zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
Siasa mbaya sana. Jana nimepita kutoka nzega kwenda Tabora sijaona hata watu wakiwa na majembe wakitengeneza barabara achana na mkandarasi unaemsema. Kutoka Dodoma kwenda Babati ni safari ya hiyo lami imepitia mbinguni au ndo ile barabara tunayohangaika nayo ya kupitia Kondoa. siasa ni noma tunataka vitendo
Mimi nimeweka route hapo juu, Mbeya-Chunya-Tabora, wewe unanambia Nzega Tabora, tutaelewana kweli hapo?
Duhh, barabara ya Dodoma-Babati imesha anza na iko kwenye early stages (mobilization) na kampuni inayojenga barabara hiyo inaitwa Sinohdro Corporation na kwa wanaotaka kazi wapige namba yao hii hapa, juzi waliniambia wanahitaji wafanya kazi: +255757664075
Una lingine zaidi?