fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,065
Dawa ni kuwakataa CCM kwenye majimbo mapya yote, na kuwakataa kwenye majimbo makongwe pia
CCM mbona mnatuongezea mzigo wa walipa kodi tena!!!waliokuwepo tu ni kasheshe kuwahudumia na hawafanyi kazi pale bungeni hao watahitaji ma VX, mishahara isiyokatwa kodi,kutibiwa ulaya nk
Kwa nini msiongeze mahospitali mazuri na shule nzuri???
Nina hoja binafsi hapa ,jimbo la Bukoba vijiji ni kubwa na watu wameongezeka tunataka majimbo mawili kabisa
hakuna mbinu yoyote inayoweza kuokoa ccm kwa sasa , hali ni mbaya sana !MAJIMBO MAPYA YA UCHAGUZI
1. BuhigweKigoma
2. Uvinza Kigoma
3. KakonkoKigoma
4. ButiamaMara
5. Chemba Dodoma
6. Ikungi Singida
7. Itumila Simiyu
8. Kaliua Tabora
9. MbogweGeita
10. MkalamaSingida
11. Mlele Katavi
12. Momba Mbeya
13. Nyang'hwale Geita
14. Nyasa Ruvuma
15. Wanging'ombeNjombe
siasa za magamba ni za kishamba sana !Yaani kama ndio kutafutiana ajira hii sasa imezidi. Hawa tu wanatushinda au kama ni hivyo mambo ya usawa wa jinsia yafutwe hatutaki viti maalum imetosha.
majimbo mengi ya nini? gharama tu mnatupa raia.
Majimbo yote ya Kigoma na Geita na jimbo la Momba, Wanging'ombe na Butiama yanaenda upinzani
Hawa waalimu je.??? Wangelipwa vizuri zaidi
kiwango cha.ufaulu kingeongezeka kuliko majimbo mapya ,,,,,,,,
Waliwadanganya wananchi kuwa serikali ya tatu ingeongeza gharama,hao wabunge 15 posho na mishahara,magari,matibabu.ccm bwana ni zaidi ya wezi