gambachovu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 1,854
- 292
Gee Cee, umeanza lini ukorofi?
Konnie..
Sijui,naweza sema sijijui ... Maana kuna mahali(utapaona) nimecomment hata mi mwenyewe najishangaa...
Sijui ni sababu ya kesi ya E.M.
Gee Cee, umeanza lini ukorofi?
aisee1.Lubhejo/akunda-wapare
2.Tumnogele-wanyakyusa
3.Dereva au Akanana-wahaya
4.Ndolela-wajita
5.Ni mdodo-wasambaa
mkuu hii ni lugha gani??ikibidi weka hii nyimbo hapa tufaidiKubyala ng'wana nkema gwilolela banhu gaganda gaganda × 2
Mdumonagu nina wa ng'wana...
Alibina wisunda sunda....
******
Ng'wantwalu ng'wanawise ng'wantwala tali...
Ng'wantwalu ng'wanawise ng'wantala somile...
Kora si ==> Ginalisole lichagicho...cha!
Gubina ligachajaga... cha!
Gwimba ligachajaga...cha!
Guzuga ligachajaga...cha!
......
Hichi kitakua kichato tu wabheja babamkuu hii ni lugha gani??ikibidi weka hii nyimbo hapa tufaidi
Kubyala ng'wana nkema gwilolela banhu gaganda gaganda × 2
Mdumonagu nina wa ng'wana...
Alibina wisunda sunda....
******
Ng'wantwalu ng'wanawise ng'wantwala tali...
Ng'wantwalu ng'wanawise ng'wantala somile...
Kora si ==> Ginalisole lichagicho...cha!
Gubina ligachajaga... cha!
Gwimba ligachajaga...cha!
Guzuga ligachajaga...cha!
......
Hiki ni Kisukuma mkuu. Tatizo sijui jinsi ya kuweka audio hapa lakini nyimbo hizi ninazo. Nikiweza nitaziweka. Wabeja (Asante)mkuu hii ni lugha gani??ikibidi weka hii nyimbo hapa tufaidi
mkuu ni rahisi sana kuweka audio. unafanya kama kuattach tu mkuu.. jitahidi ufsnye hivyo tufaidi hizi nyimboHiki ni Kisukuma mkuu. Tatizo sijui jinsi ya kuweka audio hapa lakini nyimbo hizi ninazo. Nikiweza nitaziweka. Wabeja (Asante)
Ni huo huo wimbo ulioleta msamiati wa "kuselebuka" unaitwa Tuselebuke wa kingoni.Mfano wajita wana nyimbo mbili zikipigwa kwenye maharusi utaona magauni marefu na suti zinaserebuka hatari
wa kwanza unaitwa NDOLELA
Mwingine sijui jina lake ila una kibwagizo "Mwana wao Chagega" maana yake mwanao ndio tumebeba hivyo
Hebu kumbuka za kule kwenu tushee hapa......