Samaani wakuu kama mlisha wahi kuongelea kuhusu hili,ila linanisumbua sana, katika site nyingi ninazotaka kujoin au ku ship online huwa wana niambia niweke Adress yangu na hiki kitu kinaitwa Zip Code,sasa mimi sikielewi ni code gani ninayotakiwa kuweka,
naombeni msaada
naombeni msaada