trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 736
Ha ha ha ha ha,ina maana Miaka 5 ya kwanza tayari kashashiba,bado hii iliyobakia
Ndo maanake..
Ha ha ha ha ha,ina maana Miaka 5 ya kwanza tayari kashashiba,bado hii iliyobakia
kweli kabisa mkuu....
Hivi lakini haya manyoka kwenye noti yanafanya nini?
Mimi nilijua nyoka wa aina hiyo ni alama ya tiba kwa hiyo alitakiwa awe kwenye hospitali, sasa kwenye hela anatafuta nini? Au ndo umasonic?
Hayo ni mambo ya fremason stori ilisimuliwa kitambo .eti hela ziwe na mvuto.nguvu.au isishuke thamani
hiyo ni sahihi kabisa na asiliyake ni kwenye kitabu cha kutika baaada ya wana wa israeli jangwani kumuhasi Mungu kwa kujitengenezea masanami Mungu aliwapa adhabu ya kuumwana nyoka na baadaye Musa alimlilia Mungu na aliagizwa atengeneze nyoka wa shaba na kila aliyemuangalia alipona na tika hapo nyoka amekuwa alama ya tiba hadi leo.sasa kuna majaamaa ambayohudanganywa na vijigazeti na watu wasio fahamu kuwa kila alama ni free mason na kufananisha na alama hiyo kitu ambacho sii kwelinadahani ile ni nembo ya tiba, sawa na iliyopo muhimbili na mahospital mengine.
Mkuu thats it, hakuna mjadala tena hapo. I agree with u 100%Babu wa loliondo ni freemasonry ndo maana aliagiza noti ya miatano. Asiyetaka kuamini shauri yake.
Babu wa loliondo ni freemasonry ndo maana aliagiza noti ya miatano. Asiyetaka kuamini shauri yake.
inamaana alikuwa akipewa za safaru,ie mia mbili 2 za coin na mia moja alikuwa hapokei?Babu wa loliondo ni freemasonry ndo maana aliagiza noti ya miatano. Asiyetaka kuamini shauri yake.