Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,467
- 113,561
Kama unamagnetic implant MRI no. Sio kila chuma ni magnetic. MRI ina various settings hivyo inawezekana kabisa mtu mwenye vyuma mwilini akafanyiwa MRI.Kuna rafiki yangu alipata ajali akavunjika mikono yake wakamweka mavyuma kisha ati wakam refer akafanyiwe MRI...Huoni kama haya ni maajabu ya Mussa mkuu wangu lini mtu aliyewekwa vyuma mwilini ikapendekezwa na daktari mkuu afanyiwe MRI,chumba chenye sumaku za kuvuta vyuma...kwanza huruhusiwi kuingia mle na chuma cha aina yoyote mwilini.
Hii ya Barric kali, there is more to it than what we hear and see. Kabla mradi haujapitishwa EIA ilifanyika na ikawa ok. Kila kinachotokea eti ni ajali!.