Columbus
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 2,002
- 648
Nimekwenda ku-draw pesa kidogo ya week end katika ATM ya NMB, cha ajabu nimefuata procedure zote na ikaanza kuhesabu lakini ilipofika mwisho ikatoa kadi yangu bila kutoa pesa. Hapo hapo nikapata ujumbe mfupi (Sms) eti nimefaniwa ku-draw kiasi..... cha pesa.
Nimejaribu kuwapiga simu yao 15166 niwaulize lakini inajibu kuwa hiyo namba haipo, nichukue hatua gani jamani!!
Nimejaribu kuwapiga simu yao 15166 niwaulize lakini inajibu kuwa hiyo namba haipo, nichukue hatua gani jamani!!