Hiyo miguu ya hao wanaume inavyonyanyasika[/QUOTE/]
walivyoibana jamani, wasije wakapasua vilivyo kwenye junction ya hiyo miguu,lolz! bora wange-balance likitabu likubwaa kupunguza matata.
Yaani ndo maana kule FoE kipindi kile walikuwa wanazuia mavazi ya ajabu ya kukwaza wahandisi ..shule ngumu afu unakwazika kama hivyo hapo nyanga hazikwei kabisa!!
Kipindi kile ME 2nd yr ilikuwa utata kwa course zake wakina Mushi..NN..the animal walikuwa balaa..FoE na Law ndo zilikuwa zinaongoza kwa september conference!!..Kaaazi kweli kweli, Huyu mwana dada Hawez kuwa mhandisi, coz kule cdhani kama kuna type hizi. Naona huyo mhandisi kulia alikua anapiga FLUID MECHANICS, Hayo ni maandalizi ya kushikwa shati na maprof coz kwa mtindo huu hatachomoka m2