Umeme na sukari inatosha kuwaondoa

nashicha

JF-Expert Member
May 29, 2021
279
517
Nchi nzima ipo gizani sukari kilo 5,400 mtu anakuja kukuomba kura kwa tiketi ya CCM hakuna haja ya kumuuliza swali maana akija akikuta umeme sukari hataikuta, akikuta sukari umeme hataukuta. CCM imechoka sanaaa na wamedanganya mpaka uongo umekwisha.
 
Vijana wengi wa kiume hawaoi....alisikika mtawala mmoja akionesha hizo ndio mada kuu kwake.
 
Vijana wengi wa kiume hawaoi....alisikika mtawala mmoja akionesha hizo ndio mada kuu kwake.
Sababu? Mazingira ya kufanya biashara sio rafiki kupata kipato, rushwa, wizi, ufisadi uliyokithiri kila sehemu.
 
Vitenge wanavyopewa wamama ni muhimu zaidi kuliko ulivyovitaja
 
Ubaya ni kwamba kwenye maandamano watu hawatokei.

KaziKwelikweli/JobTrueTrue
 
Nchi nzima ipo gizani sukari kilo 5400 mtu anakuja kukuomba kura kwa tikiti ya ccm hakuna haja ya kumuuliza swali maana akija akikuta umeme sukari hataikuta akikuta sukari umeme hataukuta ccm imechoka sanaaa na wamedanganya mpaka uongo umekwisha
Huku ukiwa online gizani tangu usubuhi 🐒
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom