NSSF inaweza kupoteza Tsh 50 bilioni

Jana tumeshudia serikali ikisalimu amri kuwa itarudisha sheria gereji ili ifanyiwe marekebisho na kuafiki na kilio cha wachngiaji wamifuko ya hifadhi ya jamii juu ya fao la kujitoa. Nimeona tena nguvu ya umma ikishinda. Wachangiaji bila kujali itikadi, dini wadhifa na tofauti nyingine walijitokeza kupinga sheria hii na mwisho tumeshinda mpaka hatua hii na tunaamini hii ni mpaka watakaporidhia kufanya marekebisho tunayaoyataka.

Kumbe tukiamua tunaweza japo wako waliokosoa uelewa wetu wa dhana ya mifuko ya hifadhi ya jamii - tunawasamehe tunajua walikuwa wanaganga njaa kwa kutetea kila kilichopita kama sheria hata baada ya kuona hakifai. Tujifunze katika hili wenye sheria ni sisi na zipo kwa ajili yetu na siyo sisi kwa ajili ya sheria

Nawasilisha

Hata hivyo nimepata hii humuhu JF,sijui Zoma yuko wapi?
 
Mkuu linapokuja suala la takwimu, magazeti mengi ya Tz sio credible source. Bila shaka serikali ina kitengo cha takwimu ambacho ningetegemea kiwe ndo kigezo.Ukumbuke miaka ya katikati mwa 2000 tuliambiwa kutokana na UKIMWI life expectancy was drastically reduced to 42yrs! Sijui hapo napo ikiwekwa gazetini kukanukuu tutaamini lipi? Kimsingi hoja kubwa sio life expectancy hoja kuu ni logic ya kusema wafanyakazi wote wasichukue mafao yao hadi wafikie umri huo, bila kufahamu kuwa tunawafanyakazi wa mkataba miaka miwili au mitatu na mkataba ukiishi unaweza kukaa miaka sita kabla hujapata kazi kwingine. Wewe utakuwa unakula wapi? Basi sheria hiyo iweke provision ya mikopo (make kina Manji wamekopa ambao sio wachangiaji wala wamiliki wa mifuko hiyo...why wafanyakazi wasikopeshwe). Na mifuko imhakikishie mchangiaji kula, kulala kusomesha watoto na huduma nyingine mujimu kipindi chote ambacho hana kazi. Suala jingine kuhusu wafanyakazi mgodini....nadhani hukufahamu! Wanalipa! Kimsingi sheria inakutaka hata msaidizi wa kazi nyumbani (house boy/girl) walipiwe kodi na hata mfanyakazi wa shamba alipiwe kodi!

Tatizo ya amma husomi vizuri hiyo habari ya amma huelewi Kiingereza ya amma hujaifata link iliyowekwa.

No research No right to Speak.
 
Tatizo ya amma husomi vizuri hiyo habari ya amma huelewi Kiingereza ya amma hujaifata link iliyowekwa.

No research No right to Speak.
Oh no...
You again?

I picture you as that proverbial ostritch with its head buried deep in the sand ,oblivious of its stark naked behind waving unceremoniously in the prevailing winds.

You seem to be stuck in am impasse of your own making, un aware of developments around you.

I honestly wish you luck, but the world will definately march on foward prefferably without erratic characters as this one we are witnessing.

Sayonara, and again good luck!
Oh,you definately need all the luck you can muster.
 
Have you come up with corrections on your intentionally misleading figures?
 
Hoja ya fao la mfuko wa hifadhi ya jamii ati hadi mtu afikishe miaka 55 au 60 ndio apewe mafao yake HALIKUBALIKI kwa 100%
 
Mkuu linapokuja suala la credible source....nilichosema ni kwamba Watu wa takwimu ndo wanaweza kutupatia inform kamili. Sijui kama umesoma HBS ya 2007. Hiyo inatupatia data tofauti, around 51..., na kimsingi that is the latest official data ambayo tunaweza kutumia kwa sasa, na zingine zote bado hazijathibitshwa. Muhimu ni kwamba tukubaliane kwa Tz inategemea data ameitoa nani na kwa malengo yapi, otherwise tunakuwa na takwimu nyingi tofauti kwa kitu kile kile....na ndicho nilisema. Hebu tizama hapa tena (na ukumbuke haya ni makadirio ya mwaka jana tuuuuu)

Life expectancy at birth: total population: 53.14 years
male: 51.62 years
female: 54.7 years (2011 est.)
Source: Tanzania Demographics Profile 2012

Tatizo ya amma husomi vizuri hiyo habari ya amma huelewi Kiingereza ya amma hujaifata link iliyowekwa.

No research No right to Speak.
 
Mkuu linapokuja suala la credible source....nilichosema ni kwamba Watu wa takwimu ndo wanaweza kutupatia inform kamili. Sijui kama umesoma HBS ya 2007. Hiyo inatupatia data tofauti, around 51..., na kimsingi that is the latest official data ambayo tunaweza kutumia kwa sasa, na zingine zote bado hazijathibitshwa. Muhimu ni kwamba tukubaliane kwa Tz inategemea data ameitoa nani na kwa malengo yapi, otherwise tunakuwa na takwimu nyingi tofauti kwa kitu kile kile....na ndicho nilisema. Hebu tizama hapa tena (na ukumbuke haya ni makadirio ya mwaka jana tuuuuu)

Life expectancy at birth: total population: 53.14 years
male: 51.62 years
female: 54.7 years (2011 est.)
Source: Tanzania Demographics Profile 2012

By Ludger Kasumuni
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Tanzanians now have higher life expectancy fixed at 58.2 years at birth than the rest of the citizens of East African Community (EAC), the 2011 Human Development Report (HDR) released by the United Nations Development Programme (UNDP) show

Source: Tanzania

Kwa kuwa ushalijuwa hilo, sasa badili post yako, uje kivingine.

Sasa wewe unaona data zako ndio bora kuliko za UNDP? ustake ncheke!
 
Zomba nadhani wewe mgumu wa kuelewa! Nimeongelea credible source....na umeona jinsi gani zilivyotofauti hata zile nilizoweka,nikasema kwa walio wengi ambao hatutumii takwimu kisiasa (make za kisiasa zinapikwa sana hapa tanzania) huwa tunatumia zile tu ambazo tunazipata kutoka kitengo cha Takwimu. Finish! Sources nyingine tunazi-quote with a pinch of salt!
.

UNDP unaijuwa au unaisikia tu? Na umefata link niliyokuwekea? otherwise, sikuelewi.
 
Wewe ZOmba UNDP ipi? Soma hata taarifa za CIA na zile za EIU....on some areas huwa haziaminiki. Linapokuja suala la UNDP jiulize source yao ya data iko wapi? You mean as a country we do not collect and update our own information had uone kuwa zile za UNDP ni credible zaidi kuliko kitengo cha nchi chenye mamlaka ya kukusanya na kukokotoa takwimu? Give me a break! Sitaki kueleza nchi fulani ambako figures zilikuwa inflated simply because donors walidhani wanasababu ya kuelezea hela zimekwenda wapi za msaada pamoja na kuwa in reality there was nothing on the ground! There is a lot of politics and conflicts of interest when it comes to data!

Hizo habari za UNDP nimekubandikia na link na zimetolewa hapahapa Tanzania tena kwa kuita waandishi wa habari na kuzitangaza, hivi wewe upo sawa kweli? kunambia nisome habari ambazo haziko verified? CIA ndio nini si habari za ujasusi? unajuwa maana ya ujasusi? ni kuweka habari na kuwaaminisha watu hizo ndio kweli, hiyo ni moja ya kazi za ujasusi (brain washing). Nikikuita punguani kwa ku quote CIA itakuwa nimekosea? wasome kwenye hizi link kama hujui kuwa hao ni waongo wa kutupwa:

https://www.google.co.tz/search?q=C...rg.mozilla:en-US:official&client=firefox-beta
 
Bila shaka unaweza kuwa na gunia la matusi. Huko siko! Nimekuambia kuhusu sources na malengo ya baadhi ya takwimu, whether ni CIA au nani lazima kujiridhisha kwanza, lakini nadhani unaweza kuwa mstaarabu kuepuka matusi!

Tusi liko wapi hapo? au hujui maana ya punguani nikupe darsa? punguani ni mwenye kutokujuwa undani wa jambo fulani. Kama vile wewe ulivyokuwa hujui kuwa CIA ni waongo wa kutupwa. Tusi liko wapi hapo na ushahidi wa kuwa CIA ni waongo nimekuwekea links.
 
Teh! idiot, mentally deficient person, feebleminded person, half-breed. Kati ya hayo wewe lipi si tusi kwako ukiitwa? I mean maana hizo nimezichukua kwenye kamusi/tafsiri kwenye kamusi ya kiswahili kuelekea ki-elizabeth! Sijui wewe kati ya hayo ulimaanisha lipi ambalo sio tusi! Kwa bahati mbaya tumetoka kwenye uzi na kuingia vitu vingine. Ninaishia hapa kuandika kuhusu hili, maana badala ya kuendeleza hoja tumekwenda ndivyo sivyo! MWISHO! Search results for punguani | fie.nipa Dictionaries&.
Tusi liko wapi hapo? au hujui maana ya punguani nikupe darsa. Tusi liko wapi hapo na ushahidi wa kuwa CIA ni waongo nimekuwekea links.
 
Teh! idiot, mentally deficient person, feebleminded person, half-breed. Kati ya hayo wewe lipi si tusi kwako ukiitwa? I mean maana hizo nimezichukua kwenye kamusi/tafsiri kwenye kamusi ya kiswahili kuelekea ki-elizabeth! Sijui wewe kati ya hayo ulimaanisha lipi ambalo sio tusi! Kwa bahati mbaya tumetoka kwenye uzi na kuingia vitu vingine. Ninaishia hapa kuandika kuhusu hili, maana badala ya kuendeleza hoja tumekwenda ndivyo sivyo! MWISHO! Search results for punguani | fie.nipa Dictionaries&.

Yote hayo si matusi hata kidogo. Ngoja nikupe darsa lingine;

Tusi ni neno lolote lile inategemea linavyotumiwa, naweza kukuita wewe kichwa, ikawa tusi au sifa nzuri kwako. Kuwa punguani sio tusi, ni ubinaadam hakuna binaadam aliyekamilika. Au wewe umekamilika? Hata "kichaa" inaweza kuwa sifa nzuri kutokana na matamshi.

Sasa wewe CIA umekubali kuwa ni waongo na hawana credibility kama ya UNDP.
 
Mkuu mimi nikidhani una upeo wa kuona the fallacy in the Ammendment ya sheria yenyewe na isivyo watendea haki wafanya kazi.

Hata utoe elimu namna gani, the Ammendment does not make sense!

Unategemeaje nini ksma yafuatayo ni dhahiri:
-wafanyakazi wote walipwe after retirement at 55(orabove), wakati hata life expectancy haifiki huko

-it is NOT in thr best interest ya mfanyakazi, kwa vile kuweka hela NSSF ni sawa na kuweka uchagoni kwa
haina interest na inaliwa na inflation

-ni narrow minded ness kutegemea kuwa watu wote(wafanyakazi) lengo lao ni kuishi(after55) kwa kula tu
hiyo hela na si kuinvest katika miradi midogo midogo wanayoiweza, na wanaweza kufanya hivyo wakati wana
nguvu tu na wakiwa na umri mdogo na wanapoihitaji hela hiyo.

Tukubali kuwa SSRA inajaribu kutatua mgogoro unaoikumba NSSF na mashirika mengine ya aina hiyo kwa an unexpected(?) low return on investment.

Nawekea question mark hiyo unexpected low return on investment kwa vile mwendesha mashirika hayo-Serikali-imewekeza katika miradi isiyorudisha mtaji leo wala kesho.
Sehemu nyingine uwekezaji huo ni wa kisisa zaidi kuliko matakwa ya kibiashara. Hapa tuifikirie Machinga Complex, sijui kama mradi huo haukufanyiwa feasibility study, au NSSF haina wachumi?

Miradi mingine kama Dodoma University, ni mizuri lakini you can hardly expect a return on investment inones life time.
All this investment, risk anabeba mfanyakazi, its unfair and unproffessional.

Katika hili elimu inakosekana upande wa Serikali zaidi kuliko upande wowote.

Kuna tofauti kubwa kati ya benki na Mfuko wa Hifadhi.Wakati ambapo benki ni sehemu ambapo watu binafsi au taasisi/kampuni wanatunza fedha au kwa maneno rahisi wanafanya baishara ya fedha, Mifuko ni bima ambapo mwanachama wake akipata janga (contingency) anapata mafao kulingana na janga alilopata bila kujali kiasi cha michango aliyochanga. Ndio maana serikali inaelimisha kutaka raia wasijitoe uanachama wakiwa bado wana nguvu za kufanyakazi. Michango inayochukuliwa na Mifuko hii ni asilimia 10 tu na asilimia 90 zinazobaki anaachiwa mfanyakazi kama mshahara. Ni kiroja 10% uitegemee kujenga nyumba au kufanya biashara ilihali uluachiwa 90% hukufanya.Mafao wakati wa uzee au ulumavu ni muhimu sana.
 
Back
Top Bottom