Nyerere, Mwinyi, Mkapa and Kikwete: Leadership Styles and A Lesson to Learn!

nyerere alitufanya tupange foleni ya sukari kwa masaa 12 , mwinyi akajenga , mkapa akalamba akiba yote, kikwete akaruidha
 
Siasa mbaya sana. Jana nimepita kutoka nzega kwenda Tabora sijaona hata watu wakiwa na majembe wakitengeneza barabara achana na mkandarasi unaemsema. Kutoka Dodoma kwenda Babati ni safari ya hiyo lami imepitia mbinguni au ndo ile barabara tunayohangaika nayo ya kupitia Kondoa. siasa ni noma tunataka vitendo

Rafiki yangu mimi naishi Nzega, Wachina wanajenga yard.Ujenzi wa barabara ya Singida-Babati ni taarifa za kila siku magazetini.
Ongea ukweli japo mara moja kwa mwaka.
 
Nyerere - cristian
Mwinyi - muslim
Mkapa - christian
JK - muslim

Nina wasi wasi hio ndio motive ya judgement yako, correct me if I am wrong!
Nyerere amekuza uchumi ???? Ungelisema ameleta uhuru wa Tanganyika, hapo nakubaliana na wewe 100%.Lakini kwa uchumi Nyerere naona umekoboa!

Tanzania imepoteza miaka mingi kuendekeza ushabiki wa Nyerere na ujamaa.Watu wamelala na njaa kwa muda mrefu kufuata Azimio la Arusha....The worst part, he realised that its not working after 22 yrs! A little too late!

Tumeanza safari angalau ya kuuza na kununua mikate wakati wa Mwinyi....Ambapo wewe huoni hili, hivyo hoja yangu ya kuwa motive zako zimeambatana na udini ni ya msingi kabisa.

Kilichopo hapa ni UDINI WA KUTUPWA.Enzi za waislam zote hupigwa madongo hata kama walileta nafuu kutokana na utawala wa kanisa wa kinyonyaji.Niliwahi kuandika post inayoelezea udini jf ilikaa muda kidogo2 ikachakachuliwa,hata kwa waliochangia ilikua matusi badala ya facts.Sasa naona jf sio home of great thinkers tena bali imekua kijiwe cha matusi na udini.Vijana wajuzi hawajui utawala wa nyerere hata mwinyi ila wanadandia treni kwa mbele.Mpo?
 
Wewe unayeongelea swala la kuwa shule za sekondari ni nyingi. utakuwa upeo wako ni finyu, swala sio kwenda shule bali ni quality ya hiyo education, watu wanaoingia hizo sekondari hawajui hata ku construct a clear sentence in english mpaka wanamaliza. do enough research utaelewa. swala sio quantity kaka its quality!!!!!!!!!!!! Tanzanian education is the poorest in east africa, Rwanda now is far beyond comparing to TZ in education. Tanzanian education imeconcetrate on input not the output( yaani ili mradi wa2 wameenda but the education doesn't make any impact in their lives). ITS SO ANNOYING!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
soooooooo truuuuuuuuuuu, they think in religious lines.may be 1 shuld appear and us wrong.
 
Kila Rais ana mazuri na mabaya yake. Tukingilisha kati ya hawa watu wanne waliokaa pale magogoni who will go to the history as the worst president ever? ...why?
 
Hamna hata mmoja hapo! Akija yule anayetaja watu kuwa mafisadi ili kujipatia umaarufu wa kisiasa ndio atakuwa worst!
 
Mkapa ndiye the most worst in East africa, ufisadi wote unaoumiza vichwa vyetu umefanyika wakati wa utawala wake,ana hotel south africa siku ya kuifungua mpaka mandela aliyekuwa amemkaribisha kuwa mgeni rasmi kuifungua alikataa,amejiuzia majengo ya serikali,alijiuzia mgodi,alijenga hotel ya kifahari mbugani kisha serikali ya JK ilipohoji mmliki akawa amesepa, mauaji makubwa makubwa ya kuwaua wananchi ameyafanya yeye.
 
mwinyi was worse than kikwete

itnojec, i first thought that way, kabla JK hajamaliza miaka mitano i realized how wrong i was, to me JK is the worst of them all, very weak, can't make solid decisions, can't stand for his weak decisions, can't lead by example, can't bring people together, not even in his party, he has got no agenda, ask him what you want to achieve in the next one year and you will get hundreds of answers...yaani Mungu atusaidie tu
 
kura za marais wabovu JMK atazibeba zote, the worst ever sasa hivi hata ukimuuliza ratiba ywa mwezi huu hajui anajiendea Mungu atunusuru tungeshakufa jamani hili tumepewa kanyaboya full
 
Mkapa ndiye the most worst in East africa, ufisadi wote unaoumiza vichwa vyetu umefanyika wakati wa utawala wake,ana hotel south africa siku ya kuifungua mpaka mandela aliyekuwa amemkaribisha kuwa mgeni rasmi kuifungua alikataa,amejiuzia majengo ya serikali,alijiuzia mgodi,alijenga hotel ya kifahari mbugani kisha serikali ya JK ilipohoji mmliki akawa amesepa, mauaji makubwa makubwa ya kuwaua wananchi ameyafanya yeye.

kwa hiyo Kikwete amefanya mauaji madogo madogo kama ya Arusha? Toa ushahidi wa kuhusu Mkapa
 
kura za marais wabovu JMK atazibeba zote, the worst ever sasa hivi hata ukimuuliza ratiba ywa mwezi huu hajui anajiendea Mungu atunusuru tungeshakufa jamani hili tumepewa kanyaboya full

yule kweli tulipewa, tulipewa tu na tume isiyo huru ya uchaguzi
 
Kwa waliyozaliwa baada ya Nyerere kufa nataka niwajulishe kuwa Nyerere alibahatika kutawala kibabe kuliko watawala waliyomfuatia. Wakati ninyi vijana wa leo munajadili "maisha magumu, raisi hajui kutawala. Kwa Nyerere haikuwa hivyo kulikuwa na maisha magumu kuliko wakati wowote, hata huko kusema tuna maisha magumu ilikuwa hatuwezi, kuna waliyojaribu kusema sema japo pembeni lakini mwisho wao haukuwa mzuri (kama James Mapalala na sheikh Hassan bin Amir) tulilishwa chakula kilichostahili kula wanyama, wapo waliotiwa misuko suko kwa kukutwa na miche miwili ya sabuni, TV, colgate n.k. tulinunua madukani tunachokipata siyo tunachokitaka, kununua lita 100 za petrol ilbidi kupata kibali toka ofisi ya mkoa, kwa mwenye kutaka kununua gari hasa la abiria ililazimu vikao vizito vikae kwanza ndipo kibali kitolewe (kama vile mtu ananunua shot gun), hata kwa mambo ya ibada hasa kwa Waisilamu. Kuna waliyokosa kwenda Hija kwa kukataliwa na utawala wa Nyerere, mchele wa kusomea hitima ilikuwa kwa kibali maalumu.

Pamoja na yote hayo bado tulikaririshwa kuamini kuwa Nyerere ni mwenzetu na kwamba fikra zake ni sahihi na zidumu milele. Pamoja na yoote hayo sasa tunaimbishwa tumuite kuwa baba wa Taifa, wakristo wao hawaishii katika ubaba tu, bali wanaandaa mchakato wa kumfanya baba mwenye heri, mtakatifu. Chonde chonde mliyozaliwa sasa hivi mnaweza mkatuona tuwajinga sana kumkubalia Nyerere maovu yoote hayo na mengine, lakini nataka niwaambie ninyi mtakuwa wajinga saana kama mtahiyari kutetea ndama mmoja na mkaa ogopa kutetea zizi zima lisiporwe na wavamizi.

Mwinyi na Mkapa hawakusalimika na dosari nyingi ila nitawaeleza uzoefu wangu kutokana na mutakavyo lipokea hili. Nikibaini muna uchungu na nchi nitaendelea kuwaletea niliyo yaona mie, nitawaonesha ujinga mutakaokuja kulaaniwa nao na watoto wenu, nikiona wengi mutashughulishwa na u CCM au U CHADEMA nitakaa kando tu. kwani haitopendeza kuifananisha JF kama mkutano wa viziwi. wa kwanza anauliza khabari ya mvua wa pili anajibu uzuri wa gauni la bii arusi
 
Si tatizo langu la shule bali ni taizo lako la kukurupuka, nimesema hivi kuna waliyopata misuko suko kwa kukutwa na colgate. Hivi china wamewahi kumnyonga mtu kwa kutumia colgate? inawezekana tupo katika boti moja la uelewa ila tunatofautiana speed. Nimesema pia tusiingie katika ujinga wa kutetea ndama mmoja na kuacha kundi linasombwa.

Ima hili la mitakataka ya China sijaigusia na nimeahidi kutaja dosari za viongozi wanaofuatia baada ya kuona wapo watakaokuwa tayari kutetea zizi zima si ndama mmoja. Huoni tunajifananisha na viziwi? Kwa taarifa yako sijasema kati ya Nyerere na Mkapa mzuri Mkapa au Mwinyi

Kama unataka Nyerere aitwe mtakatifu, mwenye heri, fikra zake zidumu au tuamini hakukuwa na maisha magumu wakati wa Nyerere kwa kuwa hakuna waliyolalamika pia tuambie. Hii ni Jamii Forums si jinai forums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom