Nitawashtaki tigo

Mimi labda naona wana nia njema hata kama we ni ME. Wanataka wakufumdishe jinsi ya ku mcare my wife wako pindi anapokuwa mjamzito. Kwa mawazo yangu hawajakosea kukutumia ujembe huo.
 
Tatizo ni kwa nini watume msg kibao wakati ujaomba kupata notifications zozote
 
Mimi ni mwanaume mwenye familia yangu. Hivi ni haki tigo kunitumia msg hii.

Tuma UJAUZITO kwenda 15519 na upate dondoo nyingi za ujauzito ikiwemo ushauri, afya bora ya mama na mtoto, vyakula, malezi na mengineyo kwa Tsh.125/SMS
Kama wewe ni mwanaume usiofu maana umeambiwa utume UJAUZITO!, wangekwambia pata UJAUZITO hapo sawa!.
 
Haya fanya fasta kawashtaki,inaonekana wewe unahela nyingi za kuweka mawakili kuliko tigo,mbona mimi walishaniandikia unataka mume tuma mume kwenda 15502,na nikaichunia kwasababu mimi ni mwanaume na wewe kama unahisi unaujauzito tuma basi,ila kama hauna sasa inakuhusu nini,au unafikiri mtandao wa tigo unaopeke yako nini,au ndio uhaba wa threads?
 
Mimi ni mwanaume mwenye familia yangu. Hivi ni haki tigo kunitumia msg hii.

Tuma UJAUZITO kwenda 15519 na upate dondoo nyingi za ujauzito ikiwemo ushauri, afya bora ya mama na mtoto, vyakula, malezi na mengineyo kwa Tsh.125/SMS

Sasa kuwa kwako mwanaume kunashindana vipi na wao kukutumia ujumbe huo? Kwani hiyo unayoiita familia yako haina watoto na mke? Kama wapo, nani anakusaidiaga kumpa mimba?

Nimeuliza hivyo kwa sababu inaonekana suala la mimba huna wakati nalo kwa hiyo hata mkeo huenda kwao labda akapewe mimba then akijifungua anarudi kwa kuwa hapo kwako anaishi na mwanaume ambaye hana haja na lolote linalohusiana na mimba.

Laiti ningejua unapoishi.......
 
Mimi ni mwanaume mwenye familia yangu. Hivi ni haki tigo kunitumia msg hii.

Tuma UJAUZITO kwenda 15519 na upate dondoo nyingi za ujauzito ikiwemo ushauri, afya bora ya mama na mtoto, vyakula, malezi na mengineyo kwa Tsh.125/SMS
Au wameona hilo jina MMary wakajua ni mama Mary nini?wasamehe bure nao pia ni wanadamu jamani!!!!Tuangalie na majina tunayojipa jamani tusianze kulaumu tuu na kufungua mashtaka!!!
 
Mmary ni ID yangu tu lakini sio jina nililotumia kusajilia line
 
Back
Top Bottom