LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,120
- 27,126
Nianze KWA ku declare interest nimezaliwa katika familia ya kiislamu. Katika maisha yangu halisi najulikana kama muislamu. Familia yangu inanitambua kama Muislamu.
Lakini ndani ya nafsi yangu nilisha uvua utambulisho wa uislamu toka enzi za Pontyo wa Pilato.
Niliamua kuachana kabisa na mambo ya dini baada ya kuujua ukweli halisi kuhusu dini tulizo letewa ambao KWA bahati mbaya sana watu wengi leo hii hawaujui.
Nilijaaliwa kupata nuru hii baada ya kusoma kwa kina vitabu vya dini zote ulimwenguni.
Back to my point . Nataka nikufundisheni njia sahihi ya kupigana vita vya kiroho.
Ephesians 6:12 ni andiko ambalo lina wapita kushoto wakristo wengi sana.
Hilo andiko linasema " vita vyetu si vita vya mwili na damu bali ni vita vya kiroho"
SASA basi Mkristo akikutana na situation ambayo ataihusisha na majini au mapepo au kiumbe yoyote wa kiroho, Mkristo huyo atakwenda kanisani ( madhabahuni) na kuanza ku fire hizo spirit.
Ni makosa makubwa sana kufanya hivyo.
Alie sema" Vita vyetu si vita vya mwilini bali rohoni" alimaanisha kwamba adui zetu hatari zaidi ni maadui wasio onekana ( wakiwemo majini na mapepo) kuliko wale wanao weza kuonekana.
Adui HAWA wasio weza kuonekana hu capitalize kwenye hiyo fact ya kuto onekana kama nyenzo ya kivita.
UKITAKA KUMSHINDA JINI YOYOTE YULE USIPELEKE VITA ROHONI, PIGANA KWA JINSI YA MWILI UTAKUJA KUNISHUKURU NIKO PALE NIMEKAA.
Mwanadamu ( kiumbe ambae nguvu zako zipo kwenye mwili ) Unapo chagua vita YAKo dhidi ya jini/PEPO( kiumbe wa kiroho) ipiganwe katika ulimwengu wa rohoni unakuwa hauna tofauti na mwanadamu ambae anaenda kupigana na mamba ndani ya maji..
Utashindwa.
Wewe nguvu zako zipo kwenye mwili.
Nguvu zako zipo kwenye matumizi ya akili YAKO ambayo ipo ndani ya mwili.
Hujui chochote kuhusu ulimwengu wa roho unaweza vipi kushindana na kiumbe ambae anaishi huko rohoni toka enzi za Pontyo wa Pilato?
Unazidiwa akili HADI na mamba?
Mamba hakufuati binadamu nje ya maji KWA sababu anajua huko nchi kavu wewe binadamu una nguvu kushinda yeye.
Mamba ana kusubiri uingie ndani ya maji KWA sababu huko ndiko kwenye nguvu zake na mamlaka yake.
TUFANYE NINI SASA EEH RABI?
Ndio maana kwenye Kitabu chenu imeandikwa " watu wangu Wana angamia KWA kukosa maarifa"
Sio kwa kukosa imani. Nope. Maarifa!!!
Unapaswa kutumia maarifa tu.
KWANZA unatakiwa uujue huu ukweli kuhusu majini na viumbe wote wa kiroho.
Jini hana uwezo wa kumshinda binadamu anae tumia walau robo ya uwezo wa akili yake.
Ukitumia akili YAKO vizuri hakuna jini ataweza kukushinda.
Huhitaji Shekhe wala Mchungaji wala sijui mganga ILI umshinde jini. Unahitaji akili.
Ukitumia akili YAKO vizuri kanisani na msikitini utakuwa unaenda kumshukuru Mungu tu na sio kwenda kumuomba sijui eti akuepushe na shari za majini upuuzi mtupu.
Haya yanatoka kwa mtu ambae amekuwa exposed na elimu ya ukweli na sahihi kuhusu Majini ( wachana na hii elimu ya majini ya mashekhe ambayo ni SAWA na tone la maji baharini. Infact they don't know anything about the jinns)
Ni elimu ya majini nje ya elimu waliyo nayo mashekhe.
Maarifa ya majini ( kile wanacho jua majini) ambayo yametafsiriwa kutoka kwenye lugha za kijini.
Majini Wana lugha zao. ( Sio kiarabu. Bahati mbaya sana watu wengi sana Wana amini eti majini wanaongea kiarabu au kiarabu ni lugha ya majini. Na hii imekuwa sababu kubwa ya wakristo kuunyanyapaa uislamu wakiamini waislamu Wana majini au uislamu ni dini ya majini. Mna waonea bure tu ndugu zenu HAWA, hata wao hawajui chochote kuhusu majini wala hawana majini. Wala hiyo elimu ya majini hawana. Ni kama nyie tu. Wana bahatisha bahatisha tu kama nyie..
Ukitaka kuamini hiki ninacho kisema, we mtafute Shekhe yoyote unae mfahamu au anae tajwa kuwa na elimu ya juu ya majini halafu muulize maswali haya:
1. Majini wanafananaje?
2. Majini wana ongea lugha ngapi?
3. Majina ya hizo lugha za kijini ni yepi?
Akikujibu nipo pale nimekaa
Hakuna muislamu anae jua hilo awe imamu au maamuma.
Mtu pekee aliye kuwa na elimu sahihi ya majini ni SULEIMAN IBN DAUD ambae hata hivyo pamoja na kuwa na elimu hiyo ya majini still bado alikuwa ganked.
Back to the point.
Usipigane vita na jini KWA kutumia njia anazo tumia kupigana na wewe ( njia za kiroho)
Wewe tumia akili YAKO KWA usahihi.. Elekeza matumizi ya akili YAKO katika sehemu sahihi na wakati sahihi.
MIFANO
1. UNAHISI UMEROGWA BIASHARA YAKO HAIENDI: badili biashara au ongeza biashara nyingine au fungua biashara nyingine ndogo ndogo ajiri watu huko.
2. UNAHISI wachawi wanakuja kukuroga usiku: badili muda wa kulala KWA siku ishirini na moja ( majini wakitumwa kwenda kumfanyia mtu ubaya huwa wanaenda KWA siku 21 consecutively..kama ndani ya hizo Siku 21 watashindwa kufanya chochote dhidi ya intended victim iwe ni kwa sababu ya kuwa na kinga kubwa, nguvu za Mungu au kutumia akili BASI majini hao wata give up na hawatorudi tena come what may. Watapeleka intelligence report KWA aliye watuma kwamba wewe hauwezekaniki. Ndio maana wale wanao tumiaga dawa za kufukuza majini wa nuksi/mikosi/maradhi ya kichawi kwenye mwili ukitumia dawa KWA siku let's say 5 ukaona mabadiliko halafu ukatupa dawa KWA kuamini umepona siku ya sita majini wakirudi wanarudi mazima na kwa fujo...
Whatever u do against these evil spirits must be 21 days in number.
Badili muda wa kulala. Uwe unalala.mchana. usiku nenda klabu..majini wa uchawi hawawezi kumpiga uchawi mtu ambae yupo active wakati wa usiku...
Ndio maana wazungu waliwekeza sana kwenye elimu kwa sababu mtu mwenye elimu na maarifa mapana kuhusu mwili wake na maisha yake ( nje ya mambo ya kiroho) hawezi kuwa defeated na majini.
3. UNAFANYA KAZI SANA KIPATO HAKIONEKANI
- Punguza matumizi yasiyo ya lazima
- kama una ingiza let's say laki moja KWA siku na unafanya kazi kwa masaa kumi ila unataka kuingiza milioni moja KWA siku ndani ya masaa hayo kumi njia pekee inayo weza ki guarantee hiyo outcome ni wewe kufanya kazi kwa masaa.100 KWA siku. Unafanya vipi kazi masaa mia kwa.siku wakati wote tunajua siku ina masaa.24?
Fungua sehemu tofauti tofauti kumi KILA sehemu ajiri mtu mmoja jumla.wanakuwa watu kumi hao.
Anza kuwa kufungua sehemu moja then ikichanganya fungua sehemu nyingine etc.