[h=2]kiherehere - Ni kuwa na maamuzi ya haraka sana bila sababu ya msingi. Kufanya jambo wa kwanza hata kama haukutakuwa kulifanya wewe.
mbea - Ni mtu anayeongea ukweli mahali ambapo hapahusiki kwa namna inayoweza leta madhara kwa wahusika. Mfano. Umemkuta mke wa rafikiyo kapata ajali mbaya moshi, ukamsaidia na kumpigia simu mumewe. Kumbe mke aliaga kenda Iringa. Utakuwa umevunja ndoa kwa nia yako nzuri {umbea wako}.
mnafiki - Kutoa taarifa kwa mtu ili akupende tu. Unaweza kuwahusisha watu wawili katika taarifa ambazo zitaishia kugombanisha. Nia mbaya ikiongezeka huitwa Majungu hususani kama yatahusisha wewe mtoa taarifa kupenda cheo.
mzadiki - Hili sijui maana yake vizuri[/h]
kiherehere- muwasho wa jambo lisilo kuhusu au kabla ya muda wake kufika Mbea- ni ile tabia ya mtu kuchukua maneno ya huku kupeleka kule kwa kuongezea tafsiri yake mwenyewe mnafiki- ni tabia ya mtu kuishi au kusema maneno ambayo ni tofauti na muonekano wake. Na kusimamia hicho anachokisema kama vile ni cha ukweli. mf. Kasisi anapohubiri watu waache zinaa, halafu yeye unamkuta guest house? Mzandiki ni mtu muongo aliyekubuhu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.