NSSF na Infrastructure Investment: Kigamboni Bridge, IPP, Road Construction.. ???

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,461
39,928
NImeanza kuangalia hapa (ndani ya siku hizi chache zilizopita) na ninaanza kuona tatizo mahali fulani; japo kwa juu inaonekana vizuri sana lakini naanza kuhofia na ninashindwa kuelewa kwanini NSSF inawekeza fedha za wafanyakazi wake kwenye miradi hii mikubwa ya Umeme, Ujenzi wa Madaraja na sasa Ujenzi wa Barabara.

Kuna kitu hakiko sahihi; nia yaweza kuwa nzuri lakini kuna kitu hakiko sahihi... sijui ni kitu gani bado.. lakini something is very very wrong somewhere..

Naomba niongeze kidogo viambatanishi vifuatavyo kusaidia tafakari:

Vizuri kupitia document ya Pension Watch maana inahusiana sana na mjadala wetu hapa na hizo nyingine kuleta picha ya kwanini kwa nchi kama ya kwetu kunahitajika uchambuzi wa kina kabla hatujaachilia pension funds zetu kuingizwa kwatika investments za mambo ya miundombinu.

STORI YA KWANZA:

The National Social Security Fund (NSSF) is seriously thinking of investing in the power sector to help alleviate the country’s recurrent electricity shortfalls.
This was revealed recently by the NSSF’s Director General Dr Ramadhani Dau at the Fund’s Headquarters in Dar es Salaam.
He was presenting a performance report to the newly appointed Minister of Labour and Employment, Ms Gaudensia Kabaka, who was on a brief familiarisation tour of the Fund.
Dr Dau told the minister that the Fund was planning to start producing 300 megawatts to supplement Tanesco’s output.
This, he said, was planned to be ready before the country celebrates her independence Diamond Jubilee at the end of 2011.
The DG further explained that the Fund was also mulling constructing two gas pipelines to transport natural gas from gas fields in southern Tanzania.
He said the first pipeline was planned from Mnazi Bay to Dar es Salaam and onwards to Mwanza.
The second 30- millimetre pipeline would join Dar es Salaam, Tanga and Mombasa, he added. Dr Dau added that arrangements were afoot to redevelop the Mchikichini slum area in Dar es Salaam.
He showed her a prototype of the planned satellite city that is planned to be dotted with skyscrapers, which will provide basic facilities and services.
He said the dwellers whose houses will be pulled down for the project will get priority to settle in the projected three-bedroomed flats which they can buy through an 18,000-dollar soft loan.
The minister who was accompanied by her deputy Dr Makongoro Mahanga, promised to work closely with the Fund’s Management towards realisation of its corporate goals.
The NSSF is the largest social security Fund in the country with over 500,000 members and 56 branches throughout Tanzania.
By Correspondent Alfred Ngotezi, Tanzania Daily News

STORI YA PILI
(Septemba 4, 2009 The Citizen)
The National Social Security Fund (NSSF) is on its way to becoming the first pensions fund in the country to engage in electricity generation.
Early this year the Parliamentary Committee on Public Organizations Accounts (POAC) appealed to the pension funds to consider investing in the power sector to help the government in its efforts to ensure sustainable availability of electricity.
The government has liberalised the sector, with a new law allowing private companies to compete with Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) for the generation, transmission and supply of electricity.
The move was partly in efforts to curtail a power crisis that recurs almost every year due to self insufficiency in the energy supply while a mere 14 per cent of all the population was connected to the national power grid.
On Tuesday NSSF extended an invitation for technical and financial proposals from interested consultants as part of the tendering process for the planned power project.
According to NSSF, consultants would be allowed to bid as a consortium.
The advert indicated the tendering will be conducted through National Competitive Tendering (NCF) procedure and that those consultants who aspire to bid have only until October 1 to do so.
In April POAC chairman Mr Zitto Kabwe, advised social security funds to move in and invest in energy generating projects in order to help the government in its bid to insure sustainable availability of electricity in the country.

He told representatives of social security funds in the country that such an investment would boost the economy, which experiences a deficit of about 300MW. He said it was a shame that nearly 50 years after independence the country was yet to produce enough power to satisfy its needs.
He said the country should spicy up next year's 50th Independence Anniversary with injection of an additional 1,000MW into the national grid.
He also appealed to the government to provide incentives and supports to social security funds so as to enable them undertake power production investments.
He said social security institutions have enough funds to venture into power production projects as one way of supporting economic investments.

STORI YA TATU:
The Tanzania Investment Centre (TIC) has raised serious concern with the National Social Security Fund (NSSF) to seriously embark on the construction of the long awaited Kigamboni Bridge across Dar es Salaam harbour which has enormous economic impact to the nation.
In an interview with the East African Business Week in Dar es Salaam last week, the Executive Director of the TIC, Emmanuel Ole-Naiko, said NSSF, which offered to build the crucial bridge, had not submitted concrete plans for the construction.
He said if NSSF was finding it difficult to proceed, it should drop the matter onto TIC's lap to market the project locally and internationally.
Mr Ole-Naiko said the bridge was necessary to decongest traffic in the five-million people city and speed up economic developments on the Kigamboni side of the city planned for re-development into a model peri-urban community.
"Deliver the Kigamboni bridge and every one will salute you," he urged the NSSF. Ole-Naiko was wondering why the construction of the bridge had not taken off contrary to NSSF's promise to implement it "soon".
He requested the security fund to inform TIC for the latter to re-market the project to interested investors.
The planned bridge is expected to cross Dar harbour bay from Kurasini area thereby enabling a faster and smooth motor transport between the two sections of the city.
To date motorists and pedestrians use ferries to cross to the other side.
Last year NSSF Director General Dr Ramadhani Dau said construction of the Kigamboni Bridge would start in November 2010 and be completed in 18 months' time, but construction hasn't taken off.
The NSSF announced it had sourced a transaction advisor to help negotiate the contract with one of the six companies that won the bidding process. Studies were first conducted in 1991 on the 560-metre long and 14metre wide bridge. The project was earlier estimated to cost Tshs72b (US$48 million) in 2004, but that jumped to Tshs 132 billion.
Earlier plans with designs of six lanes had indicated it would cost more than Tzshs132 billion ($88 million) due to escalation of costs and devaluation of the Tanzania currency. In another development, NSSF is planning to invest in the power generation sector to help alleviate the country's recurrent electricity shortfalls. Dr Dau said the fund was considering building a 300MW plant.

STORI YA NNE: (Daily News May 13, 2009)

The National Social Security Fund (NSSF) yesterday signed an agreement with K&M Archplans Limited to provide detailed designs for the construction of a planned Chancery at Tanzania ís High Commission in Nairobi. The signing was done at the Fundís headquarters in Dar es Salaam by NSSFís Director General Dr Ramadhani Dau and Mr James Kimathi of K&M Archplans Ltd.

Under the new agreement the designers are charged with providing structural details for the planned building before commencement of the tendering process. K&M Archplans Limited has offices in Nairobi and Dar es Salaam The agreement is part of the governmentís long-term effort to minimize administrative costs by constructing and owning buildings housing the countryís foreign missions. Already the government owns 17 such premises out of her 32 foreign missions worldwide.

The initial agreement that resulted in the current agreement was signed on February 28, 2008 by Dr Dau and former acting Permanent Secretary in the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation Ambassador Abubakar Ibrahim.

The project is estimated to cost 23.4 million US dollars. However, the actual construction cost will be known after receipt of construction bids and detailed design data.The government, whose equity in the new project includes the ownership of Plot No. 209/3678 in the up market Upper Hill area of Nairobi , will control 20 per cent of the projectís share capital while the Fund will control the remaining 80 per cent.

The new 26 storey chancery will be built close to the British High Commission and the Embassy of Japan. The construction is scheduled to kick off in September and is expected to be completed by March 2012 before formal handing over in October 2012.

STORI YA SITA (The Citizen)
HAWKERS’ COMPLEX MUST GIVE RETURN ON CAPITAL When the National Social Security Fund (NSSF) injectd 13 billion)
Thursday, 10 February 2011 00:25 digg

When the National Social Security Fund (NSSF) injected some Sh13 billion into the construction of a modern market for hawkers three years ago, the project was seen as part of the solution to the nagging problem of petty traders in Dar es Salaam.

The Machinga Complex, an impressive storey block meant to provide room for hawkers’ stalls had been expected to ease their agony of having to roam the streets come rain or shine and also boost their sales, with customers going to them instead of them having to compete with motor vehicles for space on city roads to sell their wares.

However, things seem to be going contrary to expectations. Some eight months since the building was officially opened for business, there is very little happening there. In fact, one, therefore, immediately gets the impression that the huge investment is nothing other than a white elephant.

Such a magnificent building should be put to optimum use to give a return on the investment. All must not forget that the money spent on the project belongs to workers and must be secured. The government cannot afford to throw away money workers have contributed to secure their old age.

It is only when the building is put to good use by those for whom it was intended that the NSSF can realise a return on its investment. The Fund has been entrusted with the funds to invest in viable ventures. And, we are not in any way suggesting that the reasons for building the complex are no longer valid.

With a Sh568 billion shortfall in government expenditure between last July and November, blamed on poor disbursement of donor funds, the need to expand the country’s tax base could not be more manifest than it is today.

Formalising petty trade, by giving operators proper space such as is to be found in the Machinga Complex, offers the government an opportunity to widen the tax net. Therefore, the proposal by the few tenants to disband Karume Market is an issue that needs to be seriously addressed.

Ilala Municipal Council, which runs the market, and Dar es Salaam City Council, which operates the Machinga Complex do not have power over the central government. We believe the last thing the government would want is to see pensioners’ funds go to waste.

This development casts a shadow on President Kikwete’s pledge during last year’s election campaigns to build five more such complexes in the city. There is clearly a need to review this entire project.
 
Attachments

  • ss5-USSECURITYFUND.pdf
    104.4 KB · Views: 143
  • Texas-CFDocument.pdf
    97.7 KB · Views: 157
  • Pension_Watch-PPP.pdf
    368.1 KB · Views: 141
  • 2.2.BarutionNSSFInvestment.pdf
    789.5 KB · Views: 517
Acha wawekeze. Mnataka wajenge tuu nyumba za kuwauzia wafanyakazi. ukweli ni kwamba wana hela nyingi inabidi ziwe invested. Watu mnataka kutegemea FDI ambayo haiwezi kuja sehemu ambayo hamna barabara...hakuna umeme wamaana. Ukweli ni kwamba miuondombinu inahitajika. Acha hivi vitu vijengwe bwana barabara ikisha kuja kama financial analysis imefanyika vizuri, as im sure it has been, basi hela za wafanyakazi zitarudi. NSSF inafwata model ya social security bodies nyingine katika IPP kama malaysia under Dr Mahatya Mohamed. Wamefanikiwa vizuri sana ku improve infrastructure, kwanini sisi tushindwe....????
 
1.Kwa nini tumeshindwa kuwawajibisha waliotuletea Dowans na Richmond?

2. Kwa nini mpaka teo tunashindwa kuiendesha Tanesco kiufanisi?

3. Kwa nini tumeshindwa kutokomeza rushwa?

4. Kwa nini tumeshindwa kundesha ATC?

5. As such Kwa nini hiyo mipango ya NSSF isishindwe?
 
naona unaelekea kile kilicho nyuma ya swali langu.. thanks.. Kwanini NSSF ionakane kuwa itaweza kufanya yale ambayo Serikali ya CCM imeshindwa kufanya? Hivi NSSF ikipewa Bandari, ATCL, Tanesco.. itashangaza..? Something is not right.. ! Tatizo siyo NSSF kuwekeza tatizo ni kwanini wanaamini NSSF itafanikiwa pale ambapo TANROADS imeshindwa, pale ambapo TANESCO imeshindwa n.k Yawezekana NSSF ina fedha zaidi kuliko serikali?
 
Follow the money. And in this case i mean follow "where the money is actually going".
 
naona unaelekea kile kilicho nyuma ya swali langu.. thanks.. Kwanini NSSF ionakane kuwa itaweza kufanya yale ambayo Serikali ya CCM imeshindwa kufanya? Hivi NSSF ikipewa Bandari, ATCL, Tanesco.. itashangaza..? Something is not right.. ! Tatizo siyo NSSF kuwekeza tatizo ni kwanini wanaamini NSSF itafanikiwa pale ambapo TANROADS imeshindwa, pale ambapo TANESCO imeshindwa n.k Yawezekana NSSF ina fedha zaidi kuliko serikali?

It is also possible na hii siyo ajabu kwamba NSSF wanaweza kuwa na fedha kuliko Serikali na hasa Serikali ya ccm inayowaacha wafanyabiashara wakubwa wasilipe kodi na kuishia kukusanya kodi kwenye pipi, soda, sukari, viberiti, mikate na vitu vingine vidogovidogo vinavyofanana na hivyo. Kwa hiyo mimi sitashangaa nikisikia kwamba NSSF ina hela kuliko serikali ya ccm.
 
Kwa mbali napata harufu ....

Wasingewekeza pesa hii ingekuwa benk siyo?

Halafu unailaje??
 
NImeanza kuangalia hapa (ndani ya siku hizi chache zilizopita) na ninaanza kuona tatizo mahali fulani; japo kwa juu inaonekana vizuri sana lakini naanza kuhofia na ninashindwa kuelewa kwanini NSSF inawekeza fedha za wafanyakazi wake kwenye miradi hii mikubwa ya Umeme, Ujenzi wa Madaraja na sasa Ujenzi wa Barabara.

Kuna kitu hakiko sahihi; nia yaweza kuwa nzuri lakini kuna kitu hakiko sahihi... sijui ni kitu gani bado.. lakini something is very very wrong somewhere..
Being a specialist in electricity sector...I will speak only of their move to generate as IPP...

they initially engaged non engineers to design project just because they sawa power generation deficit...
After I had a chance to see the proposal...oh! Salale!

U just don't do that..the best I can independently adviced them to do, was to procure and install and not whatever they wanted earlier because its not inlinewith PSMP however;

Any private investor should seek first the original n approved POwer System Master plan before venturing..am speaking of power utility investors

Also by committing pensioner's money on a project they have little expertise with..is gamblin...

Mhandisi, mifumo na njia kuu za umeme
 
Acha wawekeze. Mnataka wajenge tuu nyumba za kuwauzia wafanyakazi. ukweli ni kwamba wana hela nyingi inabidi ziwe invested. Watu mnataka kutegemea FDI ambayo haiwezi kuja sehemu ambayo hamna barabara...hakuna umeme wamaana. Ukweli ni kwamba miuondombinu inahitajika. Acha hivi vitu vijengwe bwana barabara ikisha kuja kama financial analysis imefanyika vizuri, as im sure it has been, basi hela za wafanyakazi zitarudi. NSSF inafwata model ya social security bodies nyingine katika IPP kama malaysia under Dr Mahatya Mohamed. Wamefanikiwa vizuri sana ku improve infrastructure, kwanini sisi tushindwe....????
naunga mkono NSSF wawekeze.. lakini i am very skeptical na hawa watu.... tuna ahadi zao kama nne hivi kubwa wameshindwa kutekeleza

As long as they remain with the current team ya brains, hakuna kitu!!! maneno mengi kazi kidogo
 
Kuna uhalali kama wanachama wakiamuaa kugomea uwekezaji huu ambao naona kama una harufuu na misukumo ya kisiasa???
 
MM... hizi ni fedha halali za wazalendo na wala sio za serikali kuu... serikali ime fail na haina fedha... sasa serikali inatumia vibaya na kwa mgongo wa nyuma mashirika ya umma kama NSSF kwa kuingiza pesa za mashirika haya katika miradi ambayo typically ni miradi ya maandeleo inayotakiwa kuwa inapata pesa kutoka kwenye budget ya serikali..... hii inafanywa makusudi ili wananchi waamini kwamba ni serikali inafanya kazi ya maendeleo...

this is typical falsification ... even fools can not stand this type of foolishness
 
NImeanza kuangalia hapa (ndani ya siku hizi chache zilizopita) na ninaanza kuona tatizo mahali fulani; japo kwa juu inaonekana vizuri sana lakini naanza kuhofia na ninashindwa kuelewa kwanini NSSF inawekeza fedha za wafanyakazi wake kwenye miradi hii mikubwa ya Umeme, Ujenzi wa Madaraja na sasa Ujenzi wa Barabara.

Kuna kitu hakiko sahihi; nia yaweza kuwa nzuri lakini kuna kitu hakiko sahihi... sijui ni kitu gani bado.. lakini something is very very wrong somewhere..

Ndiyo..

1. Tuna assume na imechukuliwa ni kama TRA fulani hivi na sio shirika la kuendeleza
wafanyakazi
2. Appointed posts kwenye hili shirika lazima warudishe fadhila kwa waliowateua
ikiwa...(a) aidha kujikomba na kujiingiza kwenye hii miradi
(b) kuombwa na waliowateua wajiingize kwenye hii miradi
3. I believe wasted money from donors can easily refunded using NSSF whenever
questions arises

Sijajua kama wameishaanzisha program kama za kukopesha wafanyakazi wenye michango mikubwa na midogo, ili kuwakwamua ki-uchumi.

Ni kweli inaonekana ni vizuri wakiwekeza kwa sababu wanaweka landmark infrastructures, ila we need to be very careful kuwa isiwe ujanja wa wachache kujipatia fedha kwa visingizio hivi..... na kutoleta ufanisi serikalini wakijua iko sehemu ya kukimbilia.......In neat future usije ukakuta fedha za kulipa posho ya wabunge inatoka NSSF!
 
Tunarudi pale pale CCM inapotaka kutuaminisha kwamba matatizo tuliyonayo ni kwa sababu ya ukosefu wa fedha!!! But here comes what I was told by mom some 25 yrs ago "elfu moja ya mwerevu ni zaidi ya milioni ya mpumbavu" and I have proved it, not one time!
 
NImeanza kuangalia hapa (ndani ya siku hizi chache zilizopita) na ninaanza kuona tatizo mahali fulani; japo kwa juu inaonekana vizuri sana lakini naanza kuhofia na ninashindwa kuelewa kwanini NSSF inawekeza fedha za wafanyakazi wake kwenye miradi hii mikubwa ya Umeme, Ujenzi wa Madaraja na sasa Ujenzi wa Barabara.

Kuna kitu hakiko sahihi; nia yaweza kuwa nzuri lakini kuna kitu hakiko sahihi... sijui ni kitu gani bado.. lakini something is very very wrong somewhere..

Naomba nimnukuu mwananchi mmoja "This is proof that our country has too many politicians and too few statesmen. While the statesmen are concerned with the next generation, the politicians are terribly concerned with the next elections.
Kikwete,dont wait for the coming election"

Kinachokosekana ni ule uthubutu wa kufanya mambo kwa ajili ya vizazi vijavyo wanasiasa wanaangalia uchaguzi ujao vyama vya siasa wanajipanga kwa ajili ya 2015. Yaani wapo busy kiasi kwamba hawakumbuki kufanya mambo muhimu ya kulisaidia taifa.

Nadhani si sawa kwa NSSF kufanya hiyo miradi yote lakini kwa upande mwingine tukiwazuia hakutakuwa na wakuifanya matokeo yake muda unaenda na sisi tutakuwa tunajikongoja kwenye maendeleo.

Ukicompare NSSF contributions wanazokatwa wafanyakazi na pesa zinazopatikana kwenye VAT collections nahisi VAT collections inazidi NSSF duductions japo hizi fugures za VAT huwezi kuambiwa wanapata ngapi! Kuna kodi ya "RoadToll" kodi hii kama ingetumika kwa ajili ya miundombinu tu nina hakika tusingekuwa na matatizo ya kinetiweki na ingesaisa kukuza uchumi kwani accessibility kati ya mashambani na kwenye masoko ingekuwa ni ya uhakika.
 
Acha wawekeze. Mnataka wajenge tuu nyumba za kuwauzia wafanyakazi. ukweli ni kwamba wana hela nyingi inabidi ziwe invested. Watu mnataka kutegemea FDI ambayo haiwezi kuja sehemu ambayo hamna barabara...hakuna umeme wamaana. Ukweli ni kwamba miuondombinu inahitajika. Acha hivi vitu vijengwe bwana barabara ikisha kuja kama financial analysis imefanyika vizuri, as im sure it has been, basi hela za wafanyakazi zitarudi. NSSF inafwata model ya social security bodies nyingine katika IPP kama malaysia under Dr Mahatya Mohamed. Wamefanikiwa vizuri sana ku improve infrastructure, kwanini sisi tushindwe....????

kwa sababu ya rushwa na ubinafsi
 
mimi nilidhani...NSSF ingekuwa ni shirika la umma la kwanza na kubwa kwa ajili ya utoaji mikopo kwa wanachama wake ambao wengi huenda kuchukua mikopo kwenye mabenki binafsi kwa riba kubwa na mikopo hiyo hupatikana kwa nyodo kubwa sana

hivi hii sector ya social security ni monopolized na serikali tu...au private sector wnaweza kufanya... mimi nashauri kuwe na policy ya ku involve private sector kuingia kwenye social security ili kuwe na competition
 
NImeanza kuangalia hapa (ndani ya siku hizi chache zilizopita) na ninaanza kuona tatizo mahali fulani; japo kwa juu inaonekana vizuri sana lakini naanza kuhofia na ninashindwa kuelewa kwanini NSSF inawekeza fedha za wafanyakazi wake kwenye miradi hii mikubwa ya Umeme, Ujenzi wa Madaraja na sasa Ujenzi wa Barabara.

Kuna kitu hakiko sahihi; nia yaweza kuwa nzuri lakini kuna kitu hakiko sahihi... sijui ni kitu gani bado.. lakini something is very very wrong somewhere..

... I can smell rat somewhere in this scam!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom