Niombeen dua napga pepa leo form IV

All i want you is to be courageous
Be calm and be self equipped with facts and figures to conquer this exams battle.
I wish you is best of luck in your exams
 
Eti Greater thinker. Hata kuandika hujui. Kuna thread ulituma humu juzi kati, ovyoooo. Anyway kaombe Mungu atakusaidia.
 
Ndiyo viongozi wa kesho nyie? Khaaaaa..!!!!?? Badala ya kujiandaa na mitihani unawaza "wizi/udanganyifu"?

Kila la Heri Kijana!

Dogo dizaini ni mwanachama wa ccm, maana akili yake imekaa kuiba iba tu.

Unajua mawazo ya kuiba ndio kigezo kikubwa cha mtu kuwa mwanachama wa ccm.

..........Nenda aende akavune alichopanda, kama alisoma Mungu akusaidie kukumbuka alivyosoma na akuondolee homa ya mtihani. Kama haukusoma, nenda kavune mabua uliyopanda.
 
Dogo nakutakia mtihani mwema.

Nenda ukakitoe kile ulichokiingiza kichwani mwako katika miaka yako minne ya masomo, na ata wakati wa kusahihishwa paper zako, kwa haki uhukumiwe; usikoseshwe pale ulipopatia na wala usipewe tick pale ulipokosea, nenda ukafune ulichokipanda.

dua njema nashukur kakaaa
 
Dogo, kama ulichangia mema huku, nakutakia mema, kama ulikua unaangalia mapenzi, uwe na mapenzi mema na mtihani wako. Kamata kitabu. We o-level unahaki ya kupata na kushiriki kutoa taarifa. Ila nawasiwasi. Soma
 
Dogo all the best, infact nashukuru uko humu ndani, uweze kuperuzi mawazo ya waliokuzidi uzoefu na umri. Kazi kwako kuchanganua pumba na mchele!

Confidence is the key, ila kama ndio mtu wa imani, basi sali kwa mungu wako, sie wengine tunaamini kujiandaa kwako ndio ushindi, na sio dua wala sala!
Go and get them!
 
Wakati wenzako wana soma wewe unachezi mara ooh nipen paper. Akili yako bado inadhan hiki ni kipindi kileee. Acha kutu potezea muda wewe.
 
Back
Top Bottom