Njia rahisi ya kuangalia on-line TV channels kwenye PC

Salaam wana JF.

Leo nimeamua ku share nanyi njia nyingine rahisi sana ya kuangalia channels mbali mbali za TV kupitia vlc-player ya computer yako ukiwa na internet. Njia hii inatumia low bandwith na unaweza ku stream HD tv hata kwa net ya 256kbs. Kwa leo nitaanza kwa kuwawekeeni channels 4 tuu.

Chakufanya:
1. Install vlc media player kwenye pc yako au kama tayari unayo, hakuna haja.
2. Download magnetic codes line niliyoiweka kwenye attachment na u save kwenye pc yako. Kisha right-click uifungue kwa kutumia VLC.
Hapo utaweza kutizama hizo channels nne bila kupitia njia complicated.

Mchana mwema.
asante sana mkuu ngoja tujaribu
 
Kama unatumia Computer ingia hapa Online Tv utapata Channels hizi na nyingine nyingi tuu
Sky Sports Football
Sky Sports Main Event
Sky Sports Action
Sky Sports Premier League
Azam Sports 2
Azam Sports HD
Azam 2
Real Madrid Tv
nk
 
Umejaribu zote?

Capture.PNG
 
Back
Top Bottom