mume huku
 
Wakuu leo nimeona huu ukweli niuseme kwamba hapa JF bila kujali itikadi, dini wala jambo lolote binafsi la mtu tukubali kwamba kuna wanaJF wanajua vitu vingi.

Ingawa baadhi huandika kiujanja ujanja kwa nia ovu ya kuwavuruga watu na kupotosha ila bado wanaonyesha wapo contented. Kwa mfano bibi FaizaFoxy anaonekana mdini ila ukisoma nyuzi zake utaona kuna vitu yuko deep. GENTAMYCINE huonekana kama mkorofi lakini nae contents zake ni za kusoma vizuri.

Kwa upande wangu wafuatao hutajutia kusoma nyuzi zao. Zina vitu.
1. MamaSamia2025
2. Lucas mwashambwa
3. Mshana Jr
4. Pascal Mayalla
5. GENTAMYCINE
6. Mohamed Said
7. FaizaFoxy
8. cocastic
9. Erythrocyte
10. DeepPond

Mimi je? Nawekwa wapi hapa?
 
User is banned 😂😂😂
 
Unamjua kiumbe anaitwa BAMS?
 
Back
Top Bottom