NSSF na Infrastructure Investment: Kigamboni Bridge, IPP, Road Construction.. ???

Topic nzuri sana lakini huko tulikotoka tunajua fika kuwa mleta hoja ana chuki binafsi na mkurugenzi mkuu wa NSSF.
Hapa kulikuwa na thread inayozungumzia UFISADI uliokithiri kule PPF na huyu mheshimiwa hakuja kuleta hoja ya kuuliza kitu
Pension Funds zinginezo zinafanya mambo mazito kama NSSF lakini huyu bwana amemngangania tuu Dr Dau...au kwa sababu jina lake ni RAMADHANI?

na mkitaka ushahidi tazameni threads hizi hapa:

Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?
https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/1643-mengi-vs-manji-ukweli-ni-upi.html

Dk. Dau: NSSF inastawisha maendeleo
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/19479-dk-dau-nssf-inastawisha-maendeleo.html

Dr. Dau achukuliwe hatua kushtakiwa
Dr. Dau achukuliwe hatua kushtakiwa [Archive] - MwanaKijiji.COM

Samahani NSSF, samahani Dr. Dau, Nyoni!
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/19691-samahani-nssf-samahani-dr-dau-nyoni-2.html

NSSF na Vifo Tabora
NSSF na Vifo Tabora [Archive] - MwanaKijiji.COM

Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...kali-na-hatima-ya-taasisi-ya-moyo-thi-33.html

NSSF, NPF na mashirika kama haya Hayasaidii wadau
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-na-mashirika-kama-haya-hayasaidii-wadau.html

Sasa mkishasoma posts zake humo ndio mtaelewa kuwa hata mseme nini au mlete ushahidi wa namna gani, huyu bwana alishamake up his mind ages ago. Mengine bora niyaache tuu kwani hapa si mahala pake.

Ajabu sana PPF tuhuma nzito nzito zimetolewa lakini kimyaaaaa...
 
mimi nilidhani...NSSF ingekuwa ni shirika la umma la kwanza na kubwa kwa ajili ya utoaji mikopo kwa wanachama wake ambao wengi huenda kuchukua mikopo kwenye mabenki binafsi kwa riba kubwa na mikopo hiyo hupatikana kwa nyodo kubwa sana

hivi hii sector ya social security ni monopolized na serikali tu...au private sector wnaweza kufanya... mimi nashauri kuwe na policy ya ku involve private sector kuingia kwenye social security ili kuwe na competition

Ukimuuliza Manji anaweza kukusaidia mbinu yeye alipatajepataje mkopo. Ufisadi mtupu!!!
 
Mimi shida ninayopata ni moja tu. Wanatumia pesa za wanachama ku invest lakini wanachama hawabenefit na hizo projects. Sana sana hata kulipwa mafao pia ni kwa mbinde.
 
Acha wawekeze. Mnataka wajenge tuu nyumba za kuwauzia wafanyakazi. ukweli ni kwamba wana hela nyingi inabidi ziwe invested. Watu mnataka kutegemea FDI ambayo haiwezi kuja sehemu ambayo hamna barabara...hakuna umeme wamaana. Ukweli ni kwamba miuondombinu inahitajika. Acha hivi vitu vijengwe bwana barabara ikisha kuja kama financial analysis imefanyika vizuri, as im sure it has been, basi hela za wafanyakazi zitarudi. NSSF inafwata model ya social security bodies nyingine katika IPP kama malaysia under Dr Mahatya Mohamed. Wamefanikiwa vizuri sana ku improve infrastructure, kwanini sisi tushindwe....????

Tatizo lilipo Tanzania kwa sasa ni uhaba wa pesa, japo tunaweza kusema upo, lakini si mkubwa sana. Tatizo kubwa ni namna ya kuzitumia ina a sustainable manner, unaweza kuchekelea leo kuwa tuna-invest lakini baadaye unaweza kuona tunalia kuwa tulikuwa tunawekewa mtego wa kuja kutuibia pesa zetu.

Ukiangalia siku hizi unaona wazi kabisa serikali inapiga kila siku kelele kuhusu kuvutia wawekezaji...lakini kwenye infructructure kazi inayofanyika ni kama asilimia 2 tu. Mfano mzuri ni kwenye huduma za simu, umeme, maji na barabara. Huduma za landline ni kama zimekufa kabisa, kisa mashrika ya simu za mkononi.

Kimsingi ni kuwa hatuweza kupata serious investments kama hakuna serious investments kwenye miundombinu.
 
Tunatakiwa kuamini kuwa NSSF itakuwa na good governance muda wote? Ni kitu gani kitazuia wanasiasa kuingilia kati mambo ya NSSF either kwa uteuzi unaofanywa na Rais au teuzi zinazofanywa na Waziri?

Mwanakijiji,

Swali la kuwa NSSF itakuwa ni good governance wakati wote ni gumu kulijibu as long as kuna maswali kama vile kwanini mpaka sasa hakuna board of directors in NSSF (Daily News tarehe 2/01/2010). Hivyo utakuta kwamba CEO wa NSSF (or DG) anakuwa very powerful na kukosa mtu wa kumwajibisha. Ila hilo halizuii NSSF isiwekeze kwani linasaidia kukua kwa shirika na so far performance ya NSSF ukilinganisha na mifuko mengine ni bora mara kumi. Sasa je tatizo liko wapi?

Vilevile nimekuuliza lipi baya NSSF anayewekeza katika miradi yenye manufaa kwa taifa mwanakijiji au yule anayepita akihonga wanawake, kusquander millions of pesa za watu wanaokatwa kwenye mfuko wake. Imagine a DG anaiba millioni 500 kuweka katika mfuko wake je wewe huyo ndio unaona mzalendo zaidi kuliko Dau? Na waungwana msifikiri NSSF wako katika hali mbaya tafuteni kwanza balance sheets zao kabla hamjaanza kulalama as long as they have a positive balance sheet invests tu that is how you grow waungwana.
 
Do you mind sharing with us exactly who or what these "non-engineers" might be?

Huyu anasahau kuwa Engineers wanafikiri ufanisi wa ujenzi ila matumizi ya fedha na vp shirika litasurvive ni kazi ya watu waliosomea usimamizi wa fedha na utawala ila mwache nadhani egoism inamsumbua.
 
MMKJJ: Mimi nimtaalam katika nyanja ya Investments tena katika miradi mikubwa ya maendeleo, tume-outsource na ku-plan miradi mikubwa sana EU, Middle east na UK kwa kifupi hapa umegusa eneo langu la kujidai.

Ila sitaweza kuongelea hili la NSSF kiufasaha zaidi mpaka tupate vitu muhimu vitatu (3)

  1. "Project Appraisal"; Hapa tutajua huo mradi hasa wa Barabara na Madaraja inategemea nini katika kurudisha fedha zinazochotwa NNSF, maana mradi unaofadhiliwa laziwa uwe na-return wenyewe kama mradi kama hauwezi ni batiri na wizi wa mchana maana hizo fedha haziwe kurudi, kama wamekosa leo na hawaonyeshi kesho watapata vipi unaamini vipi kuwa kesho watapata, kinacho-wafanya wakose leo ndio kitawanya wakose pia kesho; siyo kusema kuwa wewe fadhili tu nitakulipa fedha zako bila mradi kujionyesha kuwa unaweza kurudisha fedha wenyewe na kwa muda muhafaka.
  2. "Feasibility Study"; Hapa tutajua kitu muhimu sana, mradi unasukumwa na utashi gani? Utashi wa siasa? Utashi wa mahitaji ya Umma yaani ndio First Priority problem ya wenye fedha na Umma unaowazunguka? ndipo linapokuja suala unalosema kuwa kwanini wasiwekeze katika labda kusomesha watoto wa wanachama, au Hospital, au Nyumba za wanachama wake kwa bei nafuu nk, study lazima iwe imeenda mbali kiasi cha kuonyesha hasara gani watapata wanachama iwapo fedha zitachewa kurudishwa kwa mwaka mmoja, miwili nakuendela, Study pia lazima iseme miradi itasimamiwa vipi na itakarabatiwa vipi, mara nyingine study inaweza kumtaka mkopeshwaji kuweka Bima ya Mradi na pia kama wanachama walishirikiswa maana hata hata ni Nchni hisiyo na sheria lazima wanachama washirikiswe iliuwe mradi endelevu maana inaweza kuanzisha migomo ya wanachama kutaka kujito nk nk
  3. Mkataba kati ya Serikali na NSSF; Lazima uwepo, uonyeshe wanategemea kutumia kiasi gani na ni % ngapi ya mapatato yao, jinsi ya kurudisha fedha,nini nia ya serikali katika kushirikisha hilo shirika katika hiyo miradi (Kwanini imechaguliwa Particularly Mradi A nasio H; kwanini wasijenge Lindi na ikawa Tanga na serikali imeweka wapi wakati huo, ni kama nipe nikupe; kuwa wewe nunua mboga mi nitanunua ugali; nk

Tukipata angalao hizo nyaraka tatu tutaweza kujua kilichomo na kuchangia vyema zaidi, ila kwa haraka haraka kutokana na Taaarifa ulizotoa hapa mi naona matatizo makubwa manne (4)

  • NSSF Haiwezi kuwekeza Katika miradi chini ya PPP, kwasababu hizi fedha ni za Security ya Wafanyakazi, na NSSF siyo Private Partiner kwa Serikali. ni Kama serikali inataka kukopa fedha za Wafanyakazi bila ridhaa yao, Risk yake ni hatari sana, Tunaaamini katika kugawana Risk kati ya Umma na Wafanyabiashara (Private); ni vyema kila mtu akajua NSSF siyo Private Entity ya kufanyabiashara, hakuna watu wamewekeza mitaji yao pale nakukubaliana na Risk za Biashara, Makampuni Makubwa ya Ulaya na USA yaliyofirisika mwaka Jana na Juzi Sharers walikubali kwasababu ndio biashara, wao kwa utashi wao waliwekeza mitaji yao kwa ajili ya biashara, sasa hapa Risk yote ya Biashara inabebeshwa Umma, kwa maana ya Wafanyakazi kama hizo fedha zikipotelea huko watakaoteseka ni Umma pengine Umma wa wanyonge peke yako, Kwahiyo Kitaalaam tunashauri Risk kama hiyo ingelibebeshwa Makampuni ya Ushafirishaji na Watumiaji wa Barabara kwa maana wao ndio Malory yao yanaaribu barabara na pengine labda watakuwa na uchungu na Barabara wasi-overload kwasababu ni fedha zao; ukishaona kitu kinafanywa kwa fedha za Umma alafu kikapewa jina Investment huo ni Uongo, hamna Investment hapo utaperi mkubwa, Investment maana yake kuna -analysis ya kitaalam imefanywa na biashara imeoneka inalipa kweli kweli utaona wanakuja wawekeza wanawekeza Mitaji yao hiyo ndio investment, mbona hawakupewa kuchimba madini ambacho nadhani kila mwanachama angerukaruka juu kama angesikia hivyo.
  • Uchumi wa Tanzania bado haujaruhusu Barabara kuwa kitega uchumi (Investment), watu wameandika nadharia nyingi humu bila kuja kila nadharai ina-sehemu na wakati wake, Bado hatujawa na Uchumi wa barabara za kulipia sasa hivi tunapoogea hapa EU na UK wanafikia kuzipunguza mara dufu hadi zisiwepo kabisa kwasababu ya kuyumba kwa uchumi, hatazinapolipiwa hakuna mahala popote hizo fedha zimewai kukidhi gharama za mradi na matengenezo duniani kote hakuna, sasa hivi wenzetu wanakuja na malipo mengine Slaili siyo kupita tu kwenye barabara ulipie, Kama barabara ingeliwa ni Kitega Uchumi tokea zimeanza kujengwa sasa tungeliwa tumekusanya fedha nyingi sana, tafiti zinaonyesha reli inaweza kurudisha fedha ya Ujenzi baada ya miaka 30 hadi 40 siyo barabara, hazijawai kurudisha.
  • Nadhalia ya kuwekeza kupitia Private Partner imejikita katika wafanyabiasha wakubwa ambao biashara zao zinategemea miradi husika, mfano Barabara hapa Tanzania Parner mzuri sasa hivi alipaswa kuwa Barrick na wachimbaji wa madini maana usafirishaji wao mkubwa wa mizigo nk unategemea barabara, siyo Umma, kuchukua fedha NSSF kujengea Daraja haina tofauti na kuchukua fedha Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi kujengea barabara eti kwakuwa labda mwaka huo hawajakopesha wanafunzi wengi, hiyo hairuhusiwi hata kidogo maana hilo sio jukumu lao, kama sijasahau hicho ndicho kilicho uwa mashika yote ya Umma kama UFI, MWATEX, URAFIKI by then nk, huwezi kushindwa huku badala ya kuboresha unaficha mapungufu, NSSF wao wanatakiwa kuhakikisha wanachama wananeemeka kama fedha zipo; Mara mia hiyo kazi ingefanywa na Mabenki
  • Hayo mashirika yakiruhusu hivyo ndio chanzo cha kuanza kunyanyasa wanachama na kuwawekea sheria ngumu za michango na mlolongo mrefu wa kulipwa Pensheni ili waandelee kuwa na fedha za kutosha kufanyia biashara, tutakapoona huo mkataba tutajua mwanachama wakawaida ameshirikiswa vipi, lakini kitaalam NSSF walipaswa kujikita katika miradi ya maendeleo ya wanachama wake kielimu, kiafya, kimakazi, kiuchumi nk, kuna Road Fund wanafanya nini au aina wataalam wao ndio wanajukunu la kutafuta fedha za Barabara si NSSF; Tanzania kuna kuna source nyingi ya fedha za Barabara mpaka nashaangaa wanipe hiyo Road Fund Miaka Mitano fedha za Barabara zitakuwa historia, huwezi kujenga nchni na fedha ambazo hazipo kwenye bajeti ukapata uchumi imara hamna, hakuna strategy ndio maana mambo shangla bagla.

Njia za kupata fedha za barabara ni nyingi sana, Road Fund sijui anayo nani huyo yeye haoni haibu kubebesha NSSF mzigo wa bomu ili-ife.

Kwanza tunashukuru sana kwa kutuonyesha kazi yako ila nakushauri ficha weakness zako kwani hapa JF sio wote wajinga tuko ambao baadhi yetu tumebobea katika fani za Finance,na Sheria na kwa ufupi I have an authority in that area duniani na sio Tanzania tu. Kwanza naomba nikukosoe kitu kimoja katika Finance Investment is defined as investing wisely na hilo linatokana na theory ya risk-return trade-off ambapo for a given level of risk umeweza kuwekeza zaidi ili upate an additional return.

Katika Project Appraisal kuna vitu vitatu vinaangalia kwanza ukubwa wa project yenyewe, ubavu wa kipesa, na muda wa kurudisha hiyo pesa ili kujua kama risks unayochukua inaweza kurudi na je kama hizo risk zikiwa kubwa what is the expected exit strategy? Sasa kwakuwa umehighlight kuwa risk exposure inaweza kuwa kubwa na hivyo NSSF na Umma wanaweza kuumia let me ask you do you have the proposal ya kujenga Kigamboni Project? Tuidiscuss in detail hapa?

Umeshauri kwanini wasiende kuwekeze katika madini for a profit maximisations mie naomba nikupinge kwa experience yangu kimataifa na vilevile sehemu mbalimbali nyengine nilizowahi kufanya kazi. Kwanza katika madini kuna vitu viwili lazima ujue kuwa ukiambiwa morogoro kuna madini haimaanishi ni 100% madini yapo ila geological survey inaonyesha kuwa sehemu ya morogoro kuna madini ya aina hii. Hivyo basi mnaweza kutumia Billioni 1 kuchimba mkakuta ni mchanga mtupu sasa huoni hapo ndio utaimaliza NSSF kuliko kujenga barabara? Pili unaposema kuwa tukachimbe madini jua kwamba faida unazozipata mwisho wa life span ya mgodi lazima ujumuishe faida ulizozipata na gharama za uendeshaji na uchimbaji ndio maana Madini yanakuwa na negative NPV siku zote sasa je huoni risk exposure ya madini ni kubwa zaidi kuliko barabara. Lipi rahisi kuijengea serikali barabaraba kwa mkopo ikisha ukawacharge interest tu au kwenda kuwekeza katika kiza hujui kama utapata au utakosa? World Bank, IDA, IFC wanapata faida kuliko commercial bank from these development projects unajua kwanini?
 
Mkuu, kauli ya serikal kwamba daraja la Kigamboni litalipiwa na wenye magari lipo kwenye hansard ya bunge na halijatolewa lingine tofauti. Kwa nini wenye magari wanaoishi Kigamboni pekee katika hii nchi ndio walipie daraja. Lile la BMkapa mbona halilipiwi? Lile la salenda mbona halilipiwi? Madaraja yote nchini mbona hayakipiwi?

Kila mwenye gari nchi hii analipa kodi. Kwenye mafuta, vipuri, leseni ya barabara, kuandikisha gari, kodi ya kuagiza gari nje ya nchi, kodi ya kuuziana gari, n.k. Pia wanalipa faini mbalimbali za usalama barabarani. Tunaambiwa hizi pesa zote ni kwa ajili ya kujenga na kutunza miundombinu. Kwa nini wakazi wa kigamboni walipie daraja?

Kwa mujibu wa hansard, serikali ya Uholanzi walitoa walichangia mbili ya tatu ya ujenzi wa daraja la Kigamboni. Hizi pesa zilikpelekwa wapi? Kuna wakati serikali ya uholanzi walilalamikia serikali kwamba wanachelewesha mambo. Nani alichelewesha na kwa nini? Kwa nini serikali haikutumia pesa za msaada za uholanzi badala yake wanasukumia hili jambo NSSF na kulazimisha wananchi walipe?

Kama wananchi watalipa hili daraja maana yake ni wao ndio wamelijenga, ni Mali yao siyo serikali. Kwa mantiki hiyo wenye mali hawa ndio wanaotakiwa kukaa na kuamua usanifu na gharama ya kujenga daraja lao, siyo serikali. Kwa nini serikali ndo inayofanya hiyo kazi? Na kwa nini serikali imeweka mizengwe na ukiritimba? Hakuna rushwa na ufisadi?

Mwisho, gharama ya kujenga hili daraja ni bilioni 91, kwa mujibu wa tathmini ya NSSF Kama ilivotolewa na serikali bungeni. Malipo ya tuzo ya Dowani ni bilioni 95. Serikali imekuwa ikitudanganya kwamba inakusudia kujenga daraja hili tangu 2000. Daraja litatumika na watz na litakuza uchumi wa tz. Tuzo ya Dowani siyo ya watz na haitakuza uchumi wa tz. Ni vigezo gani vilivyotumika kuamua malipo ya Dowani ni muhimu kuliko maisha na uchumi wa watz wa Kigamboni?

Mkuu,

Unayo hiyo hansard naomba niisome kwani kwa maneno uliyoyasema na mimi nilivyosikia kutoka katika mmoja ya wadau humo NSSF naona vinapingana. Kama ni mkopo kwa serikali mie naliunga mkono maana ni wazo zuri sana ila kama ni long term investment kwa kutegemea kurudisha hela kwakweli siliungi mkono kwani let us assume daraja limegharimu Billioni 100: wakicharge kila gari shillingi 100 na mtu anayepita ni 50 Tshs inamaana:-

Kwa siku tuseme magari 1000 yanapita inamaana 100 X 1000 = 100,000 per day x 365 = 36,500,000 per year.

Kwa watu inakuwa 10,000 kila siku wanapita 50 x 10,000 = 500,000 per day x 365 = 182,500,000 per year.

Total 219,000,000

Sasa ukiangalia na ujenzi wa daraja la Billioni 100 unapata pay back period = 456 years which is a long period of time na mie kwa hilo sikubaliani nao ni muda mrefu sana. Mkopo nauunga mkono maana serikali ndio inamiliki na NSSF wanalipwa hela zao mambo yanakuwa mazuri.
 
Kwanza tunashukuru sana kwa kutuonyesha kazi yako ila nakushauri ficha weakness zako kwani hapa JF sio wote wajinga tuko ambao baadhi yetu tumebobea katika fani za Finance,na Sheria na kwa ufupi I have an authority in that area duniani na sio Tanzania tu. Kwanza naomba nikukosoe kitu kimoja katika Finance Investment is defined as investing wisely na hilo linatokana na theory ya risk-return trade-off ambapo for a given level of risk umeweza kuwekeza zaidi ili upate an additional return.

Katika Project Appraisal kuna vitu vitatu vinaangalia kwanza ukubwa wa project yenyewe, ubavu wa kipesa, na muda wa kurudisha hiyo pesa ili kujua kama risks unayochukua inaweza kurudi na je kama hizo risk zikiwa kubwa what is the expected exit strategy? Sasa kwakuwa umehighlight kuwa risk exposure inaweza kuwa kubwa na hivyo NSSF na Umma wanaweza kuumia let me ask you do you have the proposal ya kujenga Kigamboni Project? Tuidiscuss in detail hapa?

Umeshauri kwanini wasiende kuwekeze katika madini for a profit maximisations mie naomba nikupinge kwa experience yangu kimataifa na vilevile sehemu mbalimbali nyengine nilizowahi kufanya kazi. Kwanza katika madini kuna vitu viwili lazima ujue kuwa ukiambiwa morogoro kuna madini haimaanishi ni 100% madini yapo ila geological survey inaonyesha kuwa sehemu ya morogoro kuna madini ya aina hii. Hivyo basi mnaweza kutumia Billioni 1 kuchimba mkakuta ni mchanga mtupu sasa huoni hapo ndio utaimaliza NSSF kuliko kujenga barabara? Pili unaposema kuwa tukachimbe madini jua kwamba faida unazozipata mwisho wa life span ya mgodi lazima ujumuishe faida ulizozipata na gharama za uendeshaji na uchimbaji ndio maana Madini yanakuwa na negative NPV siku zote sasa je huoni risk exposure ya madini ni kubwa zaidi kuliko barabara. Lipi rahisi kuijengea serikali barabaraba kwa mkopo ikisha ukawacharge interest tu au kwenda kuwekeza katika kiza hujui kama utapata au utakosa? World Bank, IDA, IFC wanapata faida kuliko commercial bank from these development projects unajua kwanini?

Soma kwanza uelewe sio kukimbia kujibu bila kuelewa swali Bwana Mkubwa, mimi nimesema tupate hizo Docs ndio tutoe michango yetu, wewe ndio una weakness hambazo sisi watu wa Mikataba na Miradi hatuitaki, kuto-kusoma na kuelewa, soma tena hiyo taarifa alafu uniombe sahamani lasivyo nami nita-kuattack. inajieleza nadhani unachojaribu kusema ndicho kilicho andikwa humo, mimi siamini katika maamuzi ya Investment kwa historia au targets, naamini katika study na strategy ndio maana nahitaji hizo documents, hatuwezi kuongelea nadharia hapa nadharia zipo nyingi tutukuwa hatuutendei haki mradi kwa kuujadili kwa nadharia bila study ya mradi husika, ndio maana nimesema kuna makosa makubwa yanaonekana lakini siwezi kutoa mawazo mazuri bila kusoma hizo docs; PILI lazima ujue kuwa wanachama wa NSSF hawakuweka fedha zao kama mitaji pale NSSF kwahiyo any RISK lazima washirikishwe na utaratibu maalum uwepo.

Hayo unayosema wewe ni nadharia ndogo sana kaka, kuna mambo mawili katika hili swala:

  1. Wealthness ya mradi; kama ni investment proper au la! ambayo tutapata katika hizo docs tatu nilizoomba
  2. Uhalali wa NSSF kufanya Biashara bila Ridhaa ya wenye-fedha!! hapo ndipo kwenye tatizo linaloonekana sasa Je kuna uhalali wao kuwekeza hizo fedha katika investment Risk? Biashara yeyote ni Risk lakini NSSF wanauhalali huo, kwa kifupi ni Investors???

Bado nasubiri hizo Docs, kuchangia ila ujue mpaka sasa ni uozo mtupu ku-invest fedha za Umma katika miradi alafu ukasema ni Private investment.
 
Acha wawekeze. Mnataka wajenge tuu nyumba za kuwauzia wafanyakazi. ukweli ni kwamba wana hela nyingi inabidi ziwe invested. Watu mnataka kutegemea FDI ambayo haiwezi kuja sehemu ambayo hamna barabara...hakuna umeme wamaana. Ukweli ni kwamba miuondombinu inahitajika. Acha hivi vitu vijengwe bwana barabara ikisha kuja kama financial analysis imefanyika vizuri, as im sure it has been, basi hela za wafanyakazi zitarudi. NSSF inafwata model ya social security bodies nyingine katika IPP kama malaysia under Dr Mahatya Mohamed. Wamefanikiwa vizuri sana ku improve infrastructure, kwanini sisi tushindwe....????
kuwekeza si tatizo lakini historia ya nssf, na tanzania sio ya hivyo, leo watawekeza kesho wakisha weka mambo sawa, utaambiwa nssf, hawawezi kuendesha hua mradi , hivyo anauziwa fudenge, kama export processing zone walivyo fanya kukompesha mtu halafu waka nunua wao wenyewe kwa bei zaidi ya mara kumi
 
Topic nzuri sana lakini huko tulikotoka tunajua fika kuwa mleta hoja ana chuki binafsi na mkurugenzi mkuu wa NSSF.
Hapa kulikuwa na thread inayozungumzia UFISADI uliokithiri kule PPF na huyu mheshimiwa hakuja kuleta hoja ya kuuliza kitu
Pension Funds zinginezo zinafanya mambo mazito kama NSSF lakini huyu bwana amemngangania tuu Dr Dau...au kwa sababu jina lake ni RAMADHANI?

na mkitaka ushahidi tazameni threads hizi hapa:

Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?
https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/1643-mengi-vs-manji-ukweli-ni-upi.html

Dk. Dau: NSSF inastawisha maendeleo
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/19479-dk-dau-nssf-inastawisha-maendeleo.html

Dr. Dau achukuliwe hatua kushtakiwa
Dr. Dau achukuliwe hatua kushtakiwa [Archive] - MwanaKijiji.COM

Samahani NSSF, samahani Dr. Dau, Nyoni!
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/19691-samahani-nssf-samahani-dr-dau-nyoni-2.html

NSSF na Vifo Tabora
NSSF na Vifo Tabora [Archive] - MwanaKijiji.COM

Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...kali-na-hatima-ya-taasisi-ya-moyo-thi-33.html

NSSF, NPF na mashirika kama haya Hayasaidii wadau
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-na-mashirika-kama-haya-hayasaidii-wadau.html

Sasa mkishasoma posts zake humo ndio mtaelewa kuwa hata mseme nini au mlete ushahidi wa namna gani, huyu bwana alishamake up his mind ages ago. Mengine bora niyaache tuu kwani hapa si mahala pake.

Ajabu sana PPF tuhuma nzito nzito zimetolewa lakini kimyaaaaa...

kama una mengine yalete tu... mtu mzima hatishiwi nyau.
 
Arafat.. umenifanya nijiulize.. wakishajenga hizo barabara za kulipia, watu hawatatafuta njia za mkato?

MMKJJ Kuna vitu vingi sana hapa hapatoshi ila lazima mradi wa njia za kulipia uwena-elements kuu nne(4) kama kweli ni serikali inayowajibika wananchni wake:

  1. Priority ya kwanza ni Equity, kwa vizazi vilivyopo na vijavyo, lazima tafiti na study za Mradi uonyeshe Mtu wa kima cha chini ataishi vipi na atapita wapi? na katika Equity hairuhusiwi kuweka njia za kulipia katika eneo la umuhimu wa lazima kwa Umma, maana yake nini, kama unajenga barabara za kulipia kwenda kigamboni basi kusiwe eneo la lazima na muhimu kwa Mtanzania wa kawaida kwenda, Lazima kusiwe eneo la makazi maana uwezi kulipia njia ya kwenda na kutoka nyumbani mara baada ya kuuza duka kariakoo, kifupi njia ya kulipia haipaswi kuwa ndio njia pekee ya kwenda katika eneo fulani, Maana serikali siyo kwa ajili ya Matajiri peke yao, Lazima Mradi husiwe wakuleta gap katika ya maskini na mataji
  2. Mchango wa Mradi katika Uchumi wa Taifa, kuna mtu emeongea humu maneno ya ajabu na nadharia za 1700, lakini hata kama ni barabara lazima ionyeshwe inachangia nini, kwamba kama uchumi wetu ni say GDP ni 5%, then hiyo barabara husika itasaidia vipi kuongeza hadi 5.2%; ndio maana kwa harakaharaka mi mara nyingi uona hizo barabara kama labda ni harasa. kwasababu hawaoanishi mradi na uchumi wana leta nadharia peke yake, lazima Umma ijue kama mradi husika unajengwa kama pambo kupendezesha nchni au investment!!
  3. Hiyo investment itanyayua vipi hali ya maisha ya watanzania wote na hasa wale walio katika eneo la mradi, hii ndio maana MKJJ utakuta ukiondoka Dar hadi Tunduma utaona bado Watanzani walio karibu na miradi mikubwa ya barabara za lami ni maskini hakuna mabadiliko yoyote, maana yake hakukuwepo andiko lolote la kitaalam ni jinsi gani wao wataweza kujiendeleza na kunyanyua hali zao za maisha kutokana na mradi husika.
  4. Mazingira na Ecology, kuna kitu kinaitwa carrying capacity hapo nadhani ndio kuna majibu ya meli kubwa zitapita vipi, wavuvi wadogo wadogo kama wataathirika nini fidia zao nk

Hapa nina wasiwasi mmoja kuwa hata hizo study hazipo, maana ukisoma wachangiaji humu kuna mmoja nadhani ni mtu wa huko kulingana na maneno anayotoa na Jazba, sasa kama hazipo mimi napata kujiuliza siyo EPA nyingine?? labda fedha zilishatumika sasa wanatafuta Documentation za kukidhi fedha zilipoperekwa. Maana ata fedha za EPA pia zilioneka zipo tu nyingi hazina kazi ndio zikaliwa.
 
Word,NSSF wanatumia fedha za wanachama wake kinyume na objectives zake,hatari ni pale mapato yatakapokuwa madogo au kuporomoka kabisa,wanachama hawatalipwa
 
MMKJJ: Mimi nimtaalam katika nyanja ya Investments tena katika miradi mikubwa ya maendeleo, tume-outsource na ku-plan miradi mikubwa sana EU, Middle east na UK kwa kifupi hapa umegusa eneo langu la kujidai.

Ila sitaweza kuongelea hili la NSSF kiufasaha zaidi mpaka tupate vitu muhimu vitatu (3)

  1. "Project Appraisal"; Hapa tutajua huo mradi hasa wa Barabara na Madaraja inategemea nini katika kurudisha fedha zinazochotwa NNSF, maana mradi unaofadhiliwa laziwa uwe na-return wenyewe kama mradi kama hauwezi ni batiri na wizi wa mchana maana hizo fedha haziwe kurudi, kama wamekosa leo na hawaonyeshi kesho watapata vipi unaamini vipi kuwa kesho watapata, kinacho-wafanya wakose leo ndio kitawanya wakose pia kesho; siyo kusema kuwa wewe fadhili tu nitakulipa fedha zako bila mradi kujionyesha kuwa unaweza kurudisha fedha wenyewe na kwa muda muhafaka.
  2. "Feasibility Study"; Hapa tutajua kitu muhimu sana, mradi unasukumwa na utashi gani? Utashi wa siasa? Utashi wa mahitaji ya Umma yaani ndio First Priority problem ya wenye fedha na Umma unaowazunguka? ndipo linapokuja suala unalosema kuwa kwanini wasiwekeze katika labda kusomesha watoto wa wanachama, au Hospital, au Nyumba za wanachama wake kwa bei nafuu nk, study lazima iwe imeenda mbali kiasi cha kuonyesha hasara gani watapata wanachama iwapo fedha zitachewa kurudishwa kwa mwaka mmoja, miwili nakuendela, Study pia lazima iseme miradi itasimamiwa vipi na itakarabatiwa vipi, mara nyingine study inaweza kumtaka mkopeshwaji kuweka Bima ya Mradi na pia kama wanachama walishirikiswa maana hata hata ni Nchni hisiyo na sheria lazima wanachama washirikiswe iliuwe mradi endelevu maana inaweza kuanzisha migomo ya wanachama kutaka kujito nk nk
  3. Mkataba kati ya Serikali na NSSF; Lazima uwepo, uonyeshe wanategemea kutumia kiasi gani na ni % ngapi ya mapatato yao, jinsi ya kurudisha fedha,nini nia ya serikali katika kushirikisha hilo shirika katika hiyo miradi (Kwanini imechaguliwa Particularly Mradi A nasio H; kwanini wasijenge Lindi na ikawa Tanga na serikali imeweka wapi wakati huo, ni kama nipe nikupe; kuwa wewe nunua mboga mi nitanunua ugali; nk

Tukipata angalao hizo nyaraka tatu tutaweza kujua kilichomo na kuchangia vyema zaidi, ila kwa haraka haraka kutokana na Taaarifa ulizotoa hapa mi naona matatizo makubwa manne (4)

  • NSSF Haiwezi kuwekeza Katika miradi chini ya PPP, kwasababu hizi fedha ni za Security ya Wafanyakazi, na NSSF siyo Private Partiner kwa Serikali. ni Kama serikali inataka kukopa fedha za Wafanyakazi bila ridhaa yao, Risk yake ni hatari sana, Tunaaamini katika kugawana Risk kati ya Umma na Wafanyabiashara (Private); ni vyema kila mtu akajua NSSF siyo Private Entity ya kufanyabiashara, hakuna watu wamewekeza mitaji yao pale nakukubaliana na Risk za Biashara, Makampuni Makubwa ya Ulaya na USA yaliyofirisika mwaka Jana na Juzi Sharers walikubali kwasababu ndio biashara, wao kwa utashi wao waliwekeza mitaji yao kwa ajili ya biashara, sasa hapa Risk yote ya Biashara inabebeshwa Umma, kwa maana ya Wafanyakazi kama hizo fedha zikipotelea huko watakaoteseka ni Umma pengine Umma wa wanyonge peke yako, Kwahiyo Kitaalaam tunashauri Risk kama hiyo ingelibebeshwa Makampuni ya Ushafirishaji na Watumiaji wa Barabara kwa maana wao ndio Malory yao yanaaribu barabara na pengine labda watakuwa na uchungu na Barabara wasi-overload kwasababu ni fedha zao; ukishaona kitu kinafanywa kwa fedha za Umma alafu kikapewa jina Investment huo ni Uongo, hamna Investment hapo utaperi mkubwa, Investment maana yake kuna -analysis ya kitaalam imefanywa na biashara imeoneka inalipa kweli kweli utaona wanakuja wawekeza wanawekeza Mitaji yao hiyo ndio investment, mbona hawakupewa kuchimba madini ambacho nadhani kila mwanachama angerukaruka juu kama angesikia hivyo.
  • Uchumi wa Tanzania bado haujaruhusu Barabara kuwa kitega uchumi (Investment), watu wameandika nadharia nyingi humu bila kuja kila nadharai ina-sehemu na wakati wake, Bado hatujawa na Uchumi wa barabara za kulipia sasa hivi tunapoogea hapa EU na UK wanafikia kuzipunguza mara dufu hadi zisiwepo kabisa kwasababu ya kuyumba kwa uchumi, hatazinapolipiwa hakuna mahala popote hizo fedha zimewai kukidhi gharama za mradi na matengenezo duniani kote hakuna, sasa hivi wenzetu wanakuja na malipo mengine Slaili siyo kupita tu kwenye barabara ulipie, Kama barabara ingeliwa ni Kitega Uchumi tokea zimeanza kujengwa sasa tungeliwa tumekusanya fedha nyingi sana, tafiti zinaonyesha reli inaweza kurudisha fedha ya Ujenzi baada ya miaka 30 hadi 40 siyo barabara, hazijawai kurudisha.
  • Nadhalia ya kuwekeza kupitia Private Partner imejikita katika wafanyabiasha wakubwa ambao biashara zao zinategemea miradi husika, mfano Barabara hapa Tanzania Parner mzuri sasa hivi alipaswa kuwa Barrick na wachimbaji wa madini maana usafirishaji wao mkubwa wa mizigo nk unategemea barabara, siyo Umma, kuchukua fedha NSSF kujengea Daraja haina tofauti na kuchukua fedha Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi kujengea barabara eti kwakuwa labda mwaka huo hawajakopesha wanafunzi wengi, hiyo hairuhusiwi hata kidogo maana hilo sio jukumu lao, kama sijasahau hicho ndicho kilicho uwa mashika yote ya Umma kama UFI, MWATEX, URAFIKI by then nk, huwezi kushindwa huku badala ya kuboresha unaficha mapungufu, NSSF wao wanatakiwa kuhakikisha wanachama wananeemeka kama fedha zipo; Mara mia hiyo kazi ingefanywa na Mabenki
  • Hayo mashirika yakiruhusu hivyo ndio chanzo cha kuanza kunyanyasa wanachama na kuwawekea sheria ngumu za michango na mlolongo mrefu wa kulipwa Pensheni ili waandelee kuwa na fedha za kutosha kufanyia biashara, tutakapoona huo mkataba tutajua mwanachama wakawaida ameshirikiswa vipi, lakini kitaalam NSSF walipaswa kujikita katika miradi ya maendeleo ya wanachama wake kielimu, kiafya, kimakazi, kiuchumi nk, kuna Road Fund wanafanya nini au aina wataalam wao ndio wanajukunu la kutafuta fedha za Barabara si NSSF; Tanzania kuna kuna source nyingi ya fedha za Barabara mpaka nashaangaa wanipe hiyo Road Fund Miaka Mitano fedha za Barabara zitakuwa historia, huwezi kujenga nchni na fedha ambazo hazipo kwenye bajeti ukapata uchumi imara hamna, hakuna strategy ndio maana mambo shangla bagla.

Njia za kupata fedha za barabara ni nyingi sana, Road Fund sijui anayo nani huyo yeye haoni haibu kubebesha NSSF mzigo wa bomu ili-ife.

Arafat,

Twende taratibu na kwa ufasaha:-
a. Umesisitiza kama nikuelewe kuwa hizi pesa za NSSF ni pesa za wafanyakazi na hivyo kuwekeza katika infrastructure au kukopesha ni kuweka pesa za wafanyakazi katika risk!!! (Swali je NSSF ni shirika linalojiendesha kifaida au kutumikia matakwa ya wafanyakazi???)

b. Umesema uchumi wa tanzania hauwezi kufanya infrastructure kama barabara kuwa kitega uchumi (Swali ni je NSSF imesema barabara ni kitega uchumi? Vile vile je huoni kama ujenzi wa barabara unaajiri watanzania, unaongeza pato la nchi kwa kodi, unasaidia kukua kwa viwanda vyetu vya cement?)

c. Umezungumzia kuwaengage private partners ila nashindwa kufahamu kwa vipi wajenge wote barabara? Wasimamie wote barabara au vp? Na kwanini waengage na private partners if they have a financial muscles kama umesoma economics kuna competitive advantages sasa wanaweza kwanini wasiende moja kwa moja waengage partners who sometimes wanaweza kushindwa majukumu na kusababisha project kukwama?

d. Umezungumzia kuhusu ubora wa barabara ila kama sijakosea post za nyuma nimesema kuendesha barabara siliungi mkono ila kutoa mkopo serikali kwa kujenga barabara za kiwango bora kwa mkopo naliunga kwani ni mkopo ambao serikali utaulipa which worthwhile investment.

Hebu fafanua mtaalamu wangu maswali yangu hayo juu nikufahamu venginevyo I stand by my criticism.

d. Umezungumzia swala NSSF iwaneemeshe wafanyakazi wake (kwavile wanachangia) ila umesahau watawaneemisha vp kama hawajainvest ili wakatengeneza faida ili ndio iwaneemeshe wafanyakazi wake? Au ndio mnataka jamaa wakae na cash mikononi zikitakiwa wafanye kama ponzi scheme wakichukua kwa huyu wape yule zaidi ili waneemeke ila baadae shirika licollapse?
 
MMKJJ Kuna vitu vingi sana hapa hapatoshi ila lazima mradi wa njia za kulipia uwena-elements kuu nne(4) kama kweli ni serikali inayowajibika wananchni wake:

  1. Priority ya kwanza ni Equity, kwa vizazi vilivyopo na vijavyo, lazima tafiti na study za Mradi uonyeshe Mtu wa kima cha chini ataishi vipi na atapita wapi? na katika Equity hairuhusiwi kuweka njia za kulipia katika eneo la umuhimu wa lazima kwa Umma, maana yake nini, kama unajenga barabara za kulipia kwenda kigamboni basi kusiwe eneo la lazima na muhimu kwa Mtanzania wa kawaida kwenda, Lazima kusiwe eneo la makazi maana uwezi kulipia njia ya kwenda na kutoka nyumbani mara baada ya kuuza duka kariakoo, kifupi njia ya kulipia haipaswi kuwa ndio njia pekee ya kwenda katika eneo fulani, Maana serikali siyo kwa ajili ya Matajiri peke yao, Lazima Mradi husiwe wakuleta gap katika ya maskini na mataji
  2. Mchango wa Mradi katika Uchumi wa Taifa, kuna mtu emeongea humu maneno ya ajabu na nadharia za 1700, lakini hata kama ni barabara lazima ionyeshwe inachangia nini, kwamba kama uchumi wetu ni say GDP ni 5%, then hiyo barabara husika itasaidia vipi kuongeza hadi 5.2%; ndio maana kwa harakaharaka mi mara nyingi uona hizo barabara kama labda ni harasa. kwasababu hawaoanishi mradi na uchumi wana leta nadharia peke yake, lazima Umma ijue kama mradi husika unajengwa kama pambo kupendezesha nchni au investment!!
  3. Hiyo investment itanyayua vipi hali ya maisha ya watanzania wote na hasa wale walio katika eneo la mradi, hii ndio maana MKJJ utakuta ukiondoka Dar hadi Tunduma utaona bado Watanzani walio karibu na miradi mikubwa ya barabara za lami ni maskini hakuna mabadiliko yoyote, maana yake hakukuwepo andiko lolote la kitaalam ni jinsi gani wao wataweza kujiendeleza na kunyanyua hali zao za maisha kutokana na mradi husika.
  4. Mazingira na Ecology, kuna kitu kinaitwa carrying capacity hapo nadhani ndio kuna majibu ya meli kubwa zitapita vipi, wavuvi wadogo wadogo kama wataathirika nini fidia zao nk

Hapa nina wasiwasi mmoja kuwa hata hizo study hazipo, maana ukisoma wachangiaji humu kuna mmoja nadhani ni mtu wa huko kulingana na maneno anayotoa na Jazba, sasa kama hazipo mimi napata kujiuliza siyo EPA nyingine?? labda fedha zilishatumika sasa wanatafuta Documentation za kukidhi fedha zilipoperekwa. Maana ata fedha za EPA pia zilioneka zipo tu nyingi hazina kazi ndio zikaliwa.

Hebu tuambie hizi Feasibility study unazozisema hazijafanyika na wadau wa NSSF kwanini kwanza tusisubiri kama kuna mtu ana proposal zijadiliwe kuliko kuanza kucritique kitu chenye kuleta maendeleo kwa wanakigamboni au watanzania wengineo. Mie ndio hapo siwaelewi wanaJF mnacriticise someone for bringing development wakati kuna wengine kule wanahonga tu hamsemi kitu. Is it something else you want to criticise au vp?
 
Arafat,

Twende taratibu na kwa ufasaha:-
a. Umesisitiza kama nikuelewe kuwa hizi pesa za NSSF ni pesa za wafanyakazi na hivyo kuwekeza katika infrastructure au kukopesha ni kuweka pesa za wafanyakazi katika risk!!! (Swali je NSSF ni shirika linalojiendesha kifaida au kutumikia matakwa ya wafanyakazi???)

The Board of Trustees of the National Social Security Fund was established under the National Social Security Fund (NSSF) Establishment Act 28 of 1997, which was a result of the transformation of the National Provident Fund into the National Social Security Fund.

The vision of NSSF is to maintain its position as a leading provider of social security in Tanzania, basing on the internationally recognised social insurance principles. The Fund aspires to be a leader in membership coverage, provision of a wide range of benefits, provision of meaningful benefits and in the knowledge of the social security discipline.

The Mission statement of the Fund is to be committed to meet members evolving social security needs and expectations through the utilisation of dedicated human resources and modern technology.

Kama umesoma uchumi utapata jibu, Objectives zozote na strategy yeyote inayofanywa na DG yeyote lazima ziwe ndani ya Mission na Vision, hiyo ndiyo mandeleo ya shirika lolote, siyo kesho ukisikia bangi inalipa basi unaenda kuuza, kesho ukisikia Sigara unaamia huko; kama neno faida umelitumia ukiwa na maana ya Success nitakuelewa lakini kama una-maana ya Profit nitakushangaa sana. Kama unamaanisha linajiendesha kupata-success au matakwa ya Wanachama jibu ni ndiyo hivyo vitu viwili havitengani sana, na-success inapimwa kulingana na Vision na Mission imetekelezwa vipi kwa kila objectives zilizowekwa kwa kila kipindi.

b. Umesema uchumi wa tanzania hauwezi kufanya infrastructure kama barabara kuwa kitega uchumi (Swali ni je NSSF imesema barabara ni kitega uchumi? Vile vile je huoni kama ujenzi wa barabara unaajiri watanzania, unaongeza pato la nchi kwa kodi, unasaidia kukua kwa viwanda vyetu vya cement?)

Kama nikitega-uchumi watupatie project study, tuone-cash flow ya hiyo investment inayoitwa barabara. Tuone
Kama inaongeza pato la serikali, ajira, na kukuza viwanda; sijakataa ndio maana tunataka study ya mradi tuone ajira kiasi ngapi zitaongezeka, pato la serikali litaongezeka kutoka X to XX nk: Lakini swali la Msingi linabaki palepale iwe ndivyo au sivyo je ni jukumu la NSSF, mwenye hilo jukumu ni nani na yupo wapi, huo kuwa hilo jukumu ni serikali kuu?? Kama nimekuelewa vyema, unasema kuwa wao wanatoa mkopo kwa serikali, kitu ambacho siyo kweli Mdondoaji!! Ila tuliachekwanza tupate makataba kati ya serikali na NSSF kama upo! Ingawa katika maneno yako kuna-wakati unaonyesha wana-invest na kuna-wakati unaonyesha wanatoa mkopo kwa serikali!!

c. Umezungumzia kuwaengage private partners ila nashindwa kufahamu kwa vipi wajenge wote barabara? Wasimamie wote barabara au vp? Na kwanini waengage na private partners if they have a financial muscles kama umesoma economics kuna competitive advantages sasa wanaweza kwanini wasiende moja kwa moja waengage partners who sometimes wanaweza kushindwa majukumu na kusababisha project kukwama?

Ni kweli Lakini hatuwezi kujibu hili swali maana linatuchanganya zaidi; Maana kama Jibu la (b) juu ni kuwa wanatoa mkopo kwa serikali basi hili swali linakufa automatically, ila tutabaki na swali moja la je Mkataba unasemaje juu ya mkopo na marejesho. Kama wana-invest hili swali ni la muhimu sana, ila hila sijui kwanini unaliuza maana linakinzana na sehemu (d) ya thread yako hapa chini;

d. Umezungumzia kuhusu ubora wa barabara ila kama sijakosea post za nyuma nimesema kuendesha barabara siliungi mkono ila kutoa mkopo serikali kwa kujenga barabara za kiwango bora kwa mkopo naliunga kwani ni mkopo ambao serikali utaulipa which worthwhile investment.

Hata mi naunga mkono kama ni mkopo lakini, wewe kama Economist, ni sahihi kumkopesha mtu fedha kutumia katika sehemu unajua hiyo fedha haina return?? Yaani hairudishi hizo fedha, haizalishi? Nk. Ila pia tusijudge sasa hivi tusubiri tusome project appraisal, maana ujue kuwa World Bank na IMF wao wanatoa mikopo hata kama wanajua kuwa eneo unalotaka kuweka fedha za mikopo halirudishi hizo fedha watakupa tu wanajua watakubana kwa policy za kigeni na kukufanya mtumwa wao hilo ndio lengo lao kubwa, kama hujui wao wakikupa ukashidwa kurudisha ndio furaha yao hii ni elimu nyingine tuiache, itatupoteza.

d. Umezungumzia swala NSSF iwaneemeshe wafanyakazi wake (kwavile wanachangia) ila umesahau watawaneemisha vp kama hawajainvest ili wakatengeneza faida ili ndio iwaneemeshe wafanyakazi wake? Au ndio mnataka jamaa wakae na cash mikononi zikitakiwa wafanye kama ponzi scheme wakichukua kwa huyu wape yule zaidi ili waneemeke ila baadae shirika licollapse?

Sawa kwamaneno yako name nakubali, ila kumbuka hatukai ku-invest hapa. Tunataka invest sahihi na itakayo rudisha hizo fedha. Wewe mwenyewe umesema huungi mkono barabara kama investment
 
Hebu tuambie hizi Feasibility study unazozisema hazijafanyika na wadau wa NSSF kwanini kwanza tusisubiri kama kuna mtu ana proposal zijadiliwe kuliko kuanza kucritique kitu chenye kuleta maendeleo kwa wanakigamboni au watanzania wengineo. Mie ndio hapo siwaelewi wanaJF mnacriticise someone for bringing development wakati kuna wengine kule wanahonga tu hamsemi kitu. Is it something else you want to criticise au vp?

wapi nimesema hivyo?!! kwenye RED
 
MMKJJ Kuna vitu vingi sana hapa hapatoshi ila lazima mradi wa njia za kulipia uwena-elements kuu nne(4) kama kweli ni serikali inayowajibika wananchni wake:

  1. Priority ya kwanza ni Equity, kwa vizazi vilivyopo na vijavyo, lazima tafiti na study za Mradi uonyeshe Mtu wa kima cha chini ataishi vipi na atapita wapi? na katika Equity hairuhusiwi kuweka njia za kulipia katika eneo la umuhimu wa lazima kwa Umma, maana yake nini, kama unajenga barabara za kulipia kwenda kigamboni basi kusiwe eneo la lazima na muhimu kwa Mtanzania wa kawaida kwenda, Lazima kusiwe eneo la makazi maana uwezi kulipia njia ya kwenda na kutoka nyumbani mara baada ya kuuza duka kariakoo, kifupi njia ya kulipia haipaswi kuwa ndio njia pekee ya kwenda katika eneo fulani, Maana serikali siyo kwa ajili ya Matajiri peke yao, Lazima Mradi husiwe wakuleta gap katika ya maskini na mataji
  2. Mchango wa Mradi katika Uchumi wa Taifa, kuna mtu emeongea humu maneno ya ajabu na nadharia za 1700, lakini hata kama ni barabara lazima ionyeshwe inachangia nini, kwamba kama uchumi wetu ni say GDP ni 5%, then hiyo barabara husika itasaidia vipi kuongeza hadi 5.2%; ndio maana kwa harakaharaka mi mara nyingi uona hizo barabara kama labda ni harasa. kwasababu hawaoanishi mradi na uchumi wana leta nadharia peke yake, lazima Umma ijue kama mradi husika unajengwa kama pambo kupendezesha nchni au investment!!
  3. Hiyo investment itanyayua vipi hali ya maisha ya watanzania wote na hasa wale walio katika eneo la mradi, hii ndio maana MKJJ utakuta ukiondoka Dar hadi Tunduma utaona bado Watanzani walio karibu na miradi mikubwa ya barabara za lami ni maskini hakuna mabadiliko yoyote, maana yake hakukuwepo andiko lolote la kitaalam ni jinsi gani wao wataweza kujiendeleza na kunyanyua hali zao za maisha kutokana na mradi husika.
  4. Mazingira na Ecology, kuna kitu kinaitwa carrying capacity hapo nadhani ndio kuna majibu ya meli kubwa zitapita vipi, wavuvi wadogo wadogo kama wataathirika nini fidia zao nk

Hapa nina wasiwasi mmoja kuwa hata hizo study hazipo, maana ukisoma wachangiaji humu kuna mmoja nadhani ni mtu wa huko kulingana na maneno anayotoa na Jazba, sasa kama hazipo mimi napata kujiuliza siyo EPA nyingine?? labda fedha zilishatumika sasa wanatafuta Documentation za kukidhi fedha zilipoperekwa. Maana ata fedha za EPA pia zilioneka zipo tu nyingi hazina kazi ndio zikaliwa.

Hapa ulikuwa unamaanisha nini kufanya conclusion hii Arafat ndio mie nikakuuliza utaconclude vp kwamba hawajafanya feasibility study wakati mie na wewe NSSF hatupo au mwenzetu unalijua tusilolijua?
 
Nina-wasiwasi, kama upo TZ nadhani unajua zaidi yangu, kama miradi inaanzia Bungeni kwa wabunge kunyoshaa mikono nk unadhani inastudy?? Nimesema nina wasiwasi sijasema hawajafanya.
 
Back
Top Bottom