Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,482
- 40,001
- Thread starter
- #161
Labda tatizo MM ni governance kwanini kama kukiwa hakuna accountability katika Fund tusije kushangaa ujenzi wa Kigamboni umegharimu Billioni 20 ila jamaa wameweka billioni 100. Billioni 80 za kwao hapo ndio tunaweza kushikana mashati na hakuna governance authority inayosimamia mashirika ya umma na maamuzi wanayoyafanya. SSA authority inaweza kusimamia funding but internal control itabakia kazi ya CAG ambayo yeye atafatilia kama sheria na utaratibu wa ujenzi umeendana sheria zilizopo but kuna maswali yanabakiwa hayajibiwi mfano Who are the member of Board of Trustee or Directors? Why wana utaratibu wa kicronyism kutoa nafasi za board kwa washkaji? Kwanini wajumbe wanalipwa marupurupu badala ya mshahara ili nao walipe kodi, kuna utaratibu gani kamati ya bunge inatoa kuwasimamia hawa wanaofanya maamuzi, DG anateuliwa na Rais why? Kwanini kamati ya bunge isimteue ili wamfukuze kiurahisi na maswali mengi hayo ni baadhi tu kwani mazingira kama hayo ndio huchangia kuwapo ufisadi.
tuko kwenye lugha moja nakupata; ndio lengo hasa la kuanzisha mada hii; tujiulize maswali lakini vile vile tutake majibu.