nitapata wapi OS X10.5 au mpya zaidi ya hiyo?

shyja

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
410
61
wanaJF naomba kusaidiwa kufaham duka au mtu anayeweza kuniuzia OS X 10.5 au mpya zaidi ili niweke kwenye macbook yangu. nimetafuta online lakini napata zinazouzwa tu , na mimi siwezi kununua online, kama kuna mtu anafahamu inapopatikana online kwa bure naomba anifahamishe pia. naombeni msaada wenu tafadhali. AHSANTENI SANA.
 
Ingekuwa upo dar nungekufahamisha ukatizame maduka ya wahindi posta

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk
 
wanaJF naomba kusaidiwa kufaham duka au mtu anayeweza kuniuzia OS X 10.5 au mpya zaidi ili niweke kwenye macbook yangu. nimetafuta online lakini napata zinazouzwa tu , na mimi siwezi kununua online, kama kuna mtu anafahamu inapopatikana online kwa bure naomba anifahamishe pia. naombeni msaada wenu tafadhali. AHSANTENI SANA.
 
Ahsante sana. lakini inadownload kwa mfumo wa .exe ambao unafanya kazi kwenye windows badala ya .dmg ambao ndio unaofanya kazi kwenye mac.
Kama ni .exe hapo utakuwa ume download file siyo sahihi. Hapo inatakiwa udownload ISO file. Nitakuwekea direct download link baadae
 
sawa, ninakusubiri.
Mac OS X 10.8 Mountain Lion ISO Untouched
File: InstallESD.iso

Size: 4754923520 bytes

Modified: Wednesday, August 15, 2012, 12:15:56 PM

MD5: 718B15C22B3285956437A299E5251E7D

SHA1: B48FBA8054A252BACABFD8F5B10F657297156CF5

Download Link: Mac OS X 10.8 Mountain Lion ISO Untouched
Code:
here is a untouched copy of Mountain Lion in the ISO format. It will require a dual layer dvd to burn! 
This iso was made by opening the golden master "InstallESD.dmg" in disk utility and converting it to a cd/dvd master. Macs use the extension ".cdr" for raw image files so I then changed it to ".iso". Now it is completely compatible to be burned with any iso image burner available! To burn on a mac in disk utility simply change the extension back to ".cdr". 
InstallESD.dmg sha1: E5DD2BF5560033CADE7DD7D7DA5CEEC49F701B0E 
InstallESD.iso sha1: B48FBA8054A252BACABFD8F5B10F657297156CF5
Karibu
 
ahsante. Nitaanza kudownload.
 
imenibidi nianze mwanzo. Nimedownload hadi 2.5 gb. Nikapause ili niendelee baadae. Cha ajabu nakuja kuresume inaanza mwanzo. Imeniuma sana ukizingatia gharama nilizotumia pamoja na muda. Anyway inanibidi nianze tu tena.
 
Back
Top Bottom