Nipo tayari kukosolewa!!

  1. Amua kabisa font type, size na colour utakuyokuwa unatumia kwa headings na body. Kuchanganya-changanya haioneshi orderliness.
  2. Title yako haijitoshelezi kwa kuwa haisemi chochote zaidi -- weka maneno mafupi ya kuvutia wataotaka kuitembelea wakitegemea something spesheli. Mf. site hii tuliyopo sasa, tangu unapoanza kui-access tayari unakuwa umeshajua kuwa hapa is where we dare talk openly.
  3. Ipe site yako malengo mahsusi na nia (vision and mission), unawalenga watu wa aina gani (audience characteristics), n.k.
  4. Karibisha matangazo (kama una malengo hayo) -- weka spaces ambazo utatangaza kuwa zinauzwa na namna ya kuwasiliana na wewe.

So far kazi inaridhisha (small fine tunings to be the best).
 
Asante mkuu kuhusu title ni kweli haijatulia na nipo katika harakati za kutafuta nyingine(pia nitafurahi kama mkinisaidia suggestion zenu) kwa kuwa ni blog ya burudani na michezo hivyo ndi na deal navyo sana

2.kuhusuwatu ninaowalenga ni watu wa rika zote japo kwa sasa nimeanza na vijana kwani habari nyingi nilizopost saizi ni za vijana lakini kwa baadae nitakuwa nachanganya na habari zitakazowavutia watu wazima.

3.kuhusu matangazo nimesha weka space kwa ajili hiyo japo sijajua bado nitawafikia vp,ila nashukuru kuna mdau ameanza kunipa mwongozo.

Nashukuru sana kwa ushauri wako !
 
Umejitahidi hongera sana. Mi nadhani kwa upande wa rangi ungetumia bright color badala ya nyeusi. inaifanya inaonekana imepooza sana. nyeupe ni nzuri. au blue na background nyeupe.

halafu hiyo picha yako haijanifurahisha. weka picha bora zaidi. hiyo sijui umeacha tumbo wazi!!! weka picha nzuri yenye mashiko yenye pozi fulani la kikaka kiutuzima hivi inayoonyesha uko serious and you mean business.

na pale kwenye icon ya MP3 search umesahau kuweka R.

Bongo video unamaanisha bongo music videos au?ungesema directly hapo ili mtu ajue ni video za miziki ya bongo.

Otherwise nimependa na endelea hivo hivo.
 
umejitahidi hongera sana. Mi nadhani kwa upande wa rangi ungetumia bright color badala ya nyeusi. Inaifanya inaonekana imepooza sana. Nyeupe ni nzuri. Au blue na background nyeupe.

Halafu hiyo picha yako haijanifurahisha. Weka picha bora zaidi. Hiyo sijui umeacha tumbo wazi!!! Weka picha nzuri yenye mashiko yenye pozi fulani la kikaka kiutuzima hivi inayoonyesha uko serious and you mean business.

Na pale kwenye icon ya mp3 search umesahau kuweka r.

Bongo video unamaanisha bongo music videos au?ungesema directly hapo ili mtu ajue ni video za miziki ya bongo.

Otherwise nimependa na endelea hivo hivo.

asante sana js,ngoja nfanyie marekebisho haraka.nashukuru kwa mchango wako.nipe dakika 7 hivi
 
Habari zenu wakuu,
baada ya kusoma threads mbalimbali humu jf zinazohusu website na blog hatimaye nika gain kitu nami nikatengeneza blog yangu kwa kupitia muongozo wa humu jf na sites mbalimbali.sasa ni kama mwanafunzi alikuwa kwenye practical na sasa ni zamu yenu wadau kupitia na na kutoa ushauri wenu,kuhusu wapi nimepatia na wapi nimekosea na wapi nimebugi kabisa!! link ni hii hapa .mipo tayari kukosolewa lakini kwa lugha nzuri

WAJANJA SITE
Bro ulikua mkali imagine hata Colorlib nadhani haikuwepo bado kipindi hicho.
uongo?!
 
Back
Top Bottom