NSSF na Infrastructure Investment: Kigamboni Bridge, IPP, Road Construction.. ???

The Board of Trustees of the National Social Security Fund was established under the National Social Security Fund (NSSF) Establishment Act 28 of 1997, which was a result of the transformation of the National Provident Fund into the National Social Security Fund.

The vision of NSSF is to maintain its position as a leading provider of social security in Tanzania, basing on the internationally recognised social insurance principles. The Fund aspires to be a leader in membership coverage, provision of a wide range of benefits, provision of meaningful benefits and in the knowledge of the social security discipline.

The Mission statement of the Fund is to be committed to meet members evolving social security needs and expectations through the utilisation of dedicated human resources and modern technology.

Kama umesoma uchumi utapata jibu, Objectives zozote na strategy yeyote inayofanywa na DG yeyote lazima ziwe ndani ya Mission na Vision, hiyo ndiyo mandeleo ya shirika lolote, siyo kesho ukisikia bangi inalipa basi unaenda kuuza, kesho ukisikia Sigara unaamia huko; kama neno faida umelitumia ukiwa na maana ya Success nitakuelewa lakini kama una-maana ya Profit nitakushangaa sana. Kama unamaanisha linajiendesha kupata-success au matakwa ya Wanachama jibu ni ndiyo hivyo vitu viwili havitengani sana.

Kwanza ni kweli shirika haliwezi kujiendesha nje ya interest of the stakeholders but tujiulize stakeholders ni kina nani na je hawafahamu kinachoendelea NSSF. Jibu utakuta hapana kwasababu Board of Trustee ipo ijapokuwa sina uhakika imeshateuliwa sasa kwani walikaa muda mrefu bila ya kuwepo. Ila kwanza tujiulize je Board of Trustee inafanya kazi gani NSSF? Ukisoma NSSF Act of 1997 functions of Board of Trustee ni hizi nanukuu:-

The functions of the Board shall beof
the (a) to formulate, implement and review the policy relating to the
National Social Security Fund in accordance with this Act;
Board
(b) to control and administer the Fund in accordance with this Act;

(c) subject to the provisions of this Act to invest monies available
in the Fund;
(d) to provide technical assistance and advisory service for the purposes
of promoting social security programmes;
(e) to promote occupational health and safety measures in collaboration
with other authorities.
(f) to do all such acts and to enter into all such transactions as, in
the opinion of the Board may be necessary for the proper and
efficient administration of the Fund.

Sasa hebu nifafanulie hapo wanamaanisha nini kwenye nyekundu? Pia tusome NSSF Board of Trustee unakuta inasema hivi nanukuu:-

53.-(1) There is established a Board or Trustees of the National
Social Security Fund.
Establishment
of
Board of
(2) The Board shall, in its corporate name be capable of-
(a) suing and being sued;
Trustees
(b) taking, purchasing or otherwise acquiring, holding, charging and
disposing of property, movable or immovable; and
(c) entering into contracts and performing all such other acts for the
proper performance of its functions under this Act which may
lawfully be performed by a body corporate.

Sasa where is the problem? Na umejuaje kama hizi investment arafat hazikufanyika by the requirements and accordance to the interest of the stakeholders of the funds? Ndio maana yangu ya kwamba usikimbilie kujudge mkuu bila ya information all we can is to express our opinions and nothing else. Ila tusiwahukumu kufananisha na EPA kwani EPA tulikuwa na documents na data zenye kuonyesha hilo hawa mie nawasupport kama project ina manufaa kwa taifa kulikoni wale wenye kusquander pesa wa wafanyakazi na safari za kwenda ulaya na kulimbikizia mifukoni mwao wenyewe mfano PPF.
 
Nina-wasiwasi, kama upo TZ nadhani unajua zaidi yangu, kama miradi inaanzia Bungeni kwa wabunge kunyoshaa mikono nk unadhani inastudy?? Nimesema nina wasiwasi sijasema hawajafanya.

Basi tusubirie tupate documents tu kilichobakia tuexpress our opinion but kuwahukumu nadhani hatuwatendei fair.
 
mdondoaji; vizuri umenukuu hiyo sheria; hivi sheria hiyo ya NSSF inaweka utaratibu gani wa kiuangalizi wa kuhakikisha fedha za Wafanyakazi zinawekezwa katika mazingira ambayo yatahakikisha zinakuwa salama na pili ni kwa kiasi gani kuwekeza huko kunaweza kuathiri hifadhi ya jamii ambalo ndio lengo la msingi la NSSF?
 
Thanks MM for elaborations.
What I can tell is that there are people inside NSSF (not Dau) who have dreams
of making it an investment fund. Dau is just a reporter. Some of these dreams
will never be true because the current system does not allow them. For instance,
NSSF's plan to build Kigamboni bridge is now a nightmare for two reason: First,
This bridge is supposed to be operated by the forthcoming Kigamboni Development
Authority (KDA) which is the agency similar to Dodoma's CDA....as you can see
there is a power struggle somewhere. I have followed the Kigamboni Bridge proposals for
more than a decade to find a lot of contradictions in the feasibility studies,
the last which is going to throw NSSF out of the bus is this New Kigamboni City
(there are multiple threads in this forum). Second is the formation of Public
Private Partnership program, aka PPP or P3. The last Bunge was supposed to
enact P3 Act, but there are some delays on the bill itself, I don't know what
the government is thinking about. So in nutshell, without P3 it will be a
nightmare for NSSF to form joint venture with private firms to run those
Capital Intensive Projects (CIP). That's why I said, there are people inside
NSSF who have dreams (which may be good) but they dont have platforms to make
them a reality.

To prove some of those
plans/projects are dreams, is the recent NSSF's proposal to four lane Morogoro
road all the way to Chalinze and make it a toll way. To be honest with them,
that is impossible simply because, it is unacceptable to take public
right-of-way and charge it. My advice to them, if they have that ambition, is
to find a new corridor, possibly parallel with Morogoro Road (say from Mabibo
external to Chalinze) a build a brand new road, and let those who can
afford to pay use that new toll road. If they have already executed a
feasibility study to upgrade Morogoro Road, they are wasting the money and
time, the project will never never mature, I welcome PM on this.

afford to pay use that new toll road.
If they have already executed a
feasibility study to upgrade Morogoro Road, they are wasting the money and
time, the project will never never mature, I welcome PM on this.

hili wazo la mwisho nimelipenda sana.
 
"A cynic is a man who knows the price of everything but the value of nothing" Oscar Wilde.

Investments mbovu nyingi zimeshatokea Tanzania lakini vile vile msiponde bila kuwa na all the relevant information.. Tuogope kuwa na novel ideas in our context kwasababu sis watanzania hatuwezi kufanya kitu chochote cha maana taifa lika pata manufaa.. Walivyojenga UDOM wataingiza shilingi ngapi? Lakini watoto wa hao wanfanyakazi watakao staafu baada ya miaka 30-40 si watasoma na wachangie taifa hili. Constructive criticism tafadhal jamani.
 
Kinyambiss.. hatukosoi kwa ajili ya kukosoa tu; wenzetu huwa wanafanya hizi brain storming ili wazo lililobora zaidi lipatikane. Wao wamekuja na wazo la kuwekeza kwa kiasi kikubwa kwenye miundo mbinu. Well, thats fine.. lakini hatutakiwi kuuliza, kuhoji, kupinga au ndio wakija na wazo zuri tu tulikubali bila kuliangalia kwa karibu?

Kwa mfano, leo kuna habari nyingine kuwa serikali inataka kujengga jumba la makumbusho huko Ngorongoro kwa bilioni 40 (uwanja wa Taifa Mpya umejengwa kwa kama bilioni 50 hivi), je tuulize au tukubali tu kwa vile wamesema?
 
Hivi NSSF inawezaje ku-recover investments kwenye barabara? I am a little bit confused.

Inawezekana baaada ya kujenga hizo barabara wataweka road tolls kama kwenye nchi zinazoendelea in order to return their investment and get profit. I cannot think of any other way.
 
Inawezekana baaada ya kujenga hizo barabara wataweka road tolls kama kwenye nchi zinazoendelea in order to return their investment and get profit. I cannot think of any other way.

na kitu gani kitawafanya watanzania walipe toll na wawasilishe makato yote serikalini?
na ni kitu gani kitawazuia watanzania wasitafute njia mbadala (kuzunguka barabara za tolls)?
 
... I can smell rat somewhere in this scam!

nssf ndilo shirika linalolipa mafao ya mkupuo na pensheni ya kila mwezi kwa kiwango kidogo hapa tanzania, ikilinganishwa na lapf na pspf. Kwa nini wasiongeze kiwango ya mafao, badala ya kuwekeza kwenye umeme? Tunaliwa. Kwenye miradi mikubwa ndiko kuna ulaji kaka!!!
 
Nssf wanaweza kufanikiwa kwani wanaonekana wana mipango madhubuti.. Ila bado zijafurahia hatua hiyo kwani kama nssf hawajaweza kutoa huduma za msingi kwa wanachama wake mfano huduma ya afya bado ni ya chini sana. Huduma ya kifo pamoja na uwazi kuwa mwanachama ananufaika vipi na nssf kuwekeza kwenye majengo, nyumba na hayo mengine mengi.. Lazima nssf waweke hili wazi kwanza.
 
The way I see NSSF they need to review their profile to get things back on track.
Of course they do right thing but in other side have to be answerable when it comes to the ideals of their manifesto which to provide and to promote the welfare of the old workers .It doesn't bring any sense leaving society with low dispensable worth for the intention for keeping their security to sustain accommodation in future despite they mislead by directing into an unintended archieves.
Even though they target to raise interest but it not supposed to be in that way.Why they skip from settlement building constructions projects to be acquired to the worker in credit which have direct impact to their stakeholders.
 
mdondoaji; vizuri umenukuu hiyo sheria; hivi sheria hiyo ya NSSF inaweka utaratibu gani wa kiuangalizi wa kuhakikisha fedha za Wafanyakazi zinawekezwa katika mazingira ambayo yatahakikisha zinakuwa salama na pili ni kwa kiasi gani kuwekeza huko kunaweza kuathiri hifadhi ya jamii ambalo ndio lengo la msingi la NSSF?

Mkuu utaratibu upi unaotaka wa kusimamia fedha za mifuko? Utaratibu wa ndani (Internal monitoring ) au (External Monitoring) utaratibu wa nje. Utaratibu wa ndani umezungumzwa ndani NSSF Act 1997 kama sikosei kuna kiwango cha mwisho cha investment. Wa nje kuna msimamizi ambaye Bank of Tanzania imeelezewa katika Banking and Financial Institution Act of 1991 na ammendments zake. Mkuu BOT wanamonitor vizuri hawa mabwana ndio maana Mkuu wa IMF aliwahi kusifu Financial Industry ya Tanzania iko stable kwani wameweka misingi mizuri ya ufatiliaji.

Labda tatizo MM ni governance kwanini kama kukiwa hakuna accountability katika Fund tusije kushangaa ujenzi wa Kigamboni umegharimu Billioni 20 ila jamaa wameweka billioni 100. Billioni 80 za kwao hapo ndio tunaweza kushikana mashati na hakuna governance authority inayosimamia mashirika ya umma na maamuzi wanayoyafanya. SSA authority inaweza kusimamia funding but internal control itabakia kazi ya CAG ambayo yeye atafatilia kama sheria na utaratibu wa ujenzi umeendana sheria zilizopo but kuna maswali yanabakiwa hayajibiwi mfano Who are the member of Board of Trustee or Directors? Why wana utaratibu wa kicronyism kutoa nafasi za board kwa washkaji? Kwanini wajumbe wanalipwa marupurupu badala ya mshahara ili nao walipe kodi, kuna utaratibu gani kamati ya bunge inatoa kuwasimamia hawa wanaofanya maamuzi, DG anateuliwa na Rais why? Kwanini kamati ya bunge isimteue ili wamfukuze kiurahisi na maswali mengi hayo ni baadhi tu kwani mazingira kama hayo ndio huchangia kuwapo ufisadi.
 
"A cynic is a man who knows the price of everything but the value of nothing" Oscar Wilde.

Investments mbovu nyingi zimeshatokea Tanzania lakini vile vile msiponde bila kuwa na all the relevant information.. Tuogope kuwa na novel ideas in our context kwasababu sis watanzania hatuwezi kufanya kitu chochote cha maana taifa lika pata manufaa.. Walivyojenga UDOM wataingiza shilingi ngapi? Lakini watoto wa hao wanfanyakazi watakao staafu baada ya miaka 30-40 si watasoma na wachangie taifa hili. Constructive criticism tafadhal jamani.

Umenena vizuri.
 
Thanks MM for elaborations.
What I can tell is that there are people inside NSSF (not Dau) who have dreams
of making it an investment fund. Dau is just a reporter. Some of these dreams
will never be true because the current system does not allow them. For instance,
NSSF's plan to build Kigamboni bridge is now a nightmare for two reason: First,
This bridge is supposed to be operated by the forthcoming Kigamboni Development
Authority (KDA) which is the agency similar to Dodoma's CDA....as you can see
there is a power struggle somewhere. I have followed the Kigamboni Bridge proposals for
more than a decade to find a lot of contradictions in the feasibility studies,
the last which is going to throw NSSF out of the bus is this New Kigamboni City
(there are multiple threads in this forum). Second is the formation of Public
Private Partnership program, aka PPP or P3. The last Bunge was supposed to
enact P3 Act, but there are some delays on the bill itself, I don't know what
the government is thinking about. So in nutshell, without P3 it will be a
nightmare for NSSF to form joint venture with private firms to run those
Capital Intensive Projects (CIP). That's why I said, there are people inside
NSSF who have dreams (which may be good) but they dont have platforms to make
them a reality.

To prove some of those
plans/projects are dreams, is the recent NSSF's proposal to four lane Morogoro
road all the way to Chalinze and make it a toll way. To be honest with them,
that is impossible simply because, it is unacceptable to take public
right-of-way and charge it. My advice to them, if they have that ambition, is
to find a new corridor, possibly parallel with Morogoro Road (say from Mabibo
external to Chalinze) a build a brand new road, and let those who can
afford to pay use that new toll road. If they have already executed a
feasibility study to upgrade Morogoro Road, they are wasting the money and
time, the project will never never mature, I welcome PM on this
.

Mkuu,

Hapo umenena ndio maana nyuma nikasema wakiweka road tolls si bora niliweke limkweche langu nyumbani niende tu kwa njia za panya mpaka nifike safari zangu je watafanyaje hapo? Maana unless kama barabara ni muhimu sawa kwani it makes kulipia barabara ambayo haina foleni kufika haraka na usave mafuta but kama barabara ni ileile na mafuta ni yale yale sitapita maana ni additional cost tu mnanipa. Vilevile siliungi mkono kwasababu utachaji kiasi gani kufidia gharama za ujenzi ni ngumu haingii akilini hata kidogo.
 
Swali langu la msingi kwa hizo project ni je

(i) NSSF wamefanya risk analysis katika miradi yote?

(ii) Kuna sheria ambayo inaruhusu NSSF kutumia fedha za wanachma bila wanachama kushirikishwa nasema hivyo kwa sababu kama ikatokea kwamba miradi imeleta hasara haionekani kwamba inaweza kuleta matatizo kwa wanachama kwa kuwa itakuwa pia ni hasara kwao, sasa nani hatawajibika kama itatokea hali kama hiyo?

(iii) Na kama NSSF itapata faida, wanachama watashirikishwa vipi na hiyo faida iliyopatikana nasema hivyo kwa sababu pesa zilizotumika ni zao katika kuleta faida kwa sababu michango ya wanachama ni kama vile mwanachama anavyonunua share kwenye kampuni kwa hiyo kwa nini wasishirikishwe kwenye dividend itakayopatikana?
 
Mkuu utaratibu upi unaotaka wa kusimamia fedha za mifuko? Utaratibu wa ndani (Internal monitoring ) au (External Monitoring) utaratibu wa nje. Utaratibu wa ndani umezungumzwa ndani NSSF Act 1997 kama sikosei kuna kiwango cha mwisho cha investment. Wa nje kuna msimamizi ambaye Bank of Tanzania imeelezewa katika Banking and Financial Institution Act of 1991 na ammendments zake. Mkuu BOT wanamonitor vizuri hawa mabwana ndio maana Mkuu wa IMF aliwahi kusifu Financial Industry ya Tanzania iko stable kwani wameweka misingi mizuri ya ufatiliaji.

Really? hivi unajua jinsi gani Deep Green Finance na makampuni mengine ya gizani yalivyoweza kutumia "financial industry" ambayo iko "stable" kujichotea mabilioni? Kweli baada ya EPA, CIS, BoT Towers, etc unakubali kuwa financial industry yetu ni stable kwa sababu imesifiwa na IMF? Unafikiri IMF wamewahi kusifia financial industry ya Egypt?
 
Namna haya makampuni yanayokusanya hela bila ya kutolea jasho yanavyoendeshwa kwenye nchi zenye rushwa iliyokithiri kama Tanzania ni utata mtupu. Angalieni vizuri jinsi hata kazi zinavyotolewa na investment baada ya kupewa kazi zinafanyikaje! Inachekesha sana kuona hawa hawa NSSF ambao huko nyuma wamehusishwa na rushwa za aina nyingi tu, mfano ni ule wa jengo la quality plaza, wanavyotaka kutufanya watu tumesahau kama wanamatatizo ya rushwa na leo kukimbilia mbele eti ndio wakombozi! Mhhhh!
 
Mkuu,

Hapo umenena ndio maana nyuma nikasema wakiweka road tolls si bora niliweke limkweche langu nyumbani niende tu kwa njia za panya mpaka nifike safari zangu je watafanyaje hapo? Maana unless kama barabara ni muhimu sawa kwani it makes kulipia barabara ambayo haina foleni kufika haraka na usave mafuta but kama barabara ni ileile na mafuta ni yale yale sitapita maana ni additional cost tu mnanipa. Vilevile siliungi mkono kwasababu utachaji kiasi gani kufidia gharama za ujenzi ni ngumu haingii akilini hata kidogo.

Vizuri kabisa nadhani tuko pamoja. Lakini kuna mtu kauliza swali la msingi kweli: kwa vile fedha zinazotumiwa kuingia kwenye hii miradi zinatokana na fedha za wanachama na kama tulivyoambiwa ni "faida" ndiyo inatumika na siyo "principle" - which is not a new idea at all - wanapoanza kufanya hizo biashara (za infrastructure n.k) na wanapata faida zaidi wanachama wanapata vipi faida? Kwa mfano, kampuni ya GM baada ya kurudi kwenye uzalishaji wametangaza leo kuwa wafanyakazi wake watapewa bonus ya dola 4000 (at minimum). Je wanachama wa NSSF wanapata faida gani ya kifedha michango yao inapoingizwa kwenye biashara na kutengeza faida?

Je NSSF (ambayo naona umeitafsiri kama taasisi ya kifedha) inaonaje kuanzisha kitu kama IRA (Individual Retirement Arrangement) ambapo wanachama wanakuwa na akaunti ambazo wanazifungua na NSSF inapopata faida ya kifedha igawe faida hiyo kwenye akaunti za wanachama kila mwaka?
 
Back
Top Bottom