Nyumba aliyoishi RC wa Iringa Dr. Kleruu kabla ya kuuawa na Said Mwamwindi

hapana mwamindi alikua anapinga kuchukuliwa mke wake mdogo na Dr. Kleruu
Siyo kweli! Mwamwindi aliua kwa vile alikuwa provoked na huyo RC. RC alimfuata shambani kwake akiwa anasimamia vibarua, shamba ambalo lilikuwa kubwa sana na wakati huo ndo siasa ya ujamaa na kujitegemea ilikuwa imeshika kasi, Mwamwindi wakawa wanamwona kama bepari fulani hivi. Maana jamaa alikuwa amejiimarisha sana katika maswala ya kilimo, ieleweke kwamba enzi hizo watu waliokuwa na combine harvester walikuwa wa kuhesabika na Mwamwindi akiwamo. RC alipofika shambani kwa Mhehe akawa anamchomachoma tumbo kwa fimbo yake (kama ya Nyerere) huku akisema hili tumbo lina mirija ya unyonyaji. Hapo hapo Mhehe akahamaki ndo akaenda kuchukua riffle yake na kummiminia risasi hapo hapo shambani. Wacha niishie hapo maana hadithi ya Mwamwindi ni ndefu sana! Wewe kijana wa jana nawe unajidai kutuletea hadithi ya Mwamwindi?
 
Hii stori imeandikwa gazeti la mwananchi kwa kina.

1. Jamaa alikuwa na wake 5
2. Alikuwa mkulima akiyefanikiwa hasaa.
3. Alikuwa maarufu sana.
4. Historia inasema hakuwa mtu wa simire kwenye anga zake ukijichanganya.
5. Baada ya kuuwa alitumia gari ya rc kubeba mwili wake, akavaa na kofia ya rc, huku bendera ikipepea kwenye gari.
6. Alipofika kituoni akawaambia askari-kachukueni mbwa wenu kwenye gari/hawakumwelewa akarudia tena kauli hiyo.
7. Mwanae alipokuja kumuona kituoni akiwa hajui baake aliuaje, akauliza "baba pole ilikuwaje"-akamjibu" kama ulivyosikia.

KIFUPI MHEHE SIO MTU MZURI. KAMA SIO KUJINYONGA BASI MAAMUZI ATAKAYOYACHUKUA ITAKUWA HISTORIA KAMA HIVI.
 
Siyo kweli! Mwamwindi aliua kwa vile alikuwa provoked na huyo RC. RC alimfuata shambani kwake akiwa anasimamia vibarua, shamba ambalo lilikuwa kubwa sana na wakati huo ndo siasa ya ujamaa na kujitegemea ilikuwa imeshika kasi, Mwamwindi wakawa wanamwona kama bepari fulani hivi. Maana jamaa alikuwa amejiimarisha sana katika maswala ya kilimo, ieleweke kwamba enzi hizo watu waliokuwa na combine harvester walikuwa wa kuhesabika na Mwamwindi akiwamo. RC alipofika shambani kwa Mhehe akawa anamchomachoma tumbo kwa fimbo yake (kama ya Nyerere) huku akisema hili tumbo lina mirija ya unyonyaji. Hapo hapo Mhehe akahamaki ndo akaenda kuchukua riffle yake na kummiminia risasi hapo hapo shambani. Wacha niishie hapo maana hadithi ya Mwamwindi ni ndefu sana! Wewe kijana wa jana nawe unajidai kutuletea hadithi ya Mwamwindi?
Kumbe mwandindi alikuwa anajiamini
 
Kwa hiyo mwandindi alichokozwa kumbe ?
 
Niliwahi kusikia alishinda ile kesi technically lakini kutokana na kuwa ya kisiasa ikabidi ahukumiwe kifo.

Ila la wake watano hiyo ni mpya, mara kadhaa nimesoma alikuwa na wake wawili
 
Dr. Kleruu wapo wengi sana Nyakati hizi ila Majasiri kama akina Said Mwamwindi hawapo!!
Huyu Mkulima alimtandika Risasi RC akamtia kwny Trekta lake akampeleka kwa RPC akamwambia nimewaletea Mzoga Wenu.
Juzi kati hapa Mgambo tu wa TANAPA wameharibu mashamba ya Mahindi zaid ya heka 400 huko Mbeya kisa wamelima kwenye Hifadhi, halafu wanakijiji wanakimbilia ITV !!!
Alimpakia kwenye 5x4 sio trecta,na hiyo ndiyo alama ya muhehe ajibembelezagi kwa mtu,hata kama anashida vipi atakwambia sina shida
 
Siyo kweli! Mwamwindi aliua kwa vile alikuwa provoked na huyo RC. RC alimfuata shambani kwake akiwa anasimamia vibarua, shamba ambalo lilikuwa kubwa sana na wakati huo ndo siasa ya ujamaa na kujitegemea ilikuwa imeshika kasi, Mwamwindi wakawa wanamwona kama bepari fulani hivi. Maana jamaa alikuwa amejiimarisha sana katika maswala ya kilimo, ieleweke kwamba enzi hizo watu waliokuwa na combine harvester walikuwa wa kuhesabika na Mwamwindi akiwamo. RC alipofika shambani kwa Mhehe akawa anamchomachoma tumbo kwa fimbo yake (kama ya Nyerere) huku akisema hili tumbo lina mirija ya unyonyaji. Hapo hapo Mhehe akahamaki ndo akaenda kuchukua riffle yake na kummiminia risasi hapo hapo shambani. Wacha niishie hapo maana hadithi ya Mwamwindi ni ndefu sana! Wewe kijana wa jana nawe unajidai kutuletea hadithi ya Mwamwindi?
Mwagito,nyongise,waambie hao vijana wa sasa hivi wanaovaa milegezo wasiojua historia ya Iringa,
 
Kwa kukus
Nilitaka nishangae tangu lini Mwafrika akawa tayari kuuwa kwa ajili ya kutetea kile anachokiamini yaani itikadi? Sana sana ukisikia Mwafrika kaua ujue ni mapenzi tu hapo hamna kingine, ngono ndiyo namba moja![/QUO kwa kukusaidia kama hujui histolia ya Iringa kwa kipindi hicho hakuna mjingamjinga ambaye angekuja na kuwachukulia wake zao,sijua ambayo yangempata naona yangekuwa zaidi ya marehe kleruu,angeliwa nyama
 
hapana mwamindi alikua anapinga kuchukuliwa mke wake mdogo na Dr. Kleruu

Wacha kupotosha...mwamindi alikua mmoja walopinga siasa za ujima kwa vitendo.
Huyu kleruu alikua mkuu wa mkoa alietaka kujipendekeza kwa kuingilia sana familia za mwamindi kwa kuona ule uchoyo wa walopata ...akamtandika risasi ..ni ushajaa wa kihehe
 
Siyo kweli! Mwamwindi aliua kwa vile alikuwa provoked na huyo RC. RC alimfuata shambani kwake akiwa anasimamia vibarua, shamba ambalo lilikuwa kubwa sana na wakati huo ndo siasa ya ujamaa na kujitegemea ilikuwa imeshika kasi, Mwamwindi wakawa wanamwona kama bepari fulani hivi. Maana jamaa alikuwa amejiimarisha sana katika maswala ya kilimo, ieleweke kwamba enzi hizo watu waliokuwa na combine harvester walikuwa wa kuhesabika na Mwamwindi akiwamo. RC alipofika shambani kwa Mhehe akawa anamchomachoma tumbo kwa fimbo yake (kama ya Nyerere) huku akisema hili tumbo lina mirija ya unyonyaji. Hapo hapo Mhehe akahamaki ndo akaenda kuchukua riffle yake na kummiminia risasi hapo hapo shambani. Wacha niishie hapo maana hadithi ya Mwamwindi ni ndefu sana! Wewe kijana wa jana nawe unajidai kutuletea hadithi ya Mwamwindi?

ulichoandika ni sawa na nilichoandika ni sawa pia!
 
Wacha kupotosha...mwamindi alikua mmoja walopinga siasa za ujima kwa vitendo.
Huyu kleruu alikua mkuu wa mkoa alietaka kujipendekeza kwa kuingilia sana familia za mwamindi kwa kuona ule uchoyo wa walopata ...akamtandika risasi ..ni ushajaa wa kihehe

ulichoandika ni sawa na nilichoandika ni sawa pia
 
siyo ngono tu hata msosi. Cheseya niga wewe kwenye menu!

Na ukiona mwafrika ameua ujue LAZIMA kwanza kajaribu kumroga marehem ikashindikana. Mwafrika akitaka kulipiza kisasi LAZIMA aanze kwa kukupiga juju ikashindikana ndio anatumia njia nyingine

Someni kisa hicho kipo gazeti la mwananchi la wiki hii yote...
Wacheni kupotosha.
Mwamindi alikua shujaa pekee aliepinga siasa za ujamaa za kunyanganya watu mashamba yao na kuwataka watu kulima ujamaa
 
Back
Top Bottom