sio hilo tu,hata manyoni bado ni kubwa
We unamanisha nini? Jimbo la kakonko ni wilaya mpya ya kakonko ambayo imetokana na wilaya ya kibondo kule kigoma.
kabla lilikuwa jimbo la buyungu lina Kata 13, kwa mpango huu wa tume, je wamegawa jimbo la buyungu lenye kata 13 ili kapata jimbo la buyungu na jimbo la kakonko?
Au wamelibatiza jimbo la buyungu jina jipya ambalo ni jimbo la kakonko, nini wamefanya tume?
Kondoa kusini5. Chemba Dodoma
- huku ndo pande zipi tena?
jina tu jimbo ni lilelile,mfano Uvinza(kigoma kusini) upya ni jina la Wilaya
Kweli mkuu Majimbo mengi hapa sio mapya bali majina tu
1.Mlele lilikuwepo na PM Pinda alishinda
2.Kakonko ni Jimbo la Bunyungu la Waziri Chiza
3.Nyasa ni Mbinga Magharibi la RIP Komba
4.Nyang'wale lipo Geita lilitoa Mbunge 2010
Tecknolojia imekuwa, majimbo yanapaswa kuunganishwa, iweje yakatwe katwe tena, gharama za kuendesha wabunge wapya 15 kwa miaka 5 ni kubwa zinatosha kumaliza tatizo la maabara kwa shule za kata zote TZ