NMB mnajitahidi sana nakumbuka kipindi cha nyuma kdogo pale Mwenge kulikuwa na tawi moja watu kutoka Bunju, tegeta, Africana, Kawe, Ubungo tunarundikana mpaka kero...
 
NMB ni benki ninayo itumia kwa mshahara. tatizo wafanyabiashara tz wamelizika mno kama hawa tangu tar 6th nov 2014 hata hawajarudi kujibu hoja za wadau.

kunachuo niliwatumia email yakuomba kupata taratibu zao siwafichi toka mwakajana hadi leo natumiwa email za kwenda kusoma USA, yaani hawajisikii hata ukiangalia unaweza soma bure kwa schoolarship au chuo kikakudai baada ya kumaliza, afrika yetu sijui tukoje, au elim yetu?
 
Hii benki co mbaya kwa kuhudumia wkulima na wfugaji. Lakin bahadhi yao HK mawilayani wanajifanya mamiungu watu( nyodo) customer care zero.
 
ninacho kimaanisha hapa ni hata basi baada ya wiki mnawafariji waliowapa maoni ili wajue kwel mpo sasa kimya toka mwaka jana duh, nakumbuka kipindi nasoma ukiriguru nmb misugwi ilikuja kutushawishi kwel tulifungua ac wengi sana sasa huyu anatoa mada na kupotea
 
Nashukuru kupata fursa ya kutoa dukuduku zangu juu ya huduma za NMB tawi ya Mtwara. ndugu mkurugenzi naomba utambue kuwa mtwara sasa ni manispaa inayokuwz kwa kadi sana lakini bank yako haiendani na kasi hiyo katika kutoa huduma.

kuna ATM machine tatu ambazl nazi ni mbovu. kama kuna watumia kumi wa ATM Kwa dakika tano basi watu wanne lazima kadi zao zimezwe. hapo ni banki. ukiend tawi la standi hap mtwara huko ndiko vichekesho.

Chakushangazo hata mawakala walioko Nangwanda na sokoni bado wedi wa kifedha hawana. je haoni kama imefika wakati sasa kufanyamabadiliko ili kuendana na kasi hiyo?

kwanini ziwe mashine zenu tu na zisiwe mashine za bank nyingine. ninawasiswasi na ubira wa mashine hizo nikutakie kazi njema shughulkia tatizo hilo hapa mtwra
 
Hongereni Nmb kujitokeza kupokea mawazo ya watu. Kitendo cha kufuta mikopo kwa wafanyakazi kimewapotezea wateka wengi sana!

Ofisini kwetu karibu wote tulikuwa wateja wenu lakini baada ya kuleta longolongo wote wamehamia kitu cga equit bank.

Poleni kwa hilo! Nawashauri mrudishe huduma ya kukopesha wafanyakazi ili benki iendelee kuwa na wateja wengi!
 
Tunaomba Nmb, Mturudishie 60% Ya Kuchukua Mikopo Kwa Mikopo Ya Salaried Workerr Loan, Kwani 40% Ilyopo Sasa Iko Chini Sana Ukilinganisha Na Gharama Za Maisha
 
Mimi ni mtumishi mpya wa serikali nmefungua akaunti nmb tangu ijumaa ya tarehe tarehe 6/5/ mwaka huu mkaniambia baada ya siku 3 nitapata akaunti namba yangu yaani tarehe 9/5/ sasa nashangaa hadi sasahivi bado kimya na hio kadi ya atm.sijapata though mlisema ni baada ya wiki mbili ambayo ni leo ...yaani siwaelewi mna mambo shenzi nyie mshahara wangu nitapata vipi??

sijapata account namba wala sijapata atm card.....yaani najutaa bora ningejaza crdb yangu tu nlokua nalia boom chuoni daaah.....
 
Mko poa sana ila Riba zenu ni chinjachinja ni sheedah!afu mwisho wa mwezi huwa mnazidiwa iwe kwenye mitandao (sim banking) ukifanya transaxtion via mobile mwisho wa mwezi unadata, pia mistari mirefu sana kama watu wanaenda kupokea chakula cha njaa rekebisheni hilo kuokoa time za wateja muwe fasta!mkiweza hapo mtatisha sana taasisi nyingine zitaisoma!
 
Niwapongeze NMB kwa jitihada zenu za kuanzisha uzi huu kwa ajili ya kuwasiliana na wateja wenu. Kwa kipindi kirefu sasa kwa wakazi wa maeneo ya Tangi Bovu, Goigi, Mbezi Beach Shule pindi tunapohitaji huduma zenu inatulazimu kupanda gari hadi Africana kwa ajili ya kufuata huduma hizo. Je hamuoni umuhimu wa kuweka ATM Machine ama kuanzisha tawi katika maeneo niliyoyataja ili kupunguza adha kwa wateja wenu kama walivyofanya NBC, CRDB na benki zingine?
 
Mimi ni mtumishi mpya wa serikali nmefungua akaunti nmb tangu ijumaa ya tarehe tarehe 6/5/ mwaka huu mkaniambia baada ya siku 3 nitapata akaunti namba yangu yaani tarehe 9/5/ sasa nashangaa hadi sasahivi bado kimya na hio kadi ya atm.sijapata though mlisema ni baada ya wiki mbili ambayo ni leo ...yaani siwaelewi mna mambo shenzi nyie mshahara wangu nitapata vipi??sijapata account namba wala sijapata atm card.....yaani najutaa bora ningejaza crdb yangu tu nlokua nalia boom chuoni daaah.....

Kafungue CRDB. Kama nyaraka zako zote zimekamilika utapata akaunti namba na ATM card ndani ya dakika 45.
 
Ilikuwa alhamisi ya tar 21/05/2015,nilipofanya muamala wa kuhamisha Pesa kutoka kwenye account yangu ya Nmb kwenda kwenye Tigo pesa account cha ajabu kwenye account yangu ya bank haipo na kwenye account yangu ya Tigo Pesa haipo,sasa sijui maana yake nini,na je,Pesa yangu itarudi?ili irudi nifanye nini?
 
Nmb Tafadhali mfungue tawi huku Bumbuli saivi wakazi na wafanyakazi wanaongeza na tunapata tabu sana maana mpaka tufunge safari lushoto .

Fanyeni michakato hiyo
 
Naomba kujua nitakatwa kiasi gani endapo nitatoa pesa kutoka account yangu ya nmb kwenda m pesa
 
Back
Top Bottom