NMB ATM Inakuwaje!!

Columbus

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
2,002
648
Nimekwenda ku-draw pesa kidogo ya week end katika ATM ya NMB, cha ajabu nimefuata procedure zote na ikaanza kuhesabu lakini ilipofika mwisho ikatoa kadi yangu bila kutoa pesa. Hapo hapo nikapata ujumbe mfupi (Sms) eti nimefaniwa ku-draw kiasi..... cha pesa.
Nimejaribu kuwapiga simu yao 15166 niwaulize lakini inajibu kuwa hiyo namba haipo, nichukue hatua gani jamani!!
 
Uliza salio uone kama imekata hela na kwa issue kama hyo kupata msg co tatizo kwan baada ya muda kama imekata hela tayar itarudisha,option ya pili kama sehemu ulipo tumia atm nyingine au ambayo ipo near by,sometimes network inakuwa down ndio maana unakutana na such incidence mteja mwenzangu,so try those ways itawork out
 
Lakini ATM za NMB nyingi ni za uongo na kuna malamiko mengi Ya watu kupotelewa na hela zao kwenye ATM na wanapoenda kulalamika mameneja hurudisha hizo hela coz utakuta zimechukuliwa na watu wa humu humo bank..
 
Tatizo haujui banking ndio maana,banki sio sawa na duka la mangi au mkinga kwamba utachukua tu hela,kinachotokea ni kwamba kama watu hawajapata hela asubuh report itaonesha kwamba kuna wateja waliomba hela hawakupata ila a\c ili debitiwa,so sio kwel kwamba hela wanachukua humo humo watumish,they work with with ethicks,unapopeleka lalamiko kwa meneja huduma kwa wateja kwasababu anakuwa tayar na report atakurudishia,na hilo tatizo co Nmb tu hata bank nayofanyia mie lipo so ni tatizo la kawaida kwa atm za benki zote
 
Mkuu banl huwezi poteza haki yako hata kama ukiibiwa hela na mfanyakazi wao utazipata tu. Kuna kinaitwa ripoti za kazi hizo ndo kila kitu
 
Tatizo haujui banking ndio maana,banki sio sawa na duka la mangi au mkinga kwamba utachukua tu hela,kinachotokea ni kwamba kama watu hawajapata hela asubuh report itaonesha kwamba kuna wateja waliomba hela hawakupata ila a\c ili debitiwa,so sio kwel kwamba hela wanachukua humo humo watumish,they work with with ethicks,unapopeleka lalamiko kwa meneja huduma kwa wateja kwasababu anakuwa tayar na report atakurudishia,na hilo tatizo co Nmb tu hata bank nayofanyia mie lipo so ni tatizo la kawaida kwa atm za benki zote
Umetoa maelezo mazuri sana mkuu. Thanks
 
Na hii namba ya customer service ni fake? ukiipiga 15166 unaambiwa hiyo namba haipo.
 
Nenda benki jumatatu na utarejeshewa fedha zako kuna fomu utajaza,ilinitokea miezi miwili iliyopita
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom