Njia rahisi ya kuangalia on-line TV channels kwenye PC

Wakubwa, unafunguaje text file kwa kutumia VLC?

Namaanisha, uki right click text file hupati options za VLC, na kwa kweli sishangai kwa sababu windows haitegemei txt. document ifunguliwe na audio video player.

Nakosea wapi?
 
uki right click utaona open with,vlc haipo click more apps utaiona vlc
Tatizo inakula mb sana
 
Sky sport
Sky Sports zipo nyingi. Kuna
Sky Sports 1,
Sky Sports 2,
Sky Sports 3,
Sky Sports 4,
Sky Sports 5,
Sky Sports F1 na
Sky Sports News HQ

Mimi siyo mpenzi sana wa soccer hivyo sizijui kiundani channels za EPL. Ila ngoja niikupe moja ambayo nili edit jana. Sky Sports 1
 
Attachments

  • JMF - sky sports 1.txt
    117 bytes · Views: 117
Mkuu umetisha sana nakula nat geo wild livee kiganjani no lags.
Ushahidi huu hapa.....
Screenshot_2016-10-21-11-45-52.png

Mkuu tufanyie favour ya channel zingine basi tafadhali. Hasa zile za entertainment kama miziki mpira na movies.
Ikishindikana kabisa basi hata za habari.
 
Mkuu
Salaam wana JF.

Leo nimeamua ku share nanyi njia nyingine rahisi sana ya kuangalia channels mbali mbali za TV kupitia vlc-player ya computer yako ukiwa na internet. Njia hii inatumia low bandwith na unaweza ku stream HD tv hata kwa net ya 256kbs. Kwa leo nitaanza kwa kuwawekeeni channels 4 tuu.

Chakufanya:
1. Install vlc media player kwenye pc yako au kama tayari unayo, hakuna haja.
2. Download magnetic codes line niliyoiweka kwenye attachment na u save kwenye pc yako. Kisha right-click uifungue kwa kutumia VLC.
Hapo utaweza kutizama hizo channels nne bila kupitia njia complicated.

Mchana mwema.
Mkuu nabadilishaje channel kwenda nyingine.?
 
Sky Sports zipo nyingi. Kuna
Sky Sports 1,
Sky Sports 2,
Sky Sports 3,
Sky Sports 4,
Sky Sports 5,
Sky Sports F1 na
Sky Sports News HQ

Mimi siyo mpenzi sana wa soccer hivyo sizijui kiundani channels za EPL. Ila ngoja niikupe moja ambayo nili edit jana. Sky Sports 1
Mkuu unazipataje hizo link? Naomba mwongozo ili nitafute channel zingine
 
Sky Sports zipo nyingi. Kuna
Sky Sports 1,
Sky Sports 2,
Sky Sports 3,
Sky Sports 4,
Sky Sports 5,
Sky Sports F1 na
Sky Sports News HQ

Mimi siyo mpenzi sana wa soccer hivyo sizijui kiundani channels za EPL. Ila ngoja niikupe moja ambayo nili edit jana. Sky Sports 1
Samahani na omba mnifundishe jinsi ya kutengeneza hio attachment ili na Mimi ni watumie baadhi ya channel mfano hii ni ya Azam Two nainafanya kazi kwangu http://154.73.170.220:1935/AZAM2/myStream/playlist.m3u8

Nifunfisheni niwatumie channel nyingi zaidi
 
Back
Top Bottom