Nitawashtaki tigo

Godee jr

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
1,782
2,373
Mimi ni mwanaume mwenye familia yangu. Hivi ni haki tigo kunitumia msg hii.

Tuma UJAUZITO kwenda 15519 na upate dondoo nyingi za ujauzito ikiwemo ushauri, afya bora ya mama na mtoto, vyakula, malezi na mengineyo kwa Tsh.125/SMS
 
Wala hakuna haja yakuwashitaki ila wanakusaidia kujua vip mkeo aishi wakati wa ujauzita kwa usalama wake na mtoto wako aliyetumboni.
 
TIGO NJAA ZITAWAUA MI MWENYEWE WAMENIKATA SALIO LAnGU KWA HUDUMA AMBAYO SIJAWAHI KUOMBA WALA KUTUMIA.
 
watajitetea kua number za simu hazijakaa kijinsia zaidi...so hawawezi jua kua hii number ni ya ke au me..na sytem yao haiko katika mfumo wa kuidentify gender
 
Mimi ni mwanaume mwenye familia yangu. Hivi ni haki tigo kunitumia msg hii.

Tuma UJAUZITO kwenda 15519 na upate dondoo nyingi za ujauzito ikiwemo ushauri, afya bora ya mama na mtoto, vyakula, malezi na mengineyo kwa Tsh.125/SMS

Duh! hii kali aisee pole..
 
Pole mkuu kwa matusi hayo uliyopata. Kuwa mjanja na Vodacom. Umetumiwa hiyo kwani wewe sio mjanja.
 
Kuna msela wangu nae katumiwa taka taka hiyo na hao wanaojiita tiGO.

tiGO ndio maana ikapewa jina la makalio kwenye mambo haya haya ya kishamba. Utawatumiaje msg watu ambao hata hawahusiki nazo....

Je, hao tigo hawajaona jina la mtu kwenye system zao i hope namba nyingi zimesajiliwa na wanafahamu kwamba **** MALE and FEMALE sasa iweje watume upuuzi wao huo kwa wanaume?
 
Nini maana ya kusajili namba kama wanashindwa kumgundua Me na Fe. alafu kwani TCRA wameshindwa kudhibiti makampuni ya simu kuwatumia wateja msg ambazo hawakuomba kujiunga nazo
 
Kuna msela wangu nae katumiwa taka taka hiyo na hao wanaojiita tiGO.

tiGO ndio maana ikapewa jina la makalio kwenye mambo haya haya ya kishamba. Utawatumiaje msg watu ambao hata hawahusiki nazo....

Je, hao tigo hawajaona jina la mtu kwenye system zao i hope namba nyingi zimesajiliwa na wanafahamu kwamba **** MALE and FEMALE sasa iweje watume upuuzi wao huo kwa wanaume?

Duh; tiGO= Makalio
 
TIGO NJAA ZITAWAUA MI
MWENYEWE WAMENIKATA SALIO LAnGU KWA HUDUMA AMBAYO SIJAWAHI KUOMBA WALA
KUTUMIA.

Nami walinitumia msg ya kuingizwa kwenye huduma ya caller tune nikawapigia customer care wanitoe na pesa yangu warudishe!
 
Pole sana mkuu.Unajua nn?UMEKOPLIKEIT Mkuu,take easy.HAWAMAHANISHI?au ndo ukweli unauma?am jokg
 
Back
Top Bottom