No ryt wthout fyt in tz

Nov 11, 2011
11
0
Hivi ni haki mwanafunzi hana baba wala mama, mwenye division 1.8 na aliyesoma shule za kata o-level na advanc asipate mkopo? wakat huo huo watoto wa mawaziri na wabunge wapewe zaidi ya 80%.. bila kusimama na kupigania haki zetu tatafika? Je UDSM wamekosea kuandamana kwa ajili ya kuwatetea wanyonge?
 
Back
Top Bottom