wanaJF naomba kusaidiwa kufaham duka au mtu anayeweza kuniuzia OS X 10.5 au mpya zaidi ili niweke kwenye macbook yangu. nimetafuta online lakini napata zinazouzwa tu , na mimi siwezi kununua online, kama kuna mtu anafahamu inapopatikana online kwa bure naomba anifahamishe pia. naombeni msaada wenu tafadhali. AHSANTENI SANA.