Tuliowahi kugonganisha "magari", ulichezaje kutatua msala?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,242
103,943
Kipindi fulani nilikuwa Moshi kikazi nikabanwa na ukame nikaanza msako. Karibu na kazini kulikuwa na mawakala wa mpesa wazuriiii matoto mawili ya kichaga kwenye duka moja. Nikapambana nikapata namba ya Pisi A,nikamkomalia akaja mpaka hotel. Nikaweka mitego ya kula kimasihara akachomoa ananiambia nimtongoze kwanza 🤣🤣🤣

Nikamwambia sawa basi naanza kukutongoza...nikampa mistari bado akakataa kuliwa, anasema umenitongoza inabidi unipe muda nikufikirie. Pumbaaaavu. Akaja hotel kama mara 2 hivi zote akanikazia,habati mbaya mimi huwa ziwezi ku force mwanamke. Tukapiga stori akasepa.

Kesho yake ilikuwa J2 yule pisi A haendi job ila pisi B nikamkuta Mpesa. Nikamtania tania pale,nikampa business card. Aiseee huyu alikuwa na moto,tukachat sana mwisho akaniambia nimtoe out.🤣🤣. Nikamwambia mji una baridi saba uje hotel kwangu tujifungie room unywe ule unachotaka. Nikamtajia hotel na room namba na kila kitu.

Saa 12 Pisi B ikanisihi nisiiangushe imeshajiandaa. Daaa mwanangu ilipofika saa 1 nasikia mlango unagongwa,nikajua Pisi B ndani ya nyumba. Kufungua nakutana na Pisi A inaingia bila kukaribishwa...Kichwa kikawaka moto 🤣🤣🤣🤣. Nikaanza kuichana mbona umekuja bila taarifa.eti ooh hapa ni kwa mpenzi wangu sio lazima nitoe taarifa. Daaah nikajisemea hili toto puuuzi kweli kwanza mbususu linanibania.

Kidogo tu Pisi B inapiga simu ipo reception inasema mhudumu kamzuia awasiliane kwanza na mimi( mhudumu aliona aniokoe maana alishtukia nitagonganisha magari 🤣🤣🤣)

Nikaiacha Pisi A pale room ikichezea simu,nikatoka nje kupambana. Nikaitoa Pisi B nje kwenye viti niipange. Ikaanza kunikoromea twende tukaongelee ndani,halafu kwa nini sijampa taarifa mhuduma kama anakuja. Hapo wakuu jasho linanitoka balaa.
Nikamtanganya mama yangu mdogo ana Corona yupo ICU kwa hiyo inabidi niende benki niwatumie pesa ndo maana siko sawa.

Huku Pisi A kule anapiga simu kujua kama nimemkimbia. Hakuwa na jinsi maana nilikuwa nimemfungia. Sasa huku Pisi B akang'ania nimuache room nitamkuta.

Nikiwa naamini kabisa hawa watoto wamepanga mchezo waniaibishe, nikamuacha pale nje nikaamua kusepa mitaani na boda kama naelekea ATM

Kumbe huku nyuma Pisi B alipoona mhuduma amekuwa busy akaenda room kwangu kagonga ili kujionea kama nina demu mle au nina shida kweli. Alivyogonga mwenzie ndani akaitika akinua ni mimi "Wewe umesahau kama umeondoka na fungua". Pisi B ikawa imehisi ile sauti ni ya mwenzie ikabidi imsemeshe hawakuelewana vizuri ikabidi impige simu yake,ikasikia simu inaita chumbani 🤣🤣🤣🤣

Basi ikawa imeishiwa pozi itaamua kusepa tu. Mhudumu aliponipa taarifa ameondoka nikarudi najisikia aibu balaa,daah hivi mimi ndo nishakuwa malaya hivi mpaka nagonganisha mademu 😌😌😌😌

Kwa hiyo nikabidi nimchane ukweli Pisi A kwamba yeye na kunibania ndio kasababisha yote hayo. Mimi nilikuwa na ukame uliofika hatua mbaya sasa yeye hakuwa tayari kunisaidia.

Ikanilaumu sana na kuniona malaya,ikanitaka nifute namba yake na nisimtafute tena. Nikamwambia isiwe taabu,chukua simu futa kila kitu chako humu. Ikawa End of Story na Pisi A.

Alipoondoka tu nikampigia Pisi B,ikasema haiko mbali imeamua kulewa kupunguza mawazo kwa jinsi nilivyonfanyia. Nikamkuta pale nikamuomba msamaha na kumpa ukweli woote.

Ikaniambia achana na yule mtoto mdogo,twende ukanifaidi mpaka asubuhi mpaka ukinai mwenyewe 😋😋😋😋😋

.....to be continued
 
Ngoja niwahi siti
IMG_20220218_010154.jpg
 
Nliwaambia sasa mshafahamiana, ebu ondokeni nataka kulala.
Mmoja ndo ilikuwa mwisho wa kumuona siku hizi uwa naona picha zake insta tu kapendeza anakula neema za Mungu ana pesa na biashara zake yuko mbali na TZ hii.
Hapo ndipo uwa nakumbuka saa nyingine Mungu anakuokoa na wewe kwa muda huo unahisi umepata mkosi. Maana angekaa na mimi huenda angekuwa ashapauka
 
Miaka ya nyuma kabla sijaoa nlikua na binti mmoja mlokole Kwny mahusiano.

Sasa ikawa kila akija kwangu kunifanyia usafi na kunipikia anakuja na shoga ake wa kike mrembo sana,
Sasa Shoga yake uyu alkua anapenda kuangalia mikanda ya Kanumba maana kila CD mpya ikitoka lazima nilikua nayo

Sasa Shoga mtu Kuna Siku alkua anakuja peke ake bila hata mpnz Wang, afu ukaaji wake seblen ulkua unanipa tabu Sana.

Kuna Siku nikamjaribu akakubali na nikawa namega tunda wote wawili, ila ratiba tofauti tofauti pale pale home..

Ila shoga mtu nikamlaghai kwamba anivumilie namtaftia kisa mpnz wang nimuache niendelee na yeye TU, akasema sawa ananisubiria nikipate kisa nimuache.

Kisa no.1
Kuna Siku usiku mpnz Wang Kaja gafla usiku kanigongea, nikamchukua uyu nikamficha uvungun. Alipoingia kanikiss dkk cache Kisha akabeba vyombo vyake alivyoniletea chakula akaondoka navyo kwao, Kisha tukaendelea na uyu shoga mtu mpk asbh. Hakugundua kitu kabisa.

Kisa No.2
Kuna Siku Niko na shoga mtu tuko uchi tunafanya, nikaskia geti linafunguliwa, haraka nikamficha kabatini.
Kumbe mpnz Wang Kaja na nyege zake nae anataka tufanye.
Nikamwambia Basi tukaoge Kwanza, nimkavua tukaingia bafun kuoga, Kisha nkamwambia ngoja nkafunge geti vizur na mlango wa sebleni Kuna wez mtaani kwetu skuhz. Akakubali
Nikarud haraka nikamtoa uyu kabatini aondoke, nguo zake alikwenda kuzivalia kwny choo Cha nje kisha akaondoka zake.
Uyu hakugundua kitu kabisa.

Kisa Cha 3,
Kuna Siku asbh niko dukan, shoga mtu kanambia ananyege tukafanye. Nkamwambia tukutane home nakuja sahv.
Nikawaaga vijana natoka naenda home Mara Moja narud, Basi nikaenda mshughulikia shoga mtu.

Katikati ya tukio, kumbe mpnz wang katoka kanisani kwao nae Kapitia kunijulia Hali dukan kwangu kaambiwa nmeenda nyumban kwangu Mara moja.
Kanisubiria kaona sitokei,hivyo kaamua Kuja nyumban mwnyw.

Sasa kosa nililolifanya siku iyo geti liliegeshwa TU na wote tukasahau kuingiza viatu ndani, yaan kakuta viatu vyangu na sendoz za shoga ake mlangon sebleni na tumejifungia kwa ndani. Afu mziki mkubwa unapiga ndani na taa ya chumban kwangu imewashwa.

Kaja kunigongea dirishan chumban, nikagoma kufungua.
Kapiga sim hatupokei simu zote nmeziweka silent mode. Kaanza kurusha Maneno dirishani anauhakika kwamba Niko na shoga ake mle ndani tunafanya mapenz

Nikajisemea uyu mpk aondoke ndo ntatoka nje. Najua hawez kulala hapa ataondoka TU.
Basi Tumekaa mle ndan karibu Masaa 3 nje kote kuko kimya, nkamwabia uyu.
"Wee toka nje ashaondoka uyu, kavumilia mpk kashindwa. Nilikwambia dawayake Ni Iyo TU." Uyu kafurahi tumecheka tumekiss.

Uyu kavaa,nmefungua mlango katoka nje, nmemsindikiza ile nmefika getini mpenz wang uyu apa nae anatokea kwny kibanda Cha mlinzi. Kumbe alijificha humo MDA wote ule katulia tu.

Vurugu Kali Sana ikaibuka pale,
nikawaachanisha shoga mtu kakimbia kipigo, mpnz wangu kabaki na Mimi.
Aisee alinipiga makofi kadhaa uku analia nikashindwa hata kujibu mapigo nikawa mpole, kisha nikamkumbatia.

Nikambeba Nikampeleka ndani, nikambembeleza hataki kuelewa.

Basi nikaona Ujinga huu, nabembeleza mtu gani uyu haelewi, liwalo na liwe mi naondoka zangu bhana. Nkarud zangu dukan

Cha ajabu nikarud jion nikamkuta, chakula keshapika.
Kanipakulia Nikala bila hata kumsemesha, Kisha nikaenda kulala nikitegemea na yeye ataenda kwao.

Cha ajabu nikaona kaingia kuoga Kisha nae kaja kulala uchi, nikaona Ujinga huu hebu hii kesi niimalize hapa hapa.

Nikamtekenya nikaona kalainika, tukafanya kila mtu kimya kimya. Kibubu bubu.
Baada ya tendo ananiuliza kwann nilimsaliti MDA ule kwa shoga ale.

Nikamwambia,
"Nisamehe Sana mpnz Wang, yaan hata mm mwnyw sielewi ilikuaje kuaje. Ndo maana at ulivyonipiga makofi nilishindwa kujibu nn kimetokea MDA ule. Yaan pale ndo akili zilirudi kwamba nmekukosea"

Akauliza,
"Una maana gan kusema vile"

Nikajibu,
"Haiingii akilini Eti nikatembea na mwanamke mbovu Kama yule, Hivi nakosa Nini kwako, sio sura Wala umbo hakufikii kwa lolote. Mpka najishangaa. Sio bure mpnz wangu atakua kaniroga yule. Ile sio akili yangu kabisa NAKATAA"

Akasema,
"Ndo muangalie wanawake wa kutembea nao, yule Bibi yake anafuga mipaka KIBAO. Huenda Ni kweli amekuroga. Najuta kwanza kwann amekufahamu maana tangu tunasoma wote nilikuaga naskia wanasema Bibi yake mchawi kabisa"

Nikamjibu,
"Kwakweli atakua Ni mchawi Sana mi mwnyw nmeona, ila Nisamehe Sana mpnz Wang. Naomba uniombee sn my love "

Akasema,
"Nakuombea ila na Wewe ujiombee MUNGU akuepushe na majaribu Kama haya, uyu shoga angu mchawi sana wewe TU ndo ulikua ujui"

Basi tukamaliza hivyo,
Ila Sasa yule shoga ake hatukuja kuacha kulalana, Sasa baada ya hapo venue ikahamia guest houses na lodge tunaenda kufanya ila kwa tahadhar kubwa sana tusije kubambwa Tena.

Nilikuja kuachana nao wote miaka 2 mbele, mlokole wangu uyu alikwenda masomoni nje ya nchi. Afu yule shoga mtu nae akaenda kuolewa mkoani uko (dodoma).

Dah! Haya maisha bhana
Ila Wachawi wanasingiziwa mengi,

Sema ulokole wa mpenz wangu yule uliniokoa kwny kesi, Aliamini mno uchawi Hadi kwny vitu vya kijinga kabisa Kama vile
 
Kipindi fulani nilikuwa Moshi kikazi nikabanwa na ukame nikaanza msako. Karibu na kazini kulikuwa na mawakala wa mpesa wazuriiii matoto mawili ya kichaga kwenye duka moja. Nikapambana nikapata namba ya Pisi A,nikamkomalia akaja mpaka hotel. Nikaweka mitego ya kula kimasihara akachomoa ananiambia nimtongoze kwanza 🤣🤣🤣

Nikamwambia sawa basi naanza kukutongoza...nikampa mistari bado akakataa kuliwa, anasema umenitongoza inabidi unipe muda nikufikirie. Pumbaaaavu. Akaja hotel kama mara 2 hivi zote akanikazia,habati mbaya mimi huwa ziwezi ku force mwanamke. Tukapiga stori akasepa.

Kesho yake ilikuwa J2 yule pisi A haendi job ila pisi B nikamkuta Mpesa. Nikamtania tania pale,nikampa business card. Aiseee huyu alikuwa na moto,tukachat sana mwisho akaniambia nimtoe out.🤣🤣. Nikamwambia mji una baridi saba uje hotel kwangu tujifungie room unywe ule unachotaka. Nikamtajia hotel na room namba na kila kitu.

Saa 12 Pisi B ikanisihi nisiiangushe imeshajiandaa. Daaa mwanangu ilipofika saa 1 nasikia mlango unagongwa,nikajua Pisi B ndani ya nyumba. Kufungua nakutana na Pisi A inaingia bila kukaribishwa...Kichwa kikawaka moto 🤣🤣🤣🤣. Nikaanza kuichana mbona umekuja bila taarifa.eti ooh hapa ni kwa mpenzi wangu sio lazima nitoe taarifa. Daaah nikajisemea hili toto puuuzi kweli kwanza mbususu linanibania.

Kidogo tu Pisi B inapiga simu ipo reception inasema mhudumu kamzuia awasiliane kwanza na mimi( mhudumu aliona aniokoe maana alishtukia nitagonganisha magari 🤣🤣🤣)

Nikaiacha Pisi A pale room ikichezea simu,nikatoka nje kupambana. Nikaitoa Pisi B nje kwenye viti niipange. Ikaanza kunikoromea twende tukaongelee ndani,halafu kwa nini sijampa taarifa mhuduma kama anakuja. Hapo wakuu jasho linanitoka balaa.
Nikamtanganya mama yangu mdogo ana Corona yupo ICU kwa hiyo inabidi niende benki niwatumie pesa ndo maana siko sawa.

Huku Pisi A kule anapiga simu kujua kama nimemkimbia. Hakuwa na jinsi maana nilikuwa nimemfungia. Sasa huku Pisi B akang'ania nimuache room nitamkuta.

Nikiwa naamini kabisa hawa watoto wamepanga mchezo waniaibishe, nikamuacha pale nje nikaamua kusepa mitaani na boda kama naelekea ATM

Kumbe huku nyuma Pisi B alipoona mhuduma amekuwa busy akaenda room kwangu kagonga ili kujionea kama nina demu mle au nina shida kweli. Alivyogonga mwenzie ndani akaitika akinua ni mimi "Wewe umesahau kama umeondoka na fungua". Pisi B ikawa imehisi ile sauti ni ya mwenzie ikabidi imsemeshe hawakuelewana vizuri ikabidi impige simu yake,ikasikia simu inaita chumbani 🤣🤣🤣🤣

Basi ikawa imeishiwa pozi itaamua kusepa tu. Mhudumu aliponipa taarifa ameondoka nikarudi najisikia aibu balaa,daah hivi mimi ndo nishakuwa malaya hivi mpaka nagonganisha mademu 😌😌😌😌

Kwa hiyo nikabidi nimchane ukweli Pisi A kwamba yeye na kunibania ndio kasababisha yote hayo. Mimi nilikuwa na ukame uliofika hatua mbaya sasa yeye hakuwa tayari kunisaidia.

Ikanilaumu sana na kuniona malaya,ikanitaka nifute namba yake na nisimtafute tena. Nikamwambia isiwe taabu,chukua simu futa kila kitu chako humu. Ikawa End of Story na Pisi A.

Alipoondoka tu nikampigia Pisi B,ikasema haiko mbali imeamua kulewa kupunguza mawazo kwa jinsi nilivyonfanyia. Nikamkuta pale nikamuomba msamaha na kumpa ukweli woote.

Ikaniambia achana na yule mtoto mdogo,twende ukanifaidi mpaka asubuhi mpaka ukinai mwenyewe 😋😋😋😋😋

.....to be continued
Ungekuwa mkomavu wa hizi mbanga,usiku huo ungekuwa unahama vyumba tu. Wakuu nadhani wameelewa,next time tuliza akili,changa karata vizuri ufaidi bufeeee.....pambafff.... :D
 
Back
Top Bottom