Leo nimekumbuka tukio ambalo hadi leo naamini Mungu yupo

Mnyakyusa Ipinda

JF-Expert Member
Dec 9, 2020
439
1,526
Basi leo nimekaa nikatafakari a lot of things happened in my life, ni ya kushangaza, kuhuzunisha, kufurahisha pengine na kuchukiza. (one day i will write kitabu changu for sure).

Ila kuna tukio moja ambalo ni miongoni mwa mambo mengi ya kumshukuru Mungu na kumshangaa kwa vile alivyojitokeza. Kuna la kujifunza pia.

Nafupisha matukio ili nielezee tu hili moja. Basi mzee wangu alifariki nikiwa standard 6 that time, mzee alikuwa accountant wa moja ya ofisi muhimu za serikali, but alihamishiwa mkoa mwingine from Dar nikiwa mdogo so sikuwa nimeishi sana Dar.

Mzee alipofariki tulipitia situation nyingi sana ikiwemo ndugu kuuza mali zake almost zote na marafiki zake pia waliuza mali nyingi bila sisi kujua, tulikuwa wadogo sana, mimi na dada yangu. Bad thing mzee hakuishi na mama yetu mzazi bali tuliishi na step mother, pia after step mother alichange after mzee kufariki, hakuuza vitu but aliondoka akaenda kuishi kwenye nyumba zake ambazo mzee alimjengea, pia akachukua na secure mali zilizokuwa kwa jina lake tu, akatuacha na ndugu and they did what they did kuja kushtuka, we have nothing (sijataka kuelezea in details because ni huzuni na matukio ni mengi sana)

Basi nilikuwa na shangazi yangu and she was a judge, and she still is, nilikuwa na stress sana na nilikuwa mdogo, akili yangu ilikuwa ni kusoma tu ndio kutanitoa. Basi nikasema ikifika Likizo nitasafiri kuja Dar nimuone Aunt yangu niishi nae pia anisomeshe as sasa sina kitu wala mtu wakunisaidia.

(NOTE: si kwamba hakukua na watu wa kunisaidia, walikuepo ndugu zake mama, ila walikuwa na maisha ya chini sana na mimi sikuzoea hayo, ilikuwa ni akili ya utoto ambayo naregret sana kudharau ndugu wasio na uwezo)

Nikaenda kwa Judge mmoja alikuwa anafahamiana na mzee na pia najua ma judge wanafahamiana so nikaenda kumuomba number ya huyo shangazi yangu (sikwenda ofisini nilienda nyumbani kwa judge sababu tulikuwa tunakaa one street (nyumba wanazoishi ma judge na watumishi wa serikali baadhi ziko na sehemu yake kama ilivyo ITV Dar), akanipatia number, as nilimwambia ukweli nataka niongee na yeye kuhusu kunichukua na kunisomesha.

Well nilikuwa sina pesa sababu pesa zote za bank ziko controlled na msimamizi wa mirathi ambae hatuelewani sababu hatuhudumii anakula pesa tu na kubadili wanawake, na nilikuwa mdogo hapo niko kama na 11 years tu, akili ikanijia, nikaenda ofisini kwa uncle wangu mmoja alikuwa mkurugenzi wa taasisi moja, japo sikumzoea sababu walikuwa hawaelewani na mzee japo alikuwa kaka yake mama.

Sitaki kuelezea nilimdanganya nini sababu kaka yuko humu ataconnect dot na kujua mimi ni nani na sitaki iwe hivyo and i think yupo humu sababu niliwahi ona App ya JF kwa simu yake. Nikamdanganya kitu akanipatia laki moja kwenye bahasha, hapo hapo nikaondoka nikaenda bus stand, kukata ticket ya bus, nikakuta mabasi yako full kwa siku mbili, na mimi nilitaka niondoke kesho yake bila mtu kujua. Nikapata wazo nitumie train.

Nikaenda Station nikakuta train ya Dar iko hapo inaniangalia na itaanza safari baada ya saa mbili, nikatake long breath nikakata ticket ya first class, hapo hapo nikachukua pikipiki ikanipeleka hadi home, nikachukua nguo kiasi kwenye brifcase nikanawa faster sikumuaga mtu, nikarudi station nikakuta train wanafunga gate wale station nikawahi nikawapa bribe wale askari wakaniwahisha behewa langu la first class safari ikaanza.

HII NDIO SABABU YA KUANDIKA HII THREAD

Baada ya siku mbili tukafika Dar jioni kama saa kumi na mbili, nilikuwa sifahamu mtu mwingine yeyote Dar, na ninaojua wanaishi Dar sina number zao wala sijui wanaishi wapi na sikujali sababu sikuwa naenda kutafuta wao ila shangazi yangu ambae nae pia sikumtaarifu kuwa nakuja, ila sababu alikuwa judge niliamini ningempata very faster.

Nikashuka nikatoka station, nikaenda kutafuta simu, those days kulikuwa na wale watu wa kupigisha simu za mezani ukitoka tu nje ya station. Nikapiga simu ile number haipatikani, giza linaingia, nikasema wacha kiasi, ilipofika mida kama ya saa moja nikasema wacha nipige simu tena,nikajikuta pesa sina, sijui hata zilidondokea wapi ama niliibiwa sijui, nikapata wasiwasi na niko na brifcase yangu na giza linaingia nikaanza kulia nikijua sasa nitalala nje na nitaibiwa kila kitu.

Basi nikavuka barabara nikaenda central police, nikamuelezea askari mmojaa what happened, akanipa simu nikapiga ile number ikaita, ilipoita nikamwambia kwa furaha shangazi is me fulani niko Dar ndio nimekuja leo nahitaji kuja nyumbani.

Alishtuka sana like how comes, mbona kuhuniambia?akauliza uko wapi nikasema police,akasema wait for me hapo hapo ndio nimeshuka na ndege kutokea Ethiopia nakuja kutokea airport usiondoke, nikasema ok sawa, yule askari akachukua simu akamfokea sana shangazi akamwambia huyu mtoto mdogo mnamuacha bila uangalizi, Basi nikaambiwa nikae nimngoja anacome.

Nilikaa pale hadi almost saa tatu hakuna mtu amekuja(sikujua mambo na traffic). Nikaazima tena simu ingine, simu ikawa inaita haipokelewi, na haikupokelewa tenaaaa (kumbe yule askari alianza kumpigia pigia simu na kumsumbua sana shangazi hadi wasaidizi wake wakamwambia shangazi hiyo ni trap ya either majambazi au something big as askari alikuwa anatumia lugha za kihuni etc- nilikuja kujua badae hili).

Nikarudi station nikalala, nililia sana that night, na sikuwa hata nimekula sababu pesa zimepotea. Kesho morning nikaamka sijui nafanyaje, sina simu, sina nalojua. Nikaanza kutembea na brifcase yangu kuelekea side za feri, nilipofika karibu na Utumishi nikaanza kulia tena kwa huzuni.

Basi kuna Jamaa mmoja kama mwarabu, akaniona alikuwa ametoka kwenye panton, panton ilikuwa imeshusha, watu ni wengi lakini hakuna aliejali, walikuwa wakinipita tu na brifcase yangu, ila yule jamaa akaniona akanifata, akaniuliza whats wrong, nikamwambia the whole story, aliskia huzuni sana, akasema leta hiyo number nimpigie, akampigia simu wakaongea na ni kama wakawa wanafokezana tena kwa simu. Basi akasema mbona kama hakutaki huyo shangazi yako anaongea mambo ya ujambazi etc.

Akaniuliza kama nimekula, nikamwambia sijala, akaniambia niache kulia, akanipeleka in a very nice restaurant around mnazi mmoja, akaninunulia samaki mchemsho chapati na juice tukanywa, akanichukua akanipeleka kwenye hotel moja hapo hapo mnazi mmoja, akasema mdogo angu utakaa hapa ghorofa ya tano kwenye hii hotel tuone shangazi yako kama atachange mind. Imagine nilihudumiwa kila kitu na ile hotel na gharama zinaenda kwa yule jamaa, alinijali kama ndugu yake, alikuja kunitembelea mara mbili kwa siku, alisema yeye pia ni Mtanzania ila anaishi Uk ila yuko hapo siku chache tu.

After two days kuisha akasema ameongea na huyo shangazi yangu na amekataa kabisa ku-cooperate. Basi akasema itabidi urudi nyumbani as pia yeye anasafiri anaenda UK na asingependa kuniacha peke yangu mtoto wa 11 years tena Dar.

Akanikatia ticket ya basi, tena zile seat jirani na dereva, akaniletea ticket usiku, na asubuhi akaja na gari na girlfriend wake wakanichukua hadi ubungo, walinitreat kama familia yao, wakanikabidhi kwa dereva, wakampa dereva pesa anihudumie kwa lolote njiani hadi nafika, pia akanipatia elf 50, akaniambia hiyo itakusaidia hadi unafika nyumbani, naongelea elf 50 ya kipindi hicho cha Mkapa. Wakanikumbatia wakasema kila kitu kitakuwa sawa.

Bahati nzuri naingia tu kwenye bus, nakutana na watoto wa jirani yetu mmoja basi nikajifeel safe zaidi as tunajuana sana sana na wao walikuwa wanasoma Dar ila wakawa wanarudi home likizo, so tukaenda wote hadi mkoani, kumbe washapiga simu tuko wote, wakaja kutuchukua na dada yangu pia akaja na wakalia kwa furaha sababu walikuwa hawajui nipo wapi mpaka shangazi alipopiga simu kuulizia what is going on ndio wakamwambia nimepotea, na washareport hadi polisi, etc..

Kumbe watu wema bado wanaishi jamani, i wish huyu jamaa asome hii story hapa kama yupo humu atakumbuka aje pm nimshukuru sana, siku zile mbili tatu niliishi kwa furaha sababu yake, alinijali kama ndugu yake au mtoto wake na hanijui ila akaniamini na akanigharamia everything. Pia kuna watu JF ambao walinisaidia sana enzi hizo za nyuma, tena wanaishi nje ya nchi ila nilihudumiwa na wao kutokea hapa hapa JamiiForums, mawasiliano tumepotezana lakini nikiandika watakumbuka.

Ipo siku nitaandika mengi zaidi........... to be continued...
 
Mungu hawezi kukusaidia mkuu, wa kukusaidia ni mwanadamu mwenzio na stori yako inakubaliana na hilo.
Ni Mungu tu Mkuu, nilikua nimekata tamaa sana, and ndio naamini wakati unapoona umefika mwisho, ndio Mungu wnaanzia hapo. Imagine ningefanya nini kama huyo msamalia asingetokea? I believe Mungu alimleta

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Sawa ila 11 years old unakumbuka stori yote ila nasubiri kwenye miaka hiyo jf na watu wake ilijuana nao vipi?
Well Mkuu nakumbuka mambo mengi sana, im good at it. Yani every details, nakumbuka hadi mambo ambayo ambayo yalitokea wakati niko na 6 years mkuu, ni normal.

Well watu wa Jf forum ni story ingine kabisa wakati nikiwa tayari 18 years mkuu

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Ni Mungu tu Mkuu, nilikua nimekata tamaa sana, and ndio naamini wakati unapoona umefika mwisho, ndio Mungu wnaanzia hapo. Imagine ningefanya nini kama huyo msamalia asingetokea? I believe Mungu alimleta

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app

Sasa hapo aliyekusaidia ni si ni huyo msamalia?
Mungu hapo amekusaidia wapi?
Unasema mungu ndiye kamleta huyo msamalia? Una uthibitisho gani?
Mimi naamini mazingira uliyokuwepo na huyo msamalia alikuwepo na hapo ndipo msaada ukapatika.
Mungu hawezi kukusaidia mkuu.
Kupata Msaada au kukosa msaada inategemea mazingira uliyopo.
 
Sawa Mkuu, pia inawezekana. Shukrani.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Daah aiseeee story nzuri ila Aunt mbeleni alikwambiaje? Bado unamlaumi ama ushasamehe?
It was dissapointing later, but simlaumu kwa sababu fulani fulani na nilishasamehe ila niliumia kibinadamu na kama ako hapa atasoma hii is true niliumia na the next time i visited kwa kile kilitokea kilinisababishia something that i cannot forget, kitaishi na mimi na inaumiza, but is how life is, sometimes unakua very important kama uko na mtu very important to others too like my father, ila akiondoka basi unakua not important as it was, unakua minor issue tena kwa watu wa karibu. Msifanyie hivo watoto, hasa wakiondokea na mzazi, jaribuni kuwazingatia japo kidogo , give them a chance, ikishindikana basi at least umewapea chance ya kuhelp kuliko kuwatupa live live.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Ndo maana wengi wakifiwa wanalia hasa maana wanafahamu msoto watakaopitia sio wa kitoto. Ndugu wengi ni wabinafsi sana,atakuchekea pale mzazi wako yupo ila akiondoka tu matatizo yanaanza. Pole sana kwa uliyopitia
It was dissapointing later, but simlaumu kwa sababu fulani fulani na nilishasamehe ila niliumia kibinadamu na kama ako hapa atasoma hii is true niliumia na the next time i visited kwa kile kilitokea kilinisababishia something that i cannot forget, kitaishi na mimi na inaumiza, but is how life is, sometimes unakua very important kama uko na mtu very important to others too like my father, ila akiondoka basi unakua not important as it was, unakua minor issue tena kwa watu wa karibu. Msifanyie hivo watoto, hasa wakiondokea na mzazi, jaribuni kuwazingatia japo kidogo , give them a chance, ikishindikana basi at least umewapea chance ya kuhelp kuliko kuwatupa live live.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Basi leo nimekaa nikatafakari a lot of things happened in my life, ni ya kushangaza, kuhuzunisha, kufurahisha pengine na kuchukiza. (one day i will write kitabu changu for sure).

Ila kuna tukio moja ambalo ni miongoni mwa mambo mengi ya kumshukuru Mungu na kumshangaa kwa vile alivyojitokeza. Kuna la kujifunza pia.

Nafupisha matukio ili nielezee tu hili moja. Basi mzee wangu alifariki nikiwa standard 6 that time, mzee alikuwa accountant wa moja ya ofisi muhimu za serikali, but alihamishiwa mkoa mwingine from Dar nikiwa mdogo so sikuwa nimeishi sana Dar.

Mzee alipofariki tulipitia situation nyingi sana ikiwemo ndugu kuuza mali zake almost zote na marafiki zake pia waliuza mali nyingi bila sisi kujua, tulikuwa wadogo sana, mimi na dada yangu. Bad thing mzee hakuishi na mama yetu mzazi bali tuliishi na step mother, pia after step mother alichange after mzee kufariki, hakuuza vitu but aliondoka akaenda kuishi kwenye nyumba zake ambazo mzee alimjengea, pia akachukua na secure mali zilizokuwa kwa jina lake tu, akatuacha na ndugu and they did what they did kuja kushtuka, we have nothing (sijataka kuelezea in details because ni huzuni na matukio ni mengi sana)

Basi nilikuwa na shangazi yangu and she was a judge, and she still is, nilikuwa na stress sana na nilikuwa mdogo, akili yangu ilikuwa ni kusoma tu ndio kutanitoa. Basi nikasema ikifika Likizo nitasafiri kuja Dar nimuone Aunt yangu niishi nae pia anisomeshe as sasa sina kitu wala mtu wakunisaidia. (NOTE: si kwamba hakukua na watu wa kunisaidia, walikuepo ndugu zake mama, ila walikuwa na maisha ya chini sana na mimi sikuzoea hayo, ilikuwa ni akili ya utoto ambayo naregret sana kudharau ndugu wasio na uwezo)

Nikaenda kwa Judge mmoja alikuwa anafahamiana na mzee na pia najua ma judge wanafahamiana so nikaenda kumuomba number ya huyo shangazi yangu (sikwenda ofisini nilienda nyumbani kwa judge sababu tulikuwa tunakaa one street (nyumba wanazoishi ma judge na watumishi wa serikali baadhi ziko na sehemu yake kama ilivyo ITV Dar), akanipatia number, as nilimwambia ukweli nataka niongee na yeye kuhusu kunichukua na kunisomesha.

Well nilikuwa sina pesa sababu pesa zote za bank ziko controlled na msimamizi wa mirathi ambae hatuelewani sababu hatuhudumii anakula pesa tu na kubadili wanawake, na nilikuwa mdogo hapo niko kama na 11 years tu, akili ikanijia, nikaenda ofisini kwa uncle wangu mmoja alikuwa mkurugenzi wa taasisi moja, japo sikumzoea sababu walikuwa hawaelewani na mzee japo alikuwa kaka yake mama.

Sitaki kuelezea nilimdanganya nini sababu kaka yuko humu ataconnect dot na kujua mimi ni nani na sitaki iwe hivyo and i think yupo humu sababu niliwahi ona App ya JF kwa simu yake. Nikamdanganya kitu akanipatia laki moja kwenye bahasha, hapo hapo nikaondoka nikaenda bus stand, kukata ticket ya bus, nikakuta mabasi yako full kwa siku mbili, na mimi nilitaka niondoke kesho yake bila mtu kujua. Nikapata wazo nitumie train.

Nikaenda Station nikakuta train ya Dar iko hapo inaniangalia na itaanza safari baada ya saa mbili, nikatake long breath nikakata ticket ya first class, hapo hapo nikachukua pikipiki ikanipeleka hadi home, nikachukua nguo kiasi kwenye brifcase nikanawa faster sikumuaga mtu, nikarudi station nikakuta train wanafunga gate wale station nikawahi nikawapa bribe wale askari wakaniwahisha behewa langu la first class safari ikaanza.

HII NDIO SABABU YA KUANDIKA HII THREAD

Baada ya siku mbili tukafika Dar jioni kama saa kumi na mbili, nilikuwa sifahamu mtu mwingine yeyote Dar, na ninaojua wanaishi Dar sina number zao wala sijui wanaishi wapi na sikujali sababu sikuwa naenda kutafuta wao ila shangazi yangu ambae nae pia sikumtaarifu kuwa nakuja, ila sababu alikuwa judge niliamini ningempata very faster.

Nikashuka nikatoka station, nikaenda kutafuta simu, those days kulikuwa na wale watu wa kupigisha simu za mezani ukitoka tu nje ya station. Nikapiga simu ile number haipatikani, giza linaingia, nikasema wacha kiasi, ilipofika mida kama ya saa moja nikasema wacha nipige simu tena,nikajikuta pesa sina, sijui hata zilidondokea wapi ama niliibiwa sijui, nikapata wasiwasi na niko na brifcase yangu na giza linaingia nikaanza kulia nikijua sasa nitalala nje na nitaibiwa kila kitu.

Basi nikavuka barabara nikaenda central police, nikamuelezea askari mmojaa what happened, akanipa simu nikapiga ile number ikaita, ilipoita nikamwambia kwa furaha shangazi is me fulani niko Dar ndio nimekuja leo nahitaji kuja nyumbani.

Alishtuka sana like how comes, mbona kuhuniambia?akauliza uko wapi nikasema police,akasema wait for me hapo hapo ndio nimeshuka na ndege kutokea Ethiopia nakuja kutokea airport usiondoke, nikasema ok sawa, yule askari akachukua simu akamfokea sana shangazi akamwambia huyu mtoto mdogo mnamuacha bila uangalizi, Basi nikaambiwa nikae nimngoja anacome.

Nilikaa pale hadi almost saa tatu hakuna mtu amekuja(sikujua mambo na traffic). Nikaazima tena simu ingine, simu ikawa inaita haipokelewi, na haikupokelewa tenaaaa (kumbe yule askari alianza kumpigia pigia simu na kumsumbua sana shangazi hadi wasaidizi wake wakamwambia shangazi hiyo ni trap ya either majambazi au something big as askari alikuwa anatumia lugha za kihuni etc- nilikuja kujua badae hili).

Nikarudi station nikalala, nililia sana that night, na sikuwa hata nimekula sababu pesa zimepotea. Kesho morning nikaamka sijui nafanyaje, sina simu, sina nalojua. Nikaanza kutembea na brifcase yangu kuelekea side za feri, nilipofika karibu na Utumishi nikaanza kulia tena kwa huzuni.

Basi kuna Jamaa mmoja kama mwarabu, akaniona alikuwa ametoka kwenye panton, panton ilikuwa imeshusha, watu ni wengi lakini hakuna aliejali, walikuwa wakinipita tu na brifcase yangu, ila yule jamaa akaniona akanifata, akaniuliza whats wrong, nikamwambia the whole story, aliskia huzuni sana, akasema leta hiyo number nimpigie, akampigia simu wakaongea na ni kama wakawa wanafokezana tena kwa simu. Basi akasema mbona kama hakutaki huyo shangazi yako anaongea mambo ya ujambazi etc.

Akaniuliza kama nimekula, nikamwambia sijala, akaniambia niache kulia, akanipeleka in a very nice restaurant around mnazi mmoja, akaninunulia samaki mchemsho chapati na juice tukanywa, akanichukua akanipeleka kwenye hotel moja hapo hapo mnazi mmoja, akasema mdogo angu utakaa hapa ghorofa ya tano kwenye hii hotel tuone shangazi yako kama atachange mind. Imagine nilihudumiwa kila kitu na ile hotel na gharama zinaenda kwa yule jamaa, alinijali kama ndugu yake, alikuja kunitembelea mara mbili kwa siku, alisema yeye pia ni Mtanzania ila anaishi Uk ila yuko hapo siku chache tu. After two days kuisha akasema ameongea na huyo shangazi yangu na amekataa kabisa ku-cooperate. Basi akasema itabidi urudi nyumbani as pia yeye anasafiri anaenda UK na asingependa kuniacha peke yangu mtoto wa 11 years tena Dar.

Akanikatia ticket ya basi, tena zile seat jirani na dereva, akaniletea ticket usiku, na asubuhi akaja na gari na girlfriend wake wakanichukua hadi ubungo, walinitreat kama familia yao, wakanikabidhi kwa dereva, wakampa dereva pesa anihudumie kwa lolote njiani hadi nafika, pia akanipatia elf 50, akaniambia hiyo itakusaidia hadi unafika nyumbani, naongelea elf 50 ya kipindi hicho cha Mkapa. Wakanikumbatia wakasema kila kitu kitakuwa sawa. Bahati nzuri naingia tu kwenye bus, nakutana na watoto wa jirani yetu mmoja basi nikajifeel safe zaidi as tunajuana sana sana na wao walikuwa wanasoma Dar ila wakawa wanarudi home likizo, so tukaenda wote hadi mkoani, kumbe washapiga simu tuko wote, wakaja kutuchukua na dada yangu pia akaja na wakalia kwa furaha sababu walikuwa hawajui nipo wapi mpaka shangazi alipopiga simu kuulizia what is going on ndio wakamwambia nimepotea, na washareport hadi polisi, etc..

Kumbe watu wema bado wanaishi jamani, i wish huyu jamaa asome hii story hapa kama yupo humu atakumbuka aje pm nimshukuru sana, siku zile mbili tatu niliishi kwa furaha sababu yake, alinijali kama ndugu yake au mtoto wake na hanijui ila akaniamini na akanigharamia everything. Pia kuna watu JF ambao walinisaidia sana enzi hizo za nyuma, tena wanaishi nje ya nchi ila nilihudumiwa na wao kutokea hapa hapa JamiiForums, mawasiliano tumepotezana lakini nikiandika watakumbuka.

Ipo siku nitaandika mengi zaidi........... to be continued...
hata sijaelewa ulichoandika ndugu yangu

kichwa chako cha habari hakifanan kabisa na ulichoandika

nilikuwa nategemea kwamba utatwadithia kwamba ulipitia kipindi kigumu sena lakini hivi sasa umefanya shavu la hatar

sasa unakuja kutuambia ulipewa 50 elf ukarudishwa na nyumbani sasa nini maana yake
 
Back
Top Bottom