North Mara: Kashfa ya maji ya sumu toka mgodini!

ni wazi kuwa waziri dr. batilda hakutoa maelezo mazuri bungeni kuhusu mgodi wa north mara na spika anajibu hoja kwani yeye waziri....? waziri mwenyewe anatumia maelezo ya Barick kujibu hoja...kwa vyovyote Barick hawezi toa maelezo yanayo mgandamiza. hali ni mbaya zaidi tembeleeni muone
 
Waziri anayehusika na Sekta hiyo Mama Burian ajiuzulu nafasi yake
ni wazi kuwa waziri hakutoa maelezo mazuri kuhusu mgodi wa north mara na spika anajibu hoja kwani yeye waziri....? waziri mwenyewe anatumia maelezo ya Barick kujibu hoja...kwa vyovyote Barick hawezi toa maelezo yanayo mgandamiza
 
Vifo vya watu wale na watu kubabuka midomo ni adhabu tosha kabisa kwa waziri kujiuzulu bila ya maelezo, Mbona watu kama hawa wanafanya nini hapa kwetu Tanzania, Watu wanakufa au ndio haya makampuni yanatoa pesa kwenye uchaguzi CCM, na ndio maana wanakuwa na ugumu sana
 
sito shangaa nikisikia viongizi kule musoma wamepigwa na wananchi,kama serikali haiko makani katika hili...inasikitisha sana.
 
Sisi kama washika dau kuna haja ni kuanzisha kampeni kwa Waziri Burian kujiuzulu Haraka sana kuliko kusimamia mazingira katika mtindo kama huu wa watu maskini kufa kwa sumu hata viumbe vya Mungu
 
Balozi Khamis Kagasheki said:
"Nasikitika sana uongozi wa mgodi kunidanganya. Niliyoyaona nitayapeleka kwa waziri mkuu... kwa kweli si nzuri, itabidi nifikishe ripoti kwa waziri mkuu," alisema naibu waziri huyo akionekana kukasirika.

Sasa Mama Buriani, alikuwa anazungumza nini jana? Hii nchi inahitaji mabadiliko ya hali ya juu sana. kama waziri anatoa majibu yasiyo ya ukweli lengo lake nini hasa??? Inabidi huyu mama ajiuzilu.
 
wamepolute maji na akili za jamaa zangu hawa.Ndo maana kila kukicha vita na mgodi haziishi.halafu kumbe Barrick ni waongo hivyo.Tusijekaa kuwaamini tena maana ndo zao kusema uongo. Barrick Tanzania utafikiri zile kampuni za kihindi kitanzania pale nyerere road. wanaenda enda tu.Hawaogopi hata mambo yenye repercussion kubwa kwao kama haya!! Sijapata ona
 
Sasa serikali yetu ifumbue macho na masikio kusikiliza vilio vyetu wananchi, wamekana sana kuhusu huu mgodi kutiririshakemikali katika maji tunayotumia sisi kama wananchi tunaozunguka eneo husika, nampongeza sana mtu aliyefanikiwa kumpa habari Naibu Waziri ambaye nae hakufanya ajizi akaamua kumsikiliza na kufata kile alichosikia.
 
Hawa jamaa dawa yao ni kufunga mgodi huo maana maisha ya watu ni bora kuliko hata hizo pesa

1700 Employee utawaajiri wewe? wanao toa PAYE ya wastani wa 370,000 kila mmoja kwa mwezi hiyo kodi utalipa wewe....?Utaichimba wewe hiyo dhahabu?Utatoa mrahaba kwa wilaya ya tarime?Wasome wanafunzi 1500 kila mwaka?

Au baada ya kufunga utasema kuwa tanzania imeshidwa kuwapatia ajira wananchi wake...fikiri kabla kujaza post tu humu ndani?

Mwadishi kaingiza siku hapo wewe je?
 
Na siyo haya tu kuna mengi huko, Kule kuna vifusi kibao na tena mashimo kibao

Vile mwisho wa siku baada ya kuchukua dhahabu...hurudishiwa ingawa haitakuwa kama awali..wakati mwingine hufanya sehemu ya wazi kuwa kama mabwawa....kuna badget ya kufanya rehabilitation
 
Kuna haja ya kuwawajibisha baadhi ya watendaji wa Mkoa wa Mara waliokuwa wakitoa kauli za kukebehi madai ya wananchi walioathirika
Na wapewe adhabu kali sana kwa sababu walikuwa wanacheza na maisha ya watu ambao wanapaswa kuwalinda
 
Buswelu, acha kuongea hivyo, watanzania wengi wameanza kuelemika na very soon watapata ukombozi wao, ingawa there is a price to pay, najua unaongea hivyo kwa sababu tu kuna kitu ambacho unafaidika kupitia barrick, na pengine wewe sio mkazi wa Tarime, lakini kumbuka wewe ni mtanzania halisi, na hawa wawekezaji ni wa muda tu, unasema carpet liliibiwa, so, walinzi wa barrick walikuwa wapi? na unafikiri kwa nini watu waje, kuiba carpet? kwangu mimi hainiingii akilini, kwanza kushika tu yale maji yenye acid, lazima utaungua, au utababuka, na kwa nini wasiibe mawe ya dhahabu kulingana na ninavyoelewa, hilo carpet lilikuwa sehemu ambayo ulinzi wake ni mkubwa sana(Leachate pond), sijui walipitaje? anyway, tuamini kuwa walipenya na kuiba carpet! Lakini These people are living in acute or Chronicle poverty(ufukara), dhahabu inayochukuliwa ni nyingi mno na hawa mnaowaita investors hata hawana shukrani, kama wangesomesha mtu yeyote anaetaka kusoma alie mkazi wa tarime at any level(which is very possible), kuanzia kindergarten up to university, na pia kama ingejengwa hospitali ya rufaa pale tarime(nyamongo), na kama kungekuwa na huduma ya maji kwa kila mji tena maji safi na salama, kama kungekuwa na barabara za lami katika wilaya yote ya tarime na mitaa yake, nakuambia usingeona mtu anukuja kuiba,

Kuna mtu aliniambia kuwa, katika campus ya mazimbu pale Sokoine university, bill ya umeme huwa inalipwa na nchi ya south africa eti kwa sababu lile eneo liliwahi kutunza wakimbizi wa south afrika wakati wa ubaguzi wa rangi na utawala wa wakaburu, na kama ni kweli, hiyo ni reprocity kubwa sana(shukrani ya pekee), ni shukrani gani barrick inafanya kwa wakazi wa tarime, eti wanalipa milioni 200 kwa mwaka, kweli hiyo ni sawa? mimi kwa sasa niko switzerland, maji ya kunywa hapa sina haja ya kuchemsha, nachota tu bombani na kunywa maana ni safi na salama, huku hakuna vumbi rafiki yangu, ni lami mpaka naingia chumbani kwangu,

kuna mambo mengi ambayo yanashangaza hapa, ila swali la msingi ni kwamba hawa waswizi, uchumi wao unategemea nini? Nakupa home work, halafu ukipata jibu, linganisha na nchi yetu, ila kwa kukusaidia, kama viongozi wetu wakiwa serious kidogo tu hata katika dhahabu tu, haya yanayo fanyika huku tunaweza kuyafanya TZ na zaidi, Tarime ina mito mingi na milima, hivyo the rate of chemical penetration is very fast, ukilinganisha na geography ya sehemu zingine ulizozitaja kama nzega, bulyanhulu, kahama na geita, pia, na kama hujui jinsi ambavyo pullutant(sumu) inavyo sambaa ardini, ni vema usiwapotoshe watanzania, nakuambia, ikitokea ukafukuzwa hapo(redaduncy), hutaongea hivyo, mimi nimewahi kufanya field yangu hapo barrick, kuna dam(bwawa la kukusanya sumu) linaitwa tailing dam, kwa ajili ya kukusanya sumu zote, lilikuwa limejaa maana tulijaribu kulitembelea lote, kuna upande ulikuwa unamwaga maji yake nje ya hilo dam(bwawa), na ni miaka mitatu imepita sasa, sijui kama mmejenga lingine, maana kipindi linajengwa wali-underestimate lakini inaokana baada ya kugundua kuwa dhahabu ni nyingi, extraction ya dhahabu ikawa kubwa zaidi na kulifanya hilo bwawa kuzidiwa uwezo, niliandika ripoti na kuipeleka shuleni kwangu kuhusiana na hilo tatizo(SIKU MOJA WATAIFANYIA KAZI MAANA ELIMU YA CHUO KIKUU KATIKA NCHI YETU BADO IKO KISIASA ZAIDI),

Lakini iko siku serikali itatambua umuhimu wa ripoti zinazofanywa na wanafunzi wa chuo kikuu. Nataka kukuambia, chemicals hasa hizi tunazoziita heavy metals, zinaweza kukaa mwilini hata miaka 10 na zaidi mwilini, lakini madhara yake ni zaidi ya vizazi vitano. Ni hakika, chemical seepage(kusambaa kwa chemikali ardhini) kupo hapo barrick, wala usikatae, na kibaya zaidi, pale mgodini hakuna kitengo huru cha mazingira cha watu walioajiriwa na serikali, waliopo ni wataalamu wa mazingira wanofanya kazi na kulipwa chini ya Barick, hivyo hawawezi kuongea kinyume cha mgodi, vinginevyo utapoteza kazi, changamoto ni nyingi, ila usitegemee watu kutoka afrika kusini, au Australia wataitunza ardhi ya Tanzania, hata kama watu wengi watakufa, bado watasema sio wao waliosababisha, watasema ni intruders ndio walioiba carpet nashangaa unasema ni ng'ombe tu ndio waliokufa, sijui uliwaza kidogo au ulikurupuka kusema hivyo, samahani kusema hivyo lakini inanigusa maana, kumbuka, kama walikuwa ng'ombe hamsini, na ng'ome kadhaa wakafa, basi ujue hivi, wapo ng'ome ambao walikunya sumu na bado inazunguka mwilini ingawa hawakufa hapohapo, na mara tu utapokunywa maziwa, au nyama yake, utakufa, naomba usiende pale mtaani kunywa maziwa au nyama choma, maana wale ng'ombe waliobaki ndio utakaokula kule.

Napenda kusema kwamba, pengine mimi na wewe hatuweza kuibadilisha nchi yetu, lakini siku moja kuna watu watalipa gharama na kufanya tanzania kuwa kama switzerland, hapa bwana, daladala zinafuata muda, hata kama uko peke yako, au hakuna abiria, muda ukifika tu inaondoka, daladala zote na train zinatumia umeme, Siku moja utaambiwa dhahabu ya Tarime(north mara, imejenga white house,) Maana wazungu waliisha endelea, kilichobaki ni kufanya anasa, wanawezajenga nyumba kwa dhahabu tu wakati mtoto wa mkulima pale ngangoto(Tarime, ameshindwa kulipia karo ya elfu ishirini), wanajua tukisoma sana, tutawafukuza, au hawatafaidika sana na uwekezaji, unafikiri nchi yetu ina amani sana? Kwa mfano, angalia tu wabunge wachache wenyekuipenda nchi yao, walivyopopata information tu, walifichua mambo mambo mengi sana ya kifisadi, hata tukajua kuwa kuna mikataba mingine ilisainiwa hotelini tena usiku, huko uingereza, Amani iliyopo ni kwa sababu watu wengi hawana information za kutosha, siku wakipata infomation, utaona. Asante!
 
Ukweli ni kwamba wameona kuwa Watanzania hawako makini kama hivi. Mbona mamlaka husika zipo wapo ndugu zangu, Asasi za Mazingira zipo wapi??
 
Baada ya kusoma hii post yako itabidi unipe certificate hata ya bidii ya kusoma...ohh ni mengi hakuna paragrah...Andika kidogo na zenye fact....

On the other hand karibu sana JF naona ndio post ya 4 sasa...ukiendelea na kuandika hivi...utakuwa pouwa sana.
 
1700 Employee utawaajiri wewe? wanao toa PAYE ya wastani wa 370,000 kila mmoja kwa mwezi hiyo kodi utalipa wewe....?Utaichimba wewe hiyo dhahabu?Utatoa mrahaba kwa wilaya ya tarime?Wasome wanafunzi 1500 kila mwaka?

Au baada ya kufunga utasema kuwa tanzania imeshidwa kuwapatia ajira wananchi wake...fikiri kabla kujaza post tu humu ndani?

Mwadishi kaingiza siku hapo wewe je?

Buswelu so hiyo list yako hapo juu inathamani kuliko maisha ya hao maskini wa kitanzania?? No wonder hata viongozi wanaona si kazi yao kulinda maisha ya watanzania bali makampuni ya kigeni?
 
Uko mbali uliko ndio tatizo unapata info zikiwa mwisho kabisa..hospital ya nyamongo..mpaka sasa kuna vifaa sema havijawekwa kwenye hospital due poor security.Unaweka fance kwanza ili kuwa na usalama unaamka asubuhu wananchi wameiba...mpaka sasa wanaiba na carpet la kuzuia maji ya sumu.

Lowasa alikuja pale na cement zake ili wajenge shule na uzio wa hospital...akazomewa kama mtoto mdogo...akatoweka na cement zake kaenda toa sehemu ingine..wakabaki wanajiraumu wenyewe....sasa aliye kuwa anawapa nguvu ni marehemu....sasa hivi lazima CCM wafanye kila liwezekanalo kuonyesha kuwa wako serious na issue ya Barrick Nyamongo ili kama itawezekana wapate jimbo hilo next year.So tegemea lolote lakini mind you mgodi una contribute kwa uchumi wa nchi hii..ingawa wewe huupati moja kwa moja....
 
Back
Top Bottom